Tafuta

πŸ‘‰ Jinsi ya kupika Biskuti Za Ufuta Na JamπŸ‘‡βœ”

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Look for baseline survey expert?

Viamba upishi

Unga 2 Viwili

Sukari ya kusaga 1/4 Kikombe

Siagi 250 gms

Jam kisia

Ufuta Kisia

Vanilla 1 kijiko cha chai

Jinsi ya kuandaa na kupika

1. Tia kwenye mashine ya kusaga (blender) au mashine ya keki, siagi, yai, sukari na vanilla uchanganye hadi ichanganyike vizuri.

2. Tia baking powder, na unga na changanya kwa mkono vizuri.

3. Paka siagi sinia ya kupikia ya oveni.

4. Tengeneza viduara vidogo vidogo.

5. Bonyeza kila kiduara katikati kwa kidole, kisha weka jam, halafu juu yake paka mayai na unynyuzie ufuta.

6. Pika katika moto wa chini 350ΒΊF kwa muda wa dakika 20-25.

7. Tayari kwa kuliwa.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Jinsi ya kupika Biskuti Za Ufuta Na Jam).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Hapa umerahisishiwa kuonana na marafiki zako wa zamani Ni rahisi kikwelii, utafurahi mwenyewe

πŸ‘‰JUA ZAIDI...

msaada.gif
Marafiki zako mliopotezana wanakutafuta Wanakungoja kwa hamu sana uwatafute na wao.

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...