Tafuta

πŸ‘‰ Jinsi ya kupika Biskuti Za Kopa Za Kunyunyuziwa Sukari Za RangiπŸ‘‡βœ”

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Usipitwe na Kampeni hii

MAHITAJI

Unga vikombe 2 ΒΌ

Siagi 250g

Sukari kukaribia kikombe Β½ (au takriban vijiko 10 vya kulia)

Baking powder Β½ kijiko cha chai

Ute wa yai 1

Vanilla 1 kijiko cha chai

Sukari Ya Kunyunyizia na rangi mbali mbali.

MATAYARISHO

Kagawa sukari katika vibakuli utie rangi mbali mbali uweke kando.
Changanya siagi na sukari katika mashine ya kusagia keki upige mpaka ilainike iwe nyororo.
Tia ute wa yai vanilla uhanganye vizuri.
Tia unga na baking powder kidogo kidogo uchanganye upate donge.
Sukuma donge ukate kwa kibati cha shepu ya kopa.
Pakaza siagi katika treya ya kupikia kwenye oveni upange biskuti
Nyunyizia sukari za rangi rangi kisha pika katika oven moto mdogo wa baina 180 – 190 deg F kwa takriban robo saa.
Epua zikiwa tayari.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Jinsi ya kupika Biskuti Za Kopa Za Kunyunyuziwa Sukari Za Rangi).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Meet Social science research Consultant Specialize in Research design, data collection, data procesing and data analysis

πŸ‘‰JUA ZAIDI...

rafiki.gif
Kampeni ya wafanye watabasamu Ni kampeni endelevu ya kuhamasisha ushirikiano, umoja na kusaidiana katika jamii.

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...