Tafuta

πŸ‘‰ Jinsi ya kuandaa biskuti za Siagi Na JamπŸ‘‡βœ”

MAHITAJI

Unga - 2 Vikombe
Sukari ya icing - 1 Kikombe
Siagi - 250 gm
Yai - 1
Vanilla - 2 Vijiko vya chai
Baking powder -1 Kijiko cha chai
Jam - ΒΌ kikombe
Lozi - ΒΌ kikombe

JINSI YA KUPIKA

Koroga siagi na sukari katika mashine ya keki (cake mixer) mpaka iwe laini (creamy).
Tia yai na vanilla koroga mpaka mchanganyiko uwe laini kama sufi.
Tia unga na baking powder changanya na mwiko.
Chota mchanganyiko kwa mkono (kiasi cha kijiko kimoja cha supufanya duara kisha weka kwenye treya ya kupikia.
Bonyeza kila kiduara katikati kwa kidole, kisha weka jam na tupia lozi zilizomenywa na kukatwa katwa.
Pika (bake) katika oven moto wa 375Β° F kama muda wa dakika 15 hivi huku unazitazama tazama

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Jinsi ya kuandaa biskuti za Siagi Na Jam).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”


"Kama vile moto unavyozimwa na maji ndivyo vivyo hivyo hasira inamalizwa na maneno ya upole."

Slide3-mabestimliopotezana.PNG
KJHGFDCVBNUYTRFGH.gif
FGH.gif
LLKJHGF.gif
KMNBVFTYHJ.gif

Expert available for Hire

Kijitabu cha Picha Kali Kina picha Nzuri za kufurahisha .
Soma%20Zaidi.gif
Look for baseline survey expert? Available for hire.
Soma%20Zaidi.gif