Kichekesho%20Kipya Usikose ๐Ÿ“•Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+โœ” Kina kurasa 270 zenye picha๐Ÿ“ท na vichekesh๐Ÿ˜‚ zaidi ya 300๐Ÿ’จ๐Ÿ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

ss.gif Jinsi ya kupika Wali wa hohoโœ…

๐Ÿ‘Baada ya kusoma kuhusu๐Ÿ‘‡;

IMG_20170703_130936.jpg
๐Ÿ’กLeo nimekutayarishia๐Ÿ’ซ makala kuhusu๐ŸŒ  Jinsi ya kupika Wali wa hoho๐Ÿ‘‡.

๐Ÿ’ฅJinsi ya kupika Wali wa hoho๐Ÿ‘‡

Wali wa hoho ni chakula maalum kinachotumika katika hafla au sherehe. Ni chakula chenye ladha nzuri na kina muonekano wa kuvutia kinapokuwa mezani tayari kwa kuliwa.

Mara nyingi huandaliwa kama zawadi katika harusi hususan kwa watu wa pwani. Kwa kuwa zawadi hiyo au maarufu kama kombe huwa kuna vyakula vingi, ikiwamo chakula hiki ambacho hufanya kombe kuwa na muonekano wa kupendeza.

Mbali na kuliwa kama kombe chakula hiki kinaweza kuandaliwa kama mlo wa usiku.

Mahitaji:

โ€ข Mchele ยฝ kg
โ€ข Nyanya 3
โ€ข Mafuta ya kupika ยผ kikombe cha chai
โ€ข Chumvi kiasi
โ€ข Kitunguu swaumu kilichosagwa kijiko 1 cha mezani
โ€ข Kitunguu maji kilichosagwa kijiko 1 cha mezani
โ€ข Hoho 4
โ€ข Nyama ya kusaga ยผ
โ€ข Tangawizi kijiko 1 cha chakula
โ€ข Limao au ndimu kipande

Maadalizi:

โ€ข Chukua mchele uoshe vizuri kasha chuja maji
โ€ข Chukua nyama ya kusaga na kamulia ndimu, weka chumvi na tangawizi, changanya vizuri na weka jikoni.iache ichemke hadi ikauke maji yote.
โ€ข Chukua maji na kiasi cha robo tatu lita chemsha na weka pembeni
โ€ข Chukua sufuria kavu yenye uwezo wa kupika kiasi cha kilo moja
โ€ข Weka mafuta ya kupika kiasi cha vijiko vitatu na acha yapate moto
โ€ข Weka vitunguu maji, menya nyanya na katakata halafu weeka katika sufuria hiyo.
โ€ข Weka chumvi na kanga hadi vilainike kabisa
โ€ข Baada ya kuiva weka vitunguu swaumu na baadaye mchele
โ€ข Koroga hadi uchanganyike na weka nyama. Endelea kukoroga, baada ya hapo weka maji kiasi cha kuivisha mchele huo. Acha vichemke hadi vikaukie.
โ€ข Palia mkaa juu yake au kama unatumia jiko la gesi au umeme weka kwenye oven hadi maji yakauke kabisa.
โ€ข Baada ya hapo chukua hoho na kasha kata upande wa juu kama vifuniko. Kasha ondoa matunda ya ndani yake. Funika na kasha zipange kwenye sufuria yenye maji na chumvi na mafuta kidogo kiasi cha kijiko kimoja. Chemsha jikoni hadi ziive.
โ€ข Baada ya kuiva, chukua hoho zako na kasha chota wali kw akutumia kijiko kasha jaza katika kila hoho na weka kwenye sahani tayari kwa kuliwa.
โ€ข Unaweza kupamba na salad ukipenda.

๐Ÿ‘ŠUsikubali kupitwa na ๐Ÿ“•Kitabu cha SIRI ZA MWANAMKE๐Ÿ‘ง๐Ÿ‘—๐Ÿ‘ . Kinamwelezea๐Ÿ”ŽMwanamke๐Ÿ” kinagaubagaโœ”. ๐Ÿ‘‰Bofya hapa Kuchukua๐Ÿ‘ˆ

images-24.jpeg

๐Ÿ“Nini Maoni๐Ÿ’ญ yako Kuhusu Jinsi ya kupika Wali wa hoho? Niandikie hapa๐Ÿ‘‡

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
IMG_20170703_130405.jpg

๐Ÿผ Endelea kusoma kuhusu;-๐Ÿ™‰

.

.

.

.

.

๐Ÿ“ Misemo ya AckySHINE๐Ÿ‘‡

MA.gif
Kichekesho%20Kipya Usikose ๐Ÿ“•Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+โœ” Kina kurasa 270 zenye picha๐Ÿ“ท na vichekesh๐Ÿ˜‚ zaidi ya 300๐Ÿ’จ๐Ÿ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

.

images-15.jpeg

Habari msomaji wangu…?
Jina langu ni Melkisedeck Leon Shine Mwendeshaji wa blog hii.

Usisite kuniandikia maoni,mapendekezo au maswali hapa

Jina
Mahali ulipo
Mfano Mkoa, Wilaya n.k
Email
Itatumika kukujibu
Maoni yako

KUHUSU BLOG HII | MAWASILIANO | ABOUT AUTHOR | LEGAL GUIDELINES