Jinsi ya kuandaa Wali Wa Hudhurungi Na Kabeji

By, Melkisedeck Shine.

VIPIMO VYA WALI

Mchele wa hudhurungi (brown rice)

na (wild rice kidogo ukipenda)Osha na Roweka - 2 Vikombe

Kitungu maji - 1 Kiasi

Kitunguu saumu - 1 Kijiko cha supu

Bizari ya manjano - 1/2 Kijiko cha chai

Mdalasini nzima - 1 kijiti

Iliki iliyosagwa - 1/4 Kijiko cha chai

Chumvi - Kiasi

Pilipili manga - 1/4 Kijiko cha cha

Mafuta - 2 Vijiko vya supu

Majani ya Bay(bay leaves) - 1

Mbegu ya giligilani iliyoponwa (coriander seeds) - 1 Kijiko cha chai

Supu ya kuku ya vidonge - 1

Maji ya wali - 4 vikombe

NAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKA

Kaanga kitungu, kabla ya kugeuka rangi tia thomu.
Kisha weka bizari zote na ukaange kidogo.
Tia mchele kisha maji na ufunike upike katika moto mdogo.
Na ikishawiva itakuwa tayari kwa kuliwa na kabeji na kuku wa tanduuri.

VIPIMO VYA KABEJI

Kabeji iliyokatwa katwa - 1/2

Karoti iliyokwaruzwa - 1-2

Pilipili mboga kubwa - 1

Figili mwitu (celery) iliyokatwa - 1 au 2 miche

Kitunguu saumu(thomu/galic) iliyosagwa - 1 Kijiko cha supu

Pilipili mbichi - 1

Kisibiti (caraway seed) - 1/4 Kijiko cha chai

Bizari ya manjano ya unga = 1/2 Kijiko cha chai

Giligani ya unga - 1 Kijiko cha chai

Chumvi - Kiasi

Kitungu maji kilichokatwa -1

Kotmiri - upendavyo

Mafuta ya kukaangia - Kiasi

NAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKA

Kwenye sufuria kaanga kitungu, figili mwitu kisha tia thomu na pilipili zote.
Halafu tia bizari zote na ukaange kidogo.
Kisha weka kabeji na chumvi, ufunike moto mdogo ilainike kidogo na sio sana
Tia karoti na usiwache motoni sana, kisha zima moto na inyunyizie kotmiri juu.


UJUMBE-UNAVYOMMISI-NDUGU.JPG

Endelea kusoma makala hizi zinazofanana na hii ya, Jinsi ya kuandaa Wali Wa Hudhurungi Na Kabeji;

a.gif Mapishi ya Biriani Ya Kuku Wa Kuchoma (Grilled)

Mchele wa Basmati /Pishori - 4 vikombe.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Wali Wa Tambi Na Kuku Wa Sosi Ya Mtindi

Mchele - 3 vikombe.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Pilau Ya Kuku Kwa Mchele Mpya

Mchele - 1 kilo.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Wali Wa Kukaanga Kwa Nyama Mbuzi Ilichomwa Ya Sosi Ya Ukwaju

Mchele Basmati - 4 vikombe.. endelea kusoma

UJUMBE-WA-MCHANA-KWA-NDUGU.JPG

a.gif Faida za kila kitu kwenye mti wa papai

Watu wengi hulitumia tunda la papai kwa sababu ya utamu wake. Hata hivyo mbali na kuwa na ladha nzuri, tunda la papai lina faida lukuki kwa afya ya mwanadamu… endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Pasta za cream na uyoga

Pasta (2 na 1/2 vikombe vya chai)
Uyoga (mashroom 2 vikombe vya chai)
Cream (1 kikombe cha chai)
Mafuta (vegetable oil)
Kitunguu (onion 1)
Chumvi
Majani ya basil (dried basil leaves 1/2 kijiko cha chai).. endelea kusoma

a.gif Matumizi ya zabibu kavu kutibu shinikizo la chini la damu

Zabibu huweza kutumika kama tiba ya shinikizo la chini la damu kama ifuatavyo.. endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia tango

Tango ni tunda na ni mboga pia na ni chanzo kizuri cha potasiamu na vitamini nyingi ambazo zina kazi mhimu katika ngozi yako na huifanya ngozi ngozi ionekane laini na yenye kupendeza… endelea kusoma

[Msemo wa Leo] 👉Thamani ya faida

[Jarida la Bure] 👉Jinsi ya kupika Donati

[Hadithi Nzuri] 👉Kisa kilichombadilisha mume tabia

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

UJUMBE-WA-ASUBUHI-KWA-NDUGU.JPG
KUMSHUKURU-MPENZI-4559KJ438.JPG

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.