Tafuta

πŸ‘‰ Jinsi ya kupika Cookies Za Jam Ya Peach Na RaspberryπŸ‘‡βœ”

MAHITAJI

Unga kikombe 1 Β½

Siagi Β½ kikombe

Sukari Β½ kikombe

Yai 1

Vanilla 1 kijiko cha chai

Jam ya peach na raspberry

MAANDALIZI

Wash oven moto wa takriban 180 – 190 Deg F
Piga siagi na sukari katika mashine mpaka iwe laini na nyororo (creamy) kisha weka yai na vanilla.
Tia unga kidogo kidogo uchanganye kwa mwiko wa mbao (wooden spoon).
Pakaza mkononi unga uchukue vidonge ubonyeze kufanya vishimo vya kuwekea jam.
Panga katika treya uliyopakaza siagi.
Tia nusu yake jam ya peach na nusu jam ya raspberry
Bake katika oven kiasi robo saa mpaka ziwive na kugeuka rangi ya brown light.
Epua vikiwa tayari

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Jinsi ya kupika Cookies Za Jam Ya Peach Na Raspberry).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Toa tangazo la kituo cha kutoa msaada bure Kituo chako kitatangazwa hapa bure

πŸ‘‰Jua Zaidi...


"Kukosa mtu, kitu au jambo fulani kunasababila Moyo kujenga upendo kwenye mtu, kitu au jambo ulilolikosa."

Ndugu.gif
MNNNBBBBB.gif
clicking-your-heels-smiley-emoticon.gif
happy-spring-smiley-emoticon.gif
MMHGRU.gif

Expert available for Hire

Jiunge na Kampeni ya usafi Binafsi Lengo la kampeni Hii ni kuhamasisha watu kudumisha usafi wao binafsi kwa afya zao na kwa maendeleo yao..
Soma%20Zaidi.gif
Jiunge na Kampeni ya usafi na Utunzaji wa mazingira Lengo ni kuhamasisha watu kusafisha na kutunza mazingira yao kwa manufaa yao ya sasa na kwa manufaa ya vizazi vijavyo..
Soma%20Zaidi.gif