Jinsi ya kupika Vileja

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Mapishi ya Pilau Ya Bilingani Na Kuku, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Jinsi ya kupika Vileja.

Jinsi ya kupika Vileja

By, Melkisedeck Shine.

VIPIMO

Unga wa mchele 500g

Samli 250g

Sukari 250g

Hiliki iliyosagwa 1/2 kijiko cha chai

Arki (rose flavour) 1/2 kijiko cha chai

Baking powder 1 kijiko cha chai

Mayai 4

Maji ya baridi 1/2 kikombe cha chai

NAMNA YA KUTAYRISHA NA KUPIKA

1. Saga sukari iwe laini kiasi, changanya unga wa mchele, baking powder, hiliki na sukari.

2. Pasha moto samli mpaka iwe nyepesi kama maji mimina kwenye ule mchanganyiko wa unga wa mchele, kisha uchanganye pamoja na arki.

3. Ongeza mayai yaliopigwa endelea kuchanganya mpaka unga umeanza kuchanganyika vizuri.

4. Ongeza maji ya baridi sana kama nusu kikombe tu ili uchanganyike vizuri.

5. Kata kwa design unayotaka viwe vinene visiwe kama cookies za kawaida kama ilivyo kwenye picha na ukipenda utaweka kidoto kwa kutumia zaafarani katikati ya kileja kama inavyoonesha hapo juu.

6. Choma kwa moto wa baina ya 300F na 350F kwa dakika 15 mpaka 20 visiwe vyekundu toa na tayari kwa kuliwa.

Rejea alhidaaya.com

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Jinsi ya kupika Vileja. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Makala hii kuhusu, Jinsi ya kupika Vileja, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

• Jinsi ya kupika Biryani ya mbogamboga, endelea kusoma...

• Jinsi ya kupika Pilau ya Mpunga Na Nyama Ya Ng’ombe, endelea kusoma...

• Mapishi ya Ndizi na Nyama Ya Ng’ombe-2, endelea kusoma...

• Jinsi ya kupika Biskuti Za Tende, endelea kusoma...

• Jinsi ya kupika Vileja Vya Tambi, endelea kusoma...

• Jinsi ya kupika Biskuti Za Njugu/Matunda Makavu (Rock Cakes), endelea kusoma...

• Jinsi ya kupika Biskuti Za Tende Na Ufuta, endelea kusoma...

• Jinsi ya kupika Visheti Vyeupe Na Vya Kaukau, endelea kusoma...

• Jinsi ya kupika Biskuti Za Kuchoveya Chokoleti, endelea kusoma...

• Jinsi ya kupika Donati, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Jinsi ya kupika Vileja, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

NIMEKUMISI-MPENZI086H.JPG
Marafiki-wa-enzi.GIF