Jinsi ya kupika Wali Wa Samaki Na Mboga

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Namna ya kutengeneza Visheti Vya Nazi Na Njugu (Sudani), sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Jinsi ya kupika Wali Wa Samaki Na Mboga.

Unaalikwa pia kusoma kuhusu; Dondoo kuhusu tezi dume.

Jinsi ya kupika Wali Wa Samaki Na Mboga

By, Melkisedeck Shine.

VIPIMO VYA SAMAKI

Samaki wa sea bass vipande - 1 1/2 LB (Ratili)
Kitunguu saumu(thomu/galic) -1 Kijiko cha supu
pilipili mbichi iliyosagwa - 1 Kijiko cha chai
Bizari ya manjano au ya pilau - 1/2 Kijiko cha chai
Paprika ya unga au pilipili ya unga - 1 kijiko cha chai
Chumvi - Kiasi
Ndimu
Mafuta - 3 Vijiko vya supu

NAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKA

Roweka samaki kwa viungo hivyo vyote kwa muda wa robo saa hivi.

Washa oven moto wa 400F.
Kisha weka samaki katika trea na choma kwa muda wa dakika 15 na weka moto wa juu dakika za mwisho ili ipate rangi nzuri.
Ikishaiva epua na itakuwa tayari kuliwa.

VIPIMO VYA MBOGA

Gwaru (green beans) - 1 LB
Kitunguu saumu(thomu/galic) - 1 kijiko cha supu
Karoti - 4-5
Chumvi - Kiasi
Bizari ya manjano - 1/2 Kijiko cha chai
Pilipili manga - 1/4 kijiko cha chai
Mafuta ya zaituni - Kiasi

NAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKA

Kata kata karoti na toa sehemu ya mwisho za binzi.
Weka mafuta katika sufuria kisha kaanga karoti na gwaru
Kisha weka moto mdogo na funika ili ziwive na sio kuvurujika.
Karibu na kuiiva tia thomu kaanga kidogo,tia bizari ,chumvi na pilipili manga.
Ikisha changanyikana vizuri epua na tayari kuliwa na wali na samaki.

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Jinsi ya kupika Wali Wa Samaki Na Mboga. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Makala hii kuhusu, Jinsi ya kupika Wali Wa Samaki Na Mboga, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

• Mapishi ya samaki aina ya salmon, endelea kusoma...

• Namna ya kutibu chunusi kwa kutumia asprin, endelea kusoma...

• Jinsi ya kupika Biriyani Ya Nyama Ng'ombe, endelea kusoma...

• Mapishi ya Pilau Ya Nyama ya Kusaga, Adesi Za Brauni Na Zabibu, endelea kusoma...

• Mapishi ya viazi mbatata Vya Nazi Kwa Nyama Ya Ng'ombe, endelea kusoma...

• Mapishi ya Ndizi Mbichi Za Nyama Ng'ombe, endelea kusoma...

• Mapishi ya Koshari Na Sosi Ya Kuku, endelea kusoma...

• Mapishi ya Kidheri - Makande, endelea kusoma...

• Mapishi ya Bokoboko La Kuku, endelea kusoma...

• Jinsi ya kutengeneza Muhogo Wa Nazi Na Samaki Wa Kukaanga, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Jinsi ya kupika Wali Wa Samaki Na Mboga, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

rafiki.gif
UJUMBE-WA-ZA-JIONI-KWA-NDUGU.JPG