AckySHINE Afya na Mapishi Β» Jinsi ya kutengeneza Biskuti Ya Keki Kavu (Shortcake)

Tafuta

πŸ‘‰ Jinsi ya kutengeneza Biskuti Ya Keki Kavu (Shortcake)πŸ‘‡βœ”

VIAMBAUPISHI

Unga - 2 Magi (vikombe vya chai)

Sukari iliyosagwa - 2/3 Magi (kikombe cha chai)

Siagi - 220 g

Unga wa mchele - Β½ Magi

Yai -1

Vanilla - 1 kijiko cha chai

MAANDALIZI

Changanya vitu vyote hivyo kwenye bakuli mpaka unga ushikamane.
Paka mafuta treya ya kuchomea kisha utandaze kwenye treya ya 20cm kwa 30 cm au (8 in kwa 12 in)
Choma kwenye moto 325˚C kwa muda wa saa nzima au mpaka ibadilike kuwa rangi ya dhahabu.
Epua acha ipoe kisha kata vipande kama mstatili, weak kwenye sahani tayari kunywewa na chai.

NYONGEZA

Kwa unga huo huo unaweza kutengeneza vibiskuti vya duara duara.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Jinsi ya kutengeneza Biskuti Ya Keki Kavu (Shortcake)).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Hapa unaweza kuwakuta marafiki zako wa zamani Wanakupenda sana na wanakungoja uwatafute

πŸ‘‰Jua Zaidi...

tafuta-ndugu.gif

Expert available for Hire

Usipitwe na Kampeni hii Ni kampeni endelevu ya kuhamasisha ushirikiano, umoja na kusaidiana katika jamii kwa watu wa matabaka yote.
Soma%20Zaidi.gif