🍴 Blog ya Afya & MapishiπŸ‘‡

.

303

Kichekesho%20Kipya Umerahisishiwa kutafuta mliopotezana Ni rahisi sana kutafuta wale uwapendaoπŸ‘‰Soma zaidi hapaKizuri

πŸ‘‰ JINSI YA KUANDAA VILEJAπŸ‘‡βœ”

MAHITAJI

Unga wa mchele - 500g

Samli - 250g

Sukari - 250g

Hiliki iliyosagwa - 1/2 kijiko cha chai

Arki (rose flavour) - 1/2 kijiko cha chai

Baking powder - 1 kijiko cha chai

Mayai - 4

Maji ya baridi - 1/2 kikombe cha chai

MAANDALIZI

Saga sukari iwe laini kiasi, changanya unga wa mchele, baking powder, hiliki na sukari.
Pasha moto samli mpaka iwe nyepesi kama maji mimina kwenye ule mchanganyiko wa unga wa mchele, kisha uchanganye pamoja na arki.
Ongeza mayai yaliopigwa endelea kuchanganya mpaka unga umeanza kuchanganyika vizuri.
Ongeza maji ya baridi sana kama nusu kikombe tu ili uchanganyike vizuri.
Kata kwa design unayotaka viwe vinene visiwe kama cookies za kawaida kama ilivyo kwenye picha na ukipenda utaweka kidoto kwa kutumia zaafarani katikati ya kileja kama inavyoonesha hapo juu.
Choma kwa moto wa baina ya 300F na 350F kwa dakika 15 mpaka 20 visiwe vyekundu toa na tayari kwa kuliwa.

msaada.gif

Usisahau kushare posti hii Kwenye Mitandao ya Kijamii

[NZURI HIIπŸ‘‰] Tafuta ndugu zako hapa

uliyesoma.gif

.

.

.

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri.Soma%20Zaidi.gif

Melkisedeck%20Shine.gif