Tafuta

πŸ‘‰ Jinsi ya kutengeneza biskuti za Matunda Makavu Na CornflakesπŸ‘‡βœ”

VIAMBAUPISHI

Unga - 4 Vikombe

Sukari - 1 Kikombe

Baking powder 1 kijiko cha chai mfuto

Siagi - 454 gms

Mayai - 2

Matunda makavu (tende, zabibu, lozi) - 1 Kikombe

Vanilla - 2 Vijiko vya chai

Cornflakes - Β½ kikombe

JINSI YA KUANDAA

Changanya sukari na siagi katika mashine ya keki (cake mixer) mpaka iwe laini (creamy)
Tia yai moja moja huku unachanganya mpaka iwe laini kama sufi. (fluffy)
Tia unga, baking powder, matunda makavu, changanya na mwiko.
Chota mchanganyiko wa biskuti kwa mkono kama (kiasi cha kijiko kimoja cha supu) fanya duara na uchovye katika cornflakes iliyopondwa kwa mkono (crushed)
Zipange katika treya ya kupikia na zipike (bake) katika moto wa 375Β°F kwa muda wa kiasi dakika 15 huku unazitazama tazama.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Jinsi ya kutengeneza biskuti za Matunda Makavu Na Cornflakes).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Fahamu kuhusu kampeni ya Umoja wa Imani Lengo ni kudumisha Amani na Umoja bila kuangalia tofauti za imani zetu za kidini

πŸ‘‰JUA ZAIDI...

kj.gif
Ndugu zako wanapatikana hapa Wapo wanakusubiri uwatafute.

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...