MAHITAJI

Wafer Powder/gram wafer (unga wa biskuti uliosagwa wa tayari) - vikombe 2

Maziwa ya Mgando Matamu ya Kopo - 2 vikombe

Nazi iliyokunwa - Β½ Kikombe

Chokoleti vipande vipande - 1 Kikombe

Njugu vipande vipande - Β½ Kikombe

Siagi - 227 g

MAPISHI

Yeyusha siagi motoni kisha changanya na unga wa wafer acha kidogo motoni
Mimina katika treya unayochomea itandaze vizuri, kisha mimina maziwa juu yake pamoja na njugu vipande , nazi iliyokunwa na vipande vya chokoleti.
Choma (bake) kwenye oveni kwa moto wa 350ΒΊC kwa dakika 20.
Katakata tayari kwa kuliwa


Slide3-mliopoteana.GIF

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Jinsi ya kupika Biskuti Nyembamba (Wafer Bar) Za Chokoleti Na Njugu).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

🍴 Makala nyingine za Dondoo za Afya & MapishiπŸ‘‡

A.gif

SALAMU-MPENZI-MCHANA-33097HG34MX.JPG