Jinsi ya kupika Visheti

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Mapishi ya tambi za kukaanga, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Jinsi ya kupika Visheti.

Unaalikwa pia kusoma kuhusu; Bisikuti Za Kokoa (Cocoa Biscuits).

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Look for Research Consultant?

Jinsi ya kupika Visheti

By, Melkisedeck Shine.

Viamba upishi

Unga 2 Vikombe

Samli au shortening ya mboga 2 Vijiko vya supu

Maziwa ΒΎ Kikombe

Iliki Kiasi

Mafuta ya kukarangia Kiasi

Shira

Sukari 1 Kikombe

Maji ΒΎ Kikombe

Vanila Β½ Kijiko cha chai

Zafarani (ukipenda) Kiasi

Jinsi ya kupika na kuandaa

Katika kisufuria pasha moto maziwa na wakati huo huo chemsha Samli katika kisufuria kengine.
Tia unga katika bakuli na iliki, kisha mimina samli iliyochemka na huku unachanganya, kisha tia maziwa na uwendele kuchanganya vizuri isiwe na madonge, ikiwa maziwa haitoshi ongeza maji kidogo.
Kisha uwache unga ukae mahali pa joto kwa muda wa dakika 10 hivi.
Halafu fanya viduara vidogo vidogo, kisha finyiza kwenye greta yenye vishimo vidogo ili upate umbo kama kwenye picha.
Kisha karanga kwenye mafuta yaliyopata moto hadi vibadilike rangi ya dhahabu, kisha viepue vichuje mafuta.
Chemsha shira, ikiwa tayari mimina visheti na upepete na kuzichanganya zipate shira kote.
Weka kwenye sahani na zitakuwa tayari kwa kuliwa na kahawa.

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Jinsi ya kupika Visheti. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Makala hii kuhusu, Jinsi ya kupika Visheti, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

β€’ Mapishi ya Kuku wa kukaanga, endelea kusoma...

β€’ Mapishi ya Muhogo Na Mbatata Za Nazi Kwa Nyama Ngombe, endelea kusoma...

β€’ Mapishi ya Sponge keki, endelea kusoma...

β€’ Bisikuti Za Kokoa (Cocoa Biscuits), endelea kusoma...

β€’ Jinsi ya kupika Biskuti Za Ufuta Na Jam, endelea kusoma...

β€’ Jinsi ya kupika Biskuti Ya Keki Kavu kwa kizungu Shortcake, endelea kusoma...

β€’ Jinsi ya kupika Labania Za Maziwa, endelea kusoma...

β€’ Jinsi ya kupika Slesi Za Chokoleti Na Karameli, endelea kusoma...

β€’ Jinsi ya kupika Visheti Vya Kastadi Vya Shepu Ya Kombe, endelea kusoma...

β€’ Mapishi – Kisamvu cha Karanga, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Jinsi ya kupika Visheti, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

FURSA.PNG

Fursa Ya Kazi Na Ajira Yenye Malipo Mazuri

Au soma zaidi hapa

.

ndugu.gif
SALAMU-JIONI98HBS.JPG