Jinsi ya kupika Pilau ya Nyama ya Kusaga Na Mboga Mchanganyiko

By, Melkisedeck Shine.

afya-mapishi-na-lishe.png

Jinsi ya kupika Pilau ya Nyama ya Kusaga Na Mboga Mchanganyiko

Mahitaji

Mchele - 2 Mugs

Viazi - 3

Nyama ya Kusaga - 1 Pound

Mboga mchanganyiko za barafu - 1 Mug

(Frozen vegetable)

Kitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi - 2 vijiko vya supu

Garam masala - 1 kijiko cha supu

Nyanya - 1

Kitungu maji - 1

Mdalasini nzima - 1 vijiti

Karafuu - 3 chembe

Pilipili mbichi - 1

Chumvi - kiasi

Maji - 2 ½ Mugs

Mafuta - 3 vijiko vya supu

Namna Ya Kutayarisha Na Kupika

Osha mchele na uroweke kiasi kutegemea aina ya mchele.
Katakata viazi kaanga katika mafuta, toa weka kando.
Tia mafuta katika sufuria, kaanga kitunguu maji mpaka kigeuke rangi ya hudhurungi (brown).
Tia nyama ya kusaga, thomu na tangawizi, pilipili, bizari zote na chumvi. Kaanga hadi nyama iwive.
Katakata nyanya uliyokatakata itie katika mchanganyiko wa nyama na endelea kukaanga kidogo tu.
Tia mboga ya barafu (frozen vegetables)
Tia maji, kidonge cha supu.
Yatakapochemka tia mchele.
Punguza moto uwe mdogo funika kwa muda wa ½ saa hadi wali ukauke na uwive. Utakuwa tayari kuliwa.


Endelea kusoma makala hizi zinazofanana na hii ya, Jinsi ya kupika Pilau ya Nyama ya Kusaga Na Mboga Mchanganyiko;

a.gif Mapishi ya Biriani Ya Samaki Nguru, Njegere Na Snuwbar (UAE)

Mchele wa basmati - 4 cups.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Borhowa

Daal (lentils) nyekundu au/na kijani - 1 Kikombe kikubwa

Bizari ya manjano ya unga - 1/2 Kijiko cha chai

Pili pili ya unga - 1/2 kijiko cha chai

Chumvi - Kiasi

Maji ya ndimu - 3 Vijiko vya supu

Kitunguu - 1 kiasi

Kitunguu saumu(thomu/galic) - 1 Kijiko cha chai

Bizari ya unga (cummin powder) - 1 Kijiko cha chai

Mafuta ya kukaangia - Kiasi.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Wali Wa Tambi Na Kuku Wa Sosi Ya Mtindi

Mchele - 3 vikombe.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Biriani Ya Kuku Wa Kuchoma (Grilled)

Mchele wa Basmati /Pishori - 4 vikombe.. endelea kusoma

a.gif Faida 14 za kufunga chakula

Watu wengi wanafahamu kuwa kufunga kula ni swala linalohusiana na imani zaidi. Wengi hawafahamu kuwa kufunga kula kuna manufaa ya kiafya pia. Kufunga kula ni tendo lenye historia ndefu sana ambayo kimsingi chimbuko lake ni sababu za kiimani. Hata hivyo shuhuda na tafiti mbalimbali zimedhihirisha kuwa kuna manufaa mengine kemkem ya kufunga kula mbali na yale ya kiimani… endelea kusoma

a.gif Namna ya kutengeneza Visheti Vya Nazi Na Njugu (Sudani)

Unga - 3 mug za chai.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Wali Wa Nazi Wa Adesi, Bamia Na Mchuzi Wa Kamba

Mchele - 2 vikombe.. endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kupika Biskuti Za Ufuta Na Jam

Unga 2 Viwili.. endelea kusoma

picha-kali.png

.

uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png
UJUMBE-WA-POLE-MPENZI-7798766.JPG
afya-mapishi-na-lishe.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.