🍴 Blog ya Afya & MapishiπŸ‘‡

.

303

Kichekesho%20Kipya Je wajua Baba wa binadamu wote ni mmoja? Kwa sababu binadamu wote ni sawaπŸ‘‰Soma zaidi hapaKizuri

πŸ‘‰ Jinsi ya andaa Vileja Vya TambiπŸ‘‡βœ”

MAHITAJI

Tambi (vermiceli Roasted) Mifuko 2

Siagi - 4 Vijiko vya supu

Maziwa (condensed) 300Ml

Lozi zilizokatwakatwa - 1 kikombe

Zabibu kavu - 1 Kikombe

Arki (essence) - 1 Kijiko cha supu

MAPISHI

Weka karai kwenye moto kiasi
Tia siagi
Tia tambi uzikaange usiachie mkoni mpaka ziwe rangu ya dhahabu.
Weka lozi na zabibu huku unakoroga
Tia maziwa na huku unakoroga usiachie mkono.
Tia arki
Epua karai, tumia kijiko cha chai kwa kuchotea na utie kwenye kikombe cha kahawa nusu usikijaze.
Kipindue kwenye sahani utoe kileja.
Fanya hivyo mpaka umalize vyote.

tafuta-ndugu.gif

Usisahau kushare posti hii Kwenye Mitandao ya Kijamii

tafuta-rafiki.gif

.

.

.

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri.Soma%20Zaidi.gif

Melkisedeck%20Shine.gif