Tafuta

🍴 AckySHINE Afya & MapishiπŸ‘‡

.

πŸ‘‰ Jinsi ya kutengeneza juisi ya nyanyaπŸ‘‡βœ”

Viamba upishi

Nyanya 1 kg
Maji Iita Β½
Chumvi kijiko kidogo 1
Sukari

Hatua

β€’ Osha nyanya, katakata na chemsha na maji mpaka zilainike.
β€’ Chuja juisi.
β€’ Pima juisi - vikombe 2 vya juisi kwa kikombe 1 cha sukari, weka
kwenya sufuria safi .
β€’ Ongeza chumvi, chemsha ukikoroga mpaka ichemke.
β€’ Mara ikichemka epua, pozesha na weak kwenya chombo safi kwa
kunywa.

Soma%20Zaidi.gif Napendekeza uendelee kusoma kuhusu; Jinsi ya kupika Biskuti Za Tende.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Jinsi ya kutengeneza juisi ya nyanya).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Tafuta ndugu zako wa damu hapa Unawapata hapa moja kwa moja

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

Slide2-utotoni.GIF

.