Jinsi ya kutengeneza Biskuti Za Chumvi

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Madhara ya kunywa soda, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Jinsi ya kutengeneza Biskuti Za Chumvi.

Jinsi ya kutengeneza Biskuti Za Chumvi

By, Melkisedeck Shine.

VIAMBAUPISHI

Unga - 3 Vikombe vya chai

Siagi - 250 gms

Baking powder - 3 Vijiko vya chai

Mayai - 2

Chumvi - 1 kijiko cha chai

Maziwa - 1/2 Kikombe

Pilipili manga ya unga 1 Kijiko cha chai

MAANDALIZI

Katika bakuli la kusagia (blender) au mashine ya keki, tia siagi, chumvi na mayai, piga mpaka iwe kama malai (cream).
Tia Unga, baking powder, pilipili manga.
Tia maziwa.
Kata usanifu (design) unayotaka na sokota au kunja kwa usanifu unaopenda.
Pika (bake) katika moto wa 350º C – usiviache vikawa rangu ya udongo (brown) sana.

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Jinsi ya kutengeneza Biskuti Za Chumvi. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Makala hii kuhusu, Jinsi ya kutengeneza Biskuti Za Chumvi, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

• Mapishi ya Biskuti Za Mtindi/Yoghurt, endelea kusoma...

• Ushauri kuhusu mwili wako, endelea kusoma...

• Mapishi ya mboga ya mnavu, endelea kusoma...

• Jinsi ya kutengeneza Biskuti Ya Keki Kavu (Shortcake), endelea kusoma...

• Jinsi ya kutengeneza Labania Za Maziwa, endelea kusoma...

• Jinsi ya kutengeneza Slesi Za Chokoleti Na Karameli, endelea kusoma...

• Jinsi ya kuandaa Vileja Vya Tambi, endelea kusoma...

• Jinsi ya kutengeneza Biskuti Za Tende, endelea kusoma...

• Jinsi ya kutengeneza Biskuti Za Tangawizi, endelea kusoma...

• MAPISHI YA LADU, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Jinsi ya kutengeneza Biskuti Za Chumvi, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

KUMSHUKURU-MPENZI-4559KJ438.JPG
KUKUTANA-MPENZI-FG94T.JPG