Tafuta

.

Marafiki zako mliopotezana wako hapa Wapo kukutafuta wewe uliyepotezana

👉SOMA ZAIDI HAPA...

👉 Jinsi ya kupika Biskuti Za Kuchoveya Chokoleti👇✔

Viambaupishi

Unga 300gm

Siagi 225gm

Icing Sugar 60gm

Chokoleti iliyokoza (Dark Chocolate) 225gm

Vanilla 2 kijiko cha chai

Yai 1

Baking Powder ½ kijiko cha chai

Njugu za vipande ½ kikombe cha chai

Njugu zilizosagwa ¼ kikombe cha chai

Jinsi ya kuandaa na kupika

1. Piga sukari na siagi katika mashine ya keki mpaka iwe laini

2. Kisha mimina yai na vanilla koroga vizuri

3. Mwisho mimina unga na baking powder polepole mpaka ichanganyike.

4. Kata kata umbo (shape) lolote unavyopenda (kama nyota, pembetatu,duara, kopa n.k)

5. Panga kwenye treya na choma kwa moto wa 350°C , vikibadilika rangi kidogo tu vitoe

6. Yayusha chokoleti tia kwenye bakuli ndogo.

7. kisha paka kwa kijiko au chovyea upande mmoja mmoja wa biskuti kisha nyunyizia njugu za kipande na njugu ya unga.

8. Panga kwenye sahani tiyari kunywewa na chai ya maziwa au kahawa.

Soma%20Zaidi.gif Napendekeza uendelee kusoma kuhusu; Jinsi ya kupika Viazi Vya Nazi Kwa Nyama.

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (Jinsi ya kupika Biskuti Za Kuchoveya Chokoleti).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔

Marafiki zako wa zamani utawakuta hapa sasa Bado wanakupenda sana na wanakungoja kwa hamu kubwa

👉SOMA ZAIDI HAPA...

nn.gif

.