Jinsi ya kupika vitumbua inavyotakiwa

By, Melkisedeck Shine.

Mahitaji

Unga wa mchele ( Vikombe 2 vikubwa)
Sukari (Nusu ya kikombe kikubwa)
Hamira ( Nusu ya kijiko cha chai)
Hiliki (Nusu ya kijiko cha chai)
Tui la nazi ( Kikombe kimoja kikubwa)
Unga wa ngano (Vijiko viwili vya chakula)
Mafuta ya kuchomea (Vegetable oil)

Matayarisho

Unachanga unga, sukari, hamira, hiliki, unga wa ngano na tui la nazi pamoja katika bakuli la plastiki. Kisha unaukoroga mpaka mchanganyiko unakuwa kama uji mzito. Kava bakuli lililokuwa na mchanganyiko kisha hifadhi katika sehemu yenye joto kwa muda wa masaa matatu.

Jinsi ya kupika

Weka chuma cha kuchomea vitumbua katika moto wa wastani, kisha weka mafuta kwenye chuma cha kuchomea ( Kijiko kimoja cha chai) mafuta yakisha pata moto tia uji wako (upawa mmoja) katika kila shimo la chuma cha kuchomea. Acha mpaka kitumbua kikauke kisha geuza na tia mafuta. Acha upande wa pili wa kitumbua mpaka uwe rangi ya kahawia na hapo kitumbua kitakuwa kimeiva utakitoa. Rudia hatua hizo kwa vitumbua vyote vilivyobaki.

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Jarida la kilimo bora cha HOHO

[kitendawili kwako] πŸ‘‰Mwanaume kaota ndevu na mwanamke kaota ndevu

Endelea kusoma makala hizi zinazofanana na hii ya, Jinsi ya kupika vitumbua inavyotakiwa;

a.gif Mapishi ya Mandazi

Unga wa ngano (nusu kilo)
Sukari (Kikombe 1 cha chai)
Chumvi (nusu kijiko cha chai)
Hamira (kijiko kimoja cha chai)
Yai (1)
Maziwa ya unga (vijiko 2 vya chakula)
Butter (kijiko 1 cha chakula)
Hiliki (kijiko1 cha chai)
Maji ya uvuguvugu ya kukandia
Mafuta ya kuchomea.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Chicken Satay

Kidali cha kuku 1 (chicken breast)
Kitunguu maji 1/2 (onion)
Kitunguu swaum/tangawizi (garlic and ginger paste) 1 kijiko cha chai
Limao ( lemon)1/4 kijiko cha chai
Curry powder 1/4 kijiko cha chai
Pilipili ya unga kidogo (Chilli powder)
Coriander powder 1/4 kijiko cha chai
Soy sauce 1kijiko cha chai
Mafuta 2 vijiko vya chai.
Chumvi kiasi (salt)
Vijiti vya mishkaki.. endelea kusoma

a.gif Mapishi mazuri ya Chapati za maji

Unga wa ngano (plain flour) ( 1/4 kilo)
Yai (egg 1)
Sukari (sugar 1/4 kikombe cha chai)
Chumvi (salt 1/4 kijiko cha chai)
Hiliki (ground cardamon 1/4 kijiko cha chai)
Maji kiasi
Mafuta (vegetable oil).. endelea kusoma

MPENZI-MLO-MWEMA-34NG.JPG

a.gif Kampeni ya Kudumisha Amani na Upendo

Kampeni hii ilianzishwa Rasmi Mwaka 2014 na Melkisedeck Leon Shine.
Lengo la kampeni Hii ni kudumisha Amani na Upendo bila kuangalia tofauti zetu.
Kampeni hii inaamini kuwa katika upendo kuna amani.
Kampeni hii inafundisha kwamba upendo wa kweli ni wa kuwafanyia wengine vile ungependa kufanyiwa nao. Kila mtu amfanyie mwenzake vile anavyopenda afanyiwe… endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kuandaa Vileja Vya Karanga

Mayai 5.. endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kupika Biskuti Za Tende

Unga 4 Vikombe vya chai.. endelea kusoma

a.gif Umuhimu wa kupata chanjo

Siku zote sisi wanadamu huwa tunaambizana kuwa, kinga ni bora kuliko tiba, tukiwa na maana kwamba, ni vyema mtu ukachukua tahadhari mapema kabla haujafikwa na jambo au tatizo fulani… endelea kusoma

FURSA.PNG

Fursa Ya Kazi Na Ajira Yenye Malipo Mazuri

Au soma zaidi hapa

.

PONGEZI-MPENZI-24498UA8.JPG
UJUMBE-WA-SHUKRANI-KWA-NDUGU.JPG

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.