🍴 Blog ya Afya & MapishiπŸ‘‡

.

303

Kichekesho%20Kipya Tazama ni marafiki wangapi wanaokutafuta Wengi wanaweza wakawa wanakutafuta lakini hujuiπŸ‘‰Soma zaidi hapaKizuri

πŸ‘‰ Jinsi ya kutengeneza Cookies Za Tende Na TangawiziπŸ‘‡βœ”

MAHITAJI

Unga vikombe vikombe 4

Baking soda 1 kijiko cha chai mfuto

Siagi 400 gms

Sukari Β½ kikombe

Tende chambua ukatekate ifikie ΒΎ kikombe

Tangawizi ya unga vijiko 2 vya chai

Vanilla 1 kijiko cha chai

Yai 1

Maziwa mazito vijiko 2 vya kulia.

MAANDALIZI

Changanya siagi na sukari katika mashine usage mpaka iwe laini nyororo.
Tia yai uchanganye vizuri
Tia tende na vanilla, tangawizi uchanganye vizuri.
changanya unga na baking soda kisha, mimina kidogo kidogo huku unachanganya kwa kijiko cha ubao (mwiko).
Unga ukiwa mzito ongeza vijiko 2 vya maziwa. Fanya viduara upange katika treya uliyopakaza siagi kisha uchome (bake) katika over moto mdogo wa kiasi dakika 15 vigeuke rangi viwive.
Epua vikiwa tayari

kj.gif

Usisahau kushare posti hii Kwenye Mitandao ya Kijamii

[NZURI HIIπŸ‘‰] Faida za kufanya Masaji kiafya

[NZURI HIIπŸ‘‰] Mapishi ya samaki aina ya salmon

tafuta-rafiki.gif

.

.

.

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri.Soma%20Zaidi.gif

Melkisedeck%20Shine.gif