Tafuta

πŸ‘‰ Jinsi ya kutengeneza Fagi Ya Kumumunyuka MdomoniπŸ‘‡βœ”

VIAMBAUPISHI

Maziwa mazito matamu (condensed milk) - 2 vibati

Sukari - 1 kikombe

Samli 1 Β½ kikombe

Vanilla 2 kifuniko cha chupa yake

Hiliki ilosagwa - 2 vijiko vya chai

Sinia kubwa ya bati Paka samli

MAANDALIZI

Changanya maziwa, sukari na samli katika sufuria isiyogandisha chakula (non-stick) uweke katika moto.
Koroga huku ikipikika hadi ianze kugeuka rangi na kuanza kuachana. Usiache mkono kuroga isije kufanya madonge.
Tia hiliki na vanilla, endelea kuipika.
Itakapogeuka rangi vizuri mimina katika sinia na haraka uitandaze kwa mwiko huku ukiuchovya katika maji na kuendelea kuitandaza hadi ikae sawa kote.
Pitisha kisu kuikataka ili ikipoa iwe wepesi kuitoa vipande.

Kila inapozidi kupoa na kukaa ndipo fagi inakauka na kumumunyuka.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Jinsi ya kutengeneza Fagi Ya Kumumunyuka Mdomoni).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Ndugu zako wanakutafuta hapa Wapo kwenye mtandao na wao

πŸ‘‰Jua Zaidi...


"Vile unavyotoa ndivyo unavyopokea. Yule anayetoa sana ndiye ansyepokea sana. Kutoa ni kuhifadhi."

kj.gif
MNNNBBBBB.gif
LKJHNBVFDERTYU.gif
KKIUYTREDDFG.gif
NNGFDSS.gif

Expert available for Hire

Data processing and analysis expert available For Both Qualitative and Quantitative data.
Soma%20Zaidi.gif
Tazama ni marafiki wangapi wanaokutafuta Wengi wanaweza wakawa wanakutafuta lakini hujui.
Soma%20Zaidi.gif