Tafuta

🍴 AckySHINE Afya & MapishiπŸ‘‡

.

Unatafutwa na marafiki zako wa zamani Bado wanakupenda sana ndio maana wanakutafuta

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

πŸ‘‰ Jinsi ya kupika mboga ya majani ya mashona nguoπŸ‘‡βœ”

Viamba upishi

Mashonanguo mkono 1
Tui la nazi kikombe 1
Karanga zilizosagwa kikombe Β½
Mafuta vijiko vikubwa 4
Kitunguu 1
Nyanya ndogo 2
Chumvi kiasi

Hatua

β€’ Chambua mashona nguo mateke, osha na katakata.
β€’ Menya osha na katakata kitunguu.
β€’ Osha, menya na katakata nyanya.
β€’ Kaanga karanga, ondoa maganda na saga zilainike.
β€’ Kuna nazi na chuja tui.
β€’ Kanga kitunguu, weka nyanya na koroga mpaka zilainike.
β€’ Weka mashona nguo na chumvi kisha koroga sawa sawa,
funikiakwa dakika 5 -10.
β€’ Changanya tui la nazi na karanga, ongeza kwenye hizo mboga
ukikoroga kwa dakika 5, punguza moto ili ziive taratibu.
β€’ Onja chumvi na pakua kama kitoweo.
Uwezekano
Changanya mnavu, mgagani, mashonanguo kidogo ki¬dogo au
mboga nyingme.
Tumia maziwa au krimu badala ya tui la nazi.
Weka nyama au dagaa au samaki au mayai badala ya - karanga.

Soma%20Zaidi.gif Napendekeza uendelee kusoma kuhusu; Matumizi ya Mrehani (basil) kutibu presha ya kushuka.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Jinsi ya kupika mboga ya majani ya mashona nguo).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

wadogo.gif

.