Jinsi ya kupika Keki Ya Maboga

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Matumizi ya juisi ya limao kutibu shinikizo la chini la damu, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Jinsi ya kupika Keki Ya Maboga.

Endelea kefurahia makala nzuri kila siku unapotembelea tovuti hii.

Jinsi ya kupika Keki Ya Maboga

By, Melkisedeck Shine.

Viamba upishi

Unga wa ngano vikombe vikubwa 3
Boga lililopondwa kikombe 1
Baking powder vijiko vidogo
Sukari kikombe kikubwa 1
Blue band kikombe Β½
Vanilla kijiko kidogo 1
Mayai 2
Maji kiasi/ maziwa
(kama nilazima)

Hatua

β€’ Osha boga, Kata, ondoa mbegu, kisha kata vipande vikubwa, chemsha na maji mpaka vilainike.
β€’ Kwangua boga la ndani ukiacha maganda na ponda sawasawa.
β€’ Chekecha unga (kila kikombe 1, vijiko vidogo 2 vya baking powder) kwenye bakuli kubwa.
β€’ Ongeza blue band na changanya sawasawa na vidole.
β€’ Ongeza sukari na changanya.
β€’ Ongeza mayai na koroga na mwiko.
β€’ Ongeza boga lililopondwa na koroga njia moja mpaka ilainike.
β€’ (Kama haikulainika ongeza yai /mayai au maziwa/ maji kidogo).
β€’ Ongeza vanilla na koroga.
β€’ Paka mafuta chombo cha kuokea au sufuria kisha chekecha unga kidogo wa ngano.
β€’ Mimina rojo la keki kwenye sufuria au chombo cha kuokea.
β€’ Oka kwenye oven au tumia sufuria na weka mkaa wa moto juu na chini moto kidogo mpaka iive.
β€’ Jaribu kuchoma kisu katikati, kama ni kavu keki imeiva, epua, pozesha kata tayari kwa kula, kama kitafunio.

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Jinsi ya kupika Keki Ya Maboga. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Makala hii kuhusu, Jinsi ya kupika Keki Ya Maboga, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

β€’ Mapishi ya wali Wa Nazi Kwa Mchuzi Wa Nyama Ng’ombe Na Mchicha, endelea kusoma...

β€’ Matumizi ya kahawa kutibu presha ya kushuka au shinikizo la chini la damu, endelea kusoma...

β€’ Njia bora za kumfanya mtu aache kuvuta sigara, endelea kusoma...

β€’ Jinsi ya kupika Mgagani, endelea kusoma...

β€’ Jinsi ya kutengeneza juisi ya nyanya, endelea kusoma...

β€’ Jinsi ya kupika mboga ya majani ya mashona nguo, endelea kusoma...

β€’ Jinsi ya kupika Mchuzi Wa Ngogwe Na Bamia, endelea kusoma...

β€’ Lishe, endelea kusoma...

β€’ Madhara ya nyama nyekundu kwa mtu mwenye VVU, endelea kusoma...

β€’ Vidokezo vya kukusaidia ule mboga za majani zaidi, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Jinsi ya kupika Keki Ya Maboga, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

A Mapishi ya Ugali, dagaa (wabichi) na matembele, soma zaidi...
A Mapishi ya Firigisi za kuku, soma zaidi...
A Jinsi ya kutibu chunusi kwa Siki ya tufaa, soma zaidi...
A Jinsi ya kuepuka kunuka mdomo, soma zaidi...
A Mapishi ya Chicken Curry, soma zaidi...
A Jinsi ya kuondoa kitambi na kupata afya nzuri, soma zaidi...
A Soma hii Kabla hujafikiria kula nyama ya nguruwe tena, soma zaidi...

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.