Jinsi ya kupika Wali Wa Karoti Na Nyama

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Jinsi ya kupika Mishkaki ya kuku, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Jinsi ya kupika Wali Wa Karoti Na Nyama.

Unaalikwa pia kusoma kuhusu; Jinsi ya kupika wali wa Tuna (samaki/jodari).

Jinsi ya kupika Wali Wa Karoti Na Nyama

By, Melkisedeck Shine.

Viambaupishi: Wali

Mchele 3 Magi

Mafuta 1/4 kikombe

Karoti unakata refu refu 3

Vitunguu maji kata vikubwa vikubwa 1 kikubwa

Pilipli manga 1/2 kijicho chai

Hiliki 1/2 kijiko chai

Karafuu ya unga 1/4 kijiko cha chai

Mdalasini wa unga 1/2 kijiko cha chai

Zaafarani (ukipenda) roweka katika maji 1 kijiko cha chai

Zabibu kavu (ukipenda) 1/4 kikombe

Chumvi kiasi

Jinsi ya kuandaa na kupika

1. Kwenye sufuria tia mafuta na kaanga karoti kidogo.

2. Tia vitunguu kisha tia bizari zote.

3. Tia maji kiasi (kutegemea aina ya mchele) na chumvi

4. Tia mchele upike uwive.

5. Karibu na kuwvia tia zabibu ukipenda.

6. Funika endelea kuupika hadi uwive.

Viambaupishi kwa Nyama

Nyama 2 Ratili (LB)

Chumvi Kiasi

Mafuta 1/4 kikombe

Kitunguu (kata virefu virefu) 1 Kikubwa

Pilipili mboga kubwa 2

(ukipenda moja nyekundu moja kijani)

unazikata vipande virefu virefu.

Figili mwitu (celery) kata vipande Miche miwili

virefu virefu

Jinsi ya kuandaa na kupika

1. Chemsha nyama hadi iwive

2. Ikaange kwa mafuta hadi iwe nyekundu

3. Weka vitunguu, pilipili mboga na figili mwitu

4. Kaanga kidogo tu kama dakika moja.

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Jinsi ya kupika Wali Wa Karoti Na Nyama. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Makala hii kuhusu, Jinsi ya kupika Wali Wa Karoti Na Nyama, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

• Mapishi ya Viazi, samaki na asparagus, endelea kusoma...

• Mapishi ya Firigisi za kuku, endelea kusoma...

• Mapishi ya Wali, Mchuzi Wa Nazi Wa Samaki Nguru, endelea kusoma...

• Jinsi ya kupika Pilau Ya Nafaka Na Nyama Ya Kusaga, endelea kusoma...

• Jinsi ya kupika Pilau Ya Samaki WaTuna Na Mboga, endelea kusoma...

• Jinsi ya kupika Pilau Ya Nyama Ya Ng'ombe Na Nyanya, endelea kusoma...

• Jinsi ya kupika Wali Wa Sosi Ya Tuna, endelea kusoma...

• Mapishi ya Pilau Ya Sosi Ya Soya Na Mboga, endelea kusoma...

• Jinsi ya kupika Vileja, endelea kusoma...

• Jinsi ya kupika Biskuti Za Tende, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Jinsi ya kupika Wali Wa Karoti Na Nyama, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

FURSA.PNG

Fursa Ya Kazi Na Ajira Yenye Malipo Mazuri

Au soma zaidi hapa

.

KUMSHUKURU-MPENZI-4559KJ438.JPG
KUKUTANA-MPENZI-FG94T.JPG