Tafuta

🍴 AckySHINE Afya & MapishiπŸ‘‡

.

πŸ‘‰ Jinsi ya kupika Biskuti Ya Keki Kavu kwa kizungu ShortcakeπŸ‘‡βœ”

Viamba upishi

Unga 2 Magi (vikombe vya chai)

Sukari iliyosagwa 2/3 Magi (kikombe cha chai)

Siagi β€… 220 g

Unga wa mchele Β½ Magi

Yai 1

Vanilla 1 kijiko cha chai

Jinsi ya kuandaa na kupika

1. Changanya vitu vyote hivyo kwenye bakuli mpaka unga ushikamane.

2. Paka mafuta treya ya kuchomea kisha utandaze kwenye treya ya 20cm kwa 30 cm au (8 in kwa 12 in)

3. Choma kwenye moto 325˚C kwa muda wa saa nzima au mpaka ibadilike kuwa rangi ya dhahabu.

4. Epua acha ipoe kisha kata vipande kama mstatili, weak kwenye sahani tayari kunywewa na chai.

Soma%20Zaidi.gif Napendekeza uendelee kusoma kuhusu; Mapishi ya Biskuti Za Jam.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Jinsi ya kupika Biskuti Ya Keki Kavu kwa kizungu Shortcake).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Jinsi ya kutafuta ndugu zako mliopotezana Unaweza kuwatafuta kirahisi sana

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

rafiki.gif

.