.

Kichekesho%20Kipya Marafiki zako wa zamani utawakuta hapa sasa Bado wanakupenda sana na wanakungoja kwa hamu kubwa
πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...Kizuri

πŸ‘‰ Jinsi ya Kujitibu kwa njia ya matundaπŸ‘‡βœ”

IMG_20180109_192117.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 22 Mar 2017 02:41. [Legal & Authority]


Jinsi ya Kujitibu kwa njia ya matunda

KUTUBU KIUNGULIA

Aliyepatwa na kiungulia ale nyanya 1 asubuhi na jioni1 kitaondoka

JINSI YA KUZUIA KUHARISHA

Kamua maji ya chungwa lita1
Kunywa glass1 kutwa mara 3
Kuharisha kutakata

JINSI YA KUPATA HAMU YA KULA

Andaa juice ya machungwa usichanganye na chochte
Kunywa glass moja siku mara3 mpk iishe Hamu ya kula itakuja

KUTIBU KIDONDA SUGU(kisichosikia dawa)

Yaponde maua ya mchungwa mpaka yawe laini kisha weka kwenye kidonda baada ya kukiosha kitapona

KUTIBU MAGONJWA YA NGOZI

Osha sehemu iliyoathirika ponda maua ya mchungwa na pakaa sehemu iliyoathirka kutwa mara 2 patapona

KUTIBU MAPUNYE NA FANGASI

Chukua majani laiini ya mchungwa yaponde mpk yalainike kisha pakaa palipoathirika

KUTIBU VIDONDA VYA TUMBO

Anika maganda ya parachichi mpaka yakauke vizuri
Yatwange upate unga
Chota unga huo vijiko viwili changanya na asali safi vijiko viwili kula asubuhi na jioni kwa wiki1

JINSI YA KUONGEZA NGUVU ZA KIUMENI

vijiko3 vya unga wa parachichi
Vijiko2vya unga wa hiriki
vijiko3vya asali safi
Changanya kwenye glass1 ya maziwa kunywa asubuhi na jioni

KUTIBU TUMBO LA HEDHI

Chemsha majani ya mparachichi
Kunywa glass1 asubuhi na jioni siku7 litapona

DAWA YA ANAYEKOJOA KITANDANI

Chemsha ndevu za mahindi anywe kikombe cha chai asubuhi na jioni siku3-7

KUTIBU MATATIZO YA FIGO

Chemsha ndevu za mahindi chuja kunywa kikombe cha chai kutwa mara 3 siku 11-21

DAWA YA ASIYEONA VIZURI

Achemshe mizizi ya mahindi chuja kunywa glass1 Kutwa mara 2 kwa siku3

KUTIBU MALARIA

Chukua ndimu7,zikamue kwenye glass
Andaa glass1 ya maji ya dafu
Changanya kunywa kutwa mara2 mpk upone (Muone Daktari kwa ushauri kwanza)

JINSI YA KUTOA SUMU MWILINI

Kunywa nusu glass ya maji ya.ndimu kila mwezi kwa muda wa miezi 2 sumu itaondoka mwlini

Soma%20Zaidi.gif Napendekeza uendelee kusoma kuhusu; Kupima lishe au afya ya mtu.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Jinsi ya Kujitibu kwa njia ya matunda).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Nini maoni yako kuhusu, Jinsi ya Kujitibu kwa njia ya matunda? Niandikie hapa
Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
Kichekesho%20Kipya Kampeni ya Amani na Upendo Lengo ni kudumisha Amani na Upendo
πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...Kizuri

IMG_20180125_210033.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

"Kushindwa jambo sio Makosa, bali kuacha kufanya jambo kabisa ni makosa makubwa."

Ndugu.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

MAWASILIANO | KUHUSU MWANDISHI

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS