AckySHINE Afya na Mapishi Β» Jinsi ya kutengeneza Biskuti Za Cornflakes

Tafuta

πŸ‘‰ Jinsi ya kutengeneza Biskuti Za CornflakesπŸ‘‡βœ”

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Here a data collection expert

MAHITAJI

Unga - 1 Kikombe

Sukari ya kusaga - 3/4 Kikombe

Siagi - 125 gms

Yai - 1

Baking powder - 1/2 kijiko cha chai

Zabibu kavu - 1/2 kikombe

Cornflakes iliyovunjwa (crushed) - 2 Vikombe

Vanilla - 1 kijiko cha chai

MAANDALIZI

Tia kwenye mashine ya kusaga (blender) au mashine ya keki, siagi, yai na vanilla uchanganye hadi ichanganyike vizuri.
Tia baking powder, zabibu na unga na changanya vizuri.
Paka siagi sinia ya kupikia ya oveni.
Tengeneza viduara vidogo vidogo.
Weka cornflakes katika sahani ya chali (flat) na zungusha viduara humo kisha upange katika sinia ya oveni.
Pika katika moto wa 350ΒΊF kwa muda wa dakika 20-25 hadi vigeuke rangi na viwive.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Jinsi ya kutengeneza Biskuti Za Cornflakes).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Meet Social science research Consultant Specialize in Research design, data collection, data procesing and data analysis

πŸ‘‰Jua Zaidi...


"Katika maisha, kinga kuu ya magonjwa na majanga yote ni kujikatalia au kujinyima."

ndugu.gif

Expert available for Hire

Data processing and analysis expert available For Both Qualitative and Quantitative data.
Soma%20Zaidi.gif