Jinsi ya kupika Slesi Za Chokoleti Na Karameli

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Mapishi ya Biriani Ya Tuna, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Jinsi ya kupika Slesi Za Chokoleti Na Karameli.

Jinsi ya kupika Slesi Za Chokoleti Na Karameli

By, Melkisedeck Shine.

Viamba upishi

Unga 1 Magi (vikombe vya chai)

Sukari ya browni Β½ Magi

Siagi iliyoyayushwa 125 g

Nazi iliyokunwa Β½ Magi

Mjazo wa karameli (Caramel filling)

Syrup 1/3 kikombe cha chai

Siagi iliyoyayushwa 125 g

Maziwa matamu ya mgando 2 vikopo (condensed milk)

Mjazo wa chokoleti (Chocolate filling)

Chokoleti 185 g (dark chocolate)

Mafuta 3 Vijiko vya chai

Jinsi ya kuandaa na kupika

1. Changanya unga, sukari, siagi na nazi iliyokunwa kwenye bakuli mpaka unga ushikamane.

2. Paka mafuta treya ya kuchomea kisha utandaze kwenye treya ya 20cm kwa 30 cm au (8 in kwa 12 in) unaweza kuweka karatasi ya kuchomea chini ukipenda.

3. Choma kwenye moto 325˚C kwa muda wa dakika 15 mpaka 18 au mpaka ibadilike kuwa rangi ya browni.

4. Kwenye sufuria ndogo tia syrup siagi na maziwa matamu ya mgando na changanya kwa moto mdogo mpaka uwe mzito kasha mimina juu ya keki uliyochoma na choma tena kwa muda wa dakika 20 mpaka karameli iwe rangi ya dhahabu.

5. Kwenye sufuria ndogo nyingine tia vipande vya chokoleti na mafuta na ukoroge kwa moto mdogo mpaka iyayuke kisha wacha ipoe kidogo mimina juu ya mjazo wa karameli kisha weka kwenye friji mpaka ishikamane.

6. Kata vipande weka kwenye sahani tiyari kwa kuliwa

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Jinsi ya kupika Slesi Za Chokoleti Na Karameli. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Makala hii kuhusu, Jinsi ya kupika Slesi Za Chokoleti Na Karameli, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

β€’ Mapishi ya mboga ya mnavu, endelea kusoma...

β€’ Jinsi ya kupika Mkate, endelea kusoma...

β€’ Mapishi ya Pilau Ya Adesi Za Brown Karoti Na Mchicha Kwa Samaki Wa Salmon, endelea kusoma...

β€’ Jinsi ya kupika Visheti Vya Kastadi Vya Shepu Ya Kombe, endelea kusoma...

β€’ Mapishi – Kisamvu cha Karanga, endelea kusoma...

β€’ Mapishi – Saladi ya Matunda, endelea kusoma...

β€’ Mapishi – Mayai Mchanganyiko, Tosti na Soseji, endelea kusoma...

β€’ Mapishi – Fish Finger, endelea kusoma...

β€’ Mapishi ya Chicken Curry, endelea kusoma...

β€’ Jinsi ya kupika kisamvu bila nazi, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Jinsi ya kupika Slesi Za Chokoleti Na Karameli, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.