Jinsi ya kupika Biskuti Za Tende Na Ufuta

By, Melkisedeck Shine.

Viambaupishi

Unga 3 Vikombe vya chai

Baking powder 1 ½ Vijiko vya chai

Sukari 1 Kikombe cha chai

Siagi 1 Kikombe cha chai

Mayai 2

Maji kiasi ya kuchanganyia

Tende 1 Kikombe

ufuta ¼ kikombe

Jinsi ya kuandaa na kupika

1. Changanya unga, siagi, baking powder, na sukari katika bakuli

2. Tia mayai, na maji kidogo uchanganye vizuri.

3. Sukuma kiasi kama unavyosukuma chapati duara kubwa.

4. Tandaza tende juu yake halafu kunja hadi mwisho.

5. Paka mayai juu yake halafu mwagia ufuta kisha kata kata vipande kama katika picha.

6. Vipange kwenye treya ya oveni kisha choma(bake)moto wa 350°F kwa muda wa nusu saa takriban.

7. Ziepue katika moto naziache zipowe. Panga katika sahani.


UJUMBE-ZA-USIKU-KWA-NDUGU.JPG

Endelea kusoma makala hizi zinazofanana na hii ya, Jinsi ya kupika Biskuti Za Tende Na Ufuta;

a.gif Jinsi ya kupika Visheti Vyeupe Na Vya Kaukau

Unga wa Visheti.. endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kupika Biskuti Za Kuchoveya Chokoleti

Unga 300gm.. endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kupika Biskuti Za Njugu/Matunda Makavu (Rock Cakes)

Unga 4 Vikombe

Sukari 10 Ounce

Siagi 10 Ounce

Mdalasini ya unga 2 vijiko vya chai

Matunda makavu/njugu (kama lozi,
Zabibu, maganda ya chungwa,
Cherries na kadhalika 4 ounce

Maziwa ya maji 4 Vijiko vya supu.. endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kupika Vileja Vya Tambi

Tambi (vermiceli Roasted) Mifuko 2.. endelea kusoma

[Kitendawili Kwako] 👉Bibi yako walipomzika hajaoza

MLO-MWEMA-KWA-NDUGU-UJUMBE.JPG

a.gif Mapishi ya Kuku wa kukaanga

Miguu ya kuku (chicken legs) 10
Kitunguu swaum na tangawizi (ginger & garlic paste) 1 kijiko cha chakula
Limao (lemon) 1
Pilipili iliyosagwa (ground scotch bonnet) 1/2
Giligilani iliyokatwakatwa (chopped coriander) kiasi
Chumvi (salt) kiasi
Mafuta ya kukaangia (veg oil).. endelea kusoma

a.gif Faida za kiafya za Kula Matunda

Matunda yote yana faida mwilini kiafya lakini matunda yanatofautiana kifaida. Zifuatazo ni faida za kula matunda ya aina Mbalimbali;.. endelea kusoma

a.gif Umuhimu wa kufanya Masaji

Kufanya Masaji kuna faida hizi zifuatazo;.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya mboga ya mnavu

Mnavu mkono 1
Kitungu 1
Karoti 2
Maziwa kikombe 1
Mafuta vijiko viubwa 4
Karanga zilizosagwa kikombe 1
Chumvi kiasi ½.. endelea kusoma

[Jarida la Bure] 👉Kijitabu cha Kilimo Bora cha Hoho

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

KUMSHUKURU-MPENZI-4559KJ438.JPG
UJUMBE-KUOMNBA-KUKUTANA-NA-NDUGU.JPG

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.