Tafuta

🍴 AckySHINE Afya & MapishiπŸ‘‡

.

Unaweza kutafuta ndugu zako mliopotezana hapa Wanapatikana kirahisi kweli kwa sasa

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

πŸ‘‰ Jinsi ya kutengeneza Keki Ya Mbegu Za MchichaπŸ‘‡βœ”

Viamba upishi

Unga ngano vikombc 3
Unga mbegu za mchicha kikombe 1
Baking powder vijiko vidogo
Maziwa kikombe 1
Sukari kikombe 1
Blue band kikombe Β½
Mayai 10-12

Hatua

β€’ Chagua, osha, kausha mbegu za mchicha mweupe, kisha saga zilainike.
β€’ Chekecha unga wa ngano, unga wa mbegu za mchicha na baking powder Kwenye bakuli kubwa.
β€’ Ongeza sukari na changanya.
β€’ Ongeza mayai kidogo, kidogo ukikoroga na mwiko kwenda njia moja mpaka ilainike.
β€’ Kama rojo ni zito ongeza mayai, au maziwa ili iwe laini, ongeza vanilla na koroga.
β€’ Paka mafuta kwenye chombo cha kuoka au sufuria na chekechea unga kidogo.
β€’ Mimina rojo ya keki na oka kwenye oveni au kama ni sufuria funika, weka moto mwingi juu, chini weka moto kidogo.
β€’ Ukinusia harufu nzuri ya vanilla, funua, choma kisu katikati ya keki, kama ni kavu epua, pozesha na pakua kama kitafunio.

Soma%20Zaidi.gif Napendekeza uendelee kusoma kuhusu; Mapishi ya Ndizi mzuzu.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Jinsi ya kutengeneza Keki Ya Mbegu Za Mchicha).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Ndugu yako yupo hapa anakuulizia Anakupenda sana na amekumiss

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

wadogo.gif

.