Tafuta

🍴 AckySHINE Afya & MapishiπŸ‘‡

.

πŸ‘‰ Jinsi ya kupika Labania Za MaziwaπŸ‘‡βœ”

Viamba upishi

Maziwa ya unga 2 vikombe

Sukari 3 vikombe

Maji 3 vikombe

Unga wa ngano Β½ kikombe

Mafuta Β½ kikombe

Iliki kiasi

Jinsi ya kuandaa na kupika

Paka sinia mafuta kabla ya kupika labania
Katika sufuria chemsha maji na sukari pamoja na iliki mpaka inate vizuri
Kisha mimina mafuta koroga
Halafu mimina unga wa ngano na ukoroge haraka haraka
Kisha tia unga wa maziwa, endelea kukoroga usiwe na madonge mpaka uwe rangi ya browni isiokoleza.
Kisha mimina mchanganyiko kweye sinia uliyoipaka mafuta, iwache ipoe na kata kata upendavo na itakuwa tayari.

Soma%20Zaidi.gif Napendekeza uendelee kusoma kuhusu; Dondoo muhimu kwa Afya yako unapostuka usiku.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Jinsi ya kupika Labania Za Maziwa).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Mtafute ndugu yako mliopotezana Yupo hapa anakutafuta wewe

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

ml.gif

.