Jinsi ya kujisaidia unapopatwa shambulio la moyo ukiwa pekeyako

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Jinsi ya kupika Biskuti Za Kuchoveya Chokoleti, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Jinsi ya kujisaidia unapopatwa shambulio la moyo ukiwa pekeyako.

Unaalikwa pia kusoma kuhusu; Jinsi ya kupika Wali Wa Samaki Na Mboga.

Jinsi ya kujisaidia unapopatwa shambulio la moyo ukiwa pekeyako

By, Melkisedeck Shine.

Tafadhali chukua walau dk 2 kusoma hii:

1. Chukulia ni muda wa saa 1:25 jion unarudi nyumbani peke yako, baada ya kazi ngumu zusizo za kawaida ofisini.

2. Umechoka sana, una hasira na umechanganikiwa.

3. Ghafla unajisikia maumivu makali kifuani yanaelekea mkononi na hata kwenye Taya. Upo umbali wa kama km5 tu kufika Hospitali iliyo karibu na kwako.

4. Bahati mbaya hujui kama utaweza kufika kwa vunavyojisikia.

5. Ulishafundishwa kumfanyia mtu CPR, lkn aliyekufundisha hakuwaambia unaweza kujifanyia mwenyewe.

6. JINSI YA KIJUSAIDIA UNAPOPATWA NA SHAMBULIO LA MOYO UKIWA PEKE YAKO.
Kwa kuwa watu wengi hupatwa na Shambulio la Moyo wakiwa peke yao bila msaada wowote, mtu ambaye mapigo yake ya Moyo hayako sawa na anaanza kuhisi kuzimia, au zimebaki sekunde 10 tu kabla hajapoteza fahamu.

7. Hata hivyo, waathirika hawa wanaweza kujisaidia kwa kujikoholesha mfululizo. Avute pumzi ndefu kila anapojikoholesha, na kikohozi lazima kiwe cha ndani mfululizo mpaka makohozi yatoke ndani ya kifua.

Kikohozi hicho kiendelee mpaka utakapopata msaada au mpaka mapigo ya Moyo yarudi kawaida tena.

8. Pumzi ndefu hupeleka Oksijeni mapafuni na kikohozi kiubana Moyo na kufanya mzunguko wa Damu uendelee. Nguvu ya kikohozi ya kuubana Moyo pia inasaidia kurudisha ktk mapigo ya kawaida. Kwa njia hii, waathirika wa shambulio la Moyo wanaweza kufika Hospitali.

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Jinsi ya kujisaidia unapopatwa shambulio la moyo ukiwa pekeyako. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Makala hii kuhusu, Jinsi ya kujisaidia unapopatwa shambulio la moyo ukiwa pekeyako, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

• Jinsi ya kupika Vileja, endelea kusoma...

• Ugonjwa wa kichomi, endelea kusoma...

• Jinsi ya kupika Mseto Kwa Mchuzi Wa Samaki Wa Nazi, endelea kusoma...

• Tabia 10 zinazoweza kuharibu figo, endelea kusoma...

• Dondoo kuhusu tezi dume, endelea kusoma...

• Dondoo Muhimu kuhusu ugonjwa wa kisukari, endelea kusoma...

• Ugonjwa wa kichomi, endelea kusoma...

• Mapishi ya Wali Wa Kukaanga Kwa Kidari Cha Kuku (Chicken Breast) Wa Kukausha, endelea kusoma...

• Jinsi ya kupika Wali Wa Karoti Na Nyama, endelea kusoma...

• Jinsi ya kupika Pilau Ya Nafaka Na Nyama Ya Kusaga, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Jinsi ya kujisaidia unapopatwa shambulio la moyo ukiwa pekeyako, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

FURSA.PNG

Fursa Ya Kazi Na Ajira Yenye Malipo Mazuri

Au soma zaidi hapa

.

UJUMBE-WA-SHUKRANI-KWA-NDUGU.JPG
KADI-PONGEZI-MZAZI.JPG