Faida za kufanya Masaji kiafya

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Mapishi ya Tambi za sukari, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Faida za kufanya Masaji kiafya.

Unaalikwa pia kusoma kuhusu; Mambo usiyoyajua kuhusu ugonjwa wa Pumu.

Faida za kufanya Masaji kiafya

By, Melkisedeck Shine.

Masaji uongeza kinga ya mwili

Masaji kushuka kwa homoni inayohusika na kupunguza maambukizi mbalimbali homoni ijulikanayo kama ‘cytokines’ vile vile masaji inashusha homoni inayohusika na matendo ya mashari homoni ijulikanayo kama ‘cortisol’.

Kufanya masaji hakukufanyi ujisikie ni mtulivu peke yake, bali pia kunaweza kukuongezea kinga yako ya mwili.

Masaji ya dakika 45 kwa siku imethibitika kuongeza uwingi wa seli nyeupe za damu (lymphocytes) ambazo ndizo hupigana dhidi ya vijidudu nyemelezi vya magonjwa mbalimbali mwilini.

Kufanya masaji huondoa tatizo la kukosa usingizi

Tafiti nyingi zinasema masaji inao uwezo wa kuamsha mawimbi ndani ya ubongo yanayohusiana na kutengenezwa kwa usingizi mzito (delta waves) na hii ndiyo sababu kwanini wengine hupitiwa na usingizi mzito mara tu baada ya mazoezi ya masaji.

Tatizo la kukosa usingizi linaweza kutibika kwa kufanya masaji tu kwakuwa masaji husaidia kupunguza uchovu na kuongeza uwezo wa kupata usingizi mtulivu kwa watu wa rika zote yaani watoto wadogo mpaka wazee ikihusisha wale wenye matatizo ya akili, kansa na magonjwa ya moyo, machache kati ya magonjwa mengi yawezayo kutibika kwa masaji tu.

Kuondoa mfadhaiko wa akili au Stress

Masaji huondoa hamaki na maumivu huku yakiongeza uwezo wa kupata usingizi mzuri na wa uhakika.

Masaji huondoa huzuni

Watafiti wanasema kuwa masaji kuongezeka homoni ijulikanayo kama ‘oxytocin’ na kupungua kwa homoni nyingine iitwayo ‘adrenocorticotropin’.

Oxytocin inahusika na matendo ya huruma, maono, upendo na ushirikiano wa kijamii. Wakati adrenocorticotropin yenyewe huhusika na kupungua kwa mfadhaiko (stress) moja kwa moja.

Kuondoa maumivu mbalimbali mwilini

Masaji hupunguza maumivu hasa ya mgongo na maumivu ya kichwa na maumivu ya kwenye mishipa.

Masaji huongeza uwezo wa kujiamini

Masaji hutuliza mwili na kuongeza concentration

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Faida za kufanya Masaji kiafya. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Makala hii kuhusu, Faida za kufanya Masaji kiafya, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

• Jinsi ya Kupika Kalmati, endelea kusoma...

• Matumizi ya Tangawizi kutibu shinikizo la chini la damu, endelea kusoma...

• Matumizi ya zabibu kavu kutibu shinikizo la chini la damu, endelea kusoma...

• Vyakula vinavyofaa kutumiwa kwa mtu mwenye kisukari aina ya kwanza, endelea kusoma...

• Njia za kutibu shinikizo la chini la damu au presha ya kushuka, endelea kusoma...

• Ulaji mzuri hupunguza uwezekano wa kupata shinikizo la chini la damu, endelea kusoma...

• Matumizi ya maji kutibu shinikizo la chini la damu, endelea kusoma...

• Matumizi ya Tangawizi kutibu shinikizo la chini la damu, endelea kusoma...

• Matumizi ya juisi ya limao kutibu shinikizo la chini la damu, endelea kusoma...

• Matumizi ya karoti na asali kutibu presha ya kushuka, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Faida za kufanya Masaji kiafya, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

mtu.gif
utotoni.gif