.

๐Ÿ‘‰ Fahamu kuhusu kitambi na uzito uliopitiliza๐Ÿ‘‡โœ”

IMG_20170703_130405.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 05 Aug 2016 08:05. [Legal & Authority]


Fahamu kuhusu kitambi na uzito uliopitiliza

FAHAMU KUHUSU KITAMBI NA UZITO ULIOPITILIZA

Mwili wa binadamu umeundwa kwa organs na mifumo mbalimbali ili kuuwezesha kufanya kazi sawia. Mfano,
Moyo
Ini
Figo
Mapafu
Mfumo wa fahamu
Mfumo wa uzazi
Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.

Vyote hivi hufanya kazi kwa usahihi ikiwa mwili una balance ya
Mafuta
Sukari
Nishati
Protein
Vitamins

Lakini kutokana na mfumo wa maisha kubadilika kwa kiasi kikubwa, watu wengi inasemekana wankumbwa na tatizo la OVERWEIGHT (Uzito uliopitiliza) na OBESITY (Kitambi).

Kwa nini tatizo ni kubwa katika rika zote..!?
1.ยฐยฐ Ulaji wa vyakula vya wanga, kama ugali wa sembe , chapati.
2.ยฐยฐ Ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi.
3.ยฐยฐ Ulaji wa nyama nyekundu, kuku wa kisasa na mayai.
4.ยฐยฐ Utumiaji wa beer na soda kwa wingi.
5.ยฐยฐ Mfumo mbaya wa ulaji kwa ujumla.

Madhara yake.ยฎ

  • Shinikizo la damu (Pressure).
  • Kisukari (Diabetes)
  • Maradhi ya moyo (Heart attack).
  • Maumivu ya mgongo na joints.
  • Kiharusi
  • Maradhi ya mifupa (Osteoporosis)

Nini cha kufanyaยฎ

  • Mazoezi ya viungo ni muhimu sana.
  • Kuepuka ulaji wa mafuta mengi.

ยฉKwa wale ambao hawapati muda wa kufanya mazoezi au hawawezi kufanya mazoezi kutokana na uzito kuwa mkubwa, kampuni ya Yetu
inayo programme sahihi ya kupunguza uzito kulingana na hitaji lako.

Mfano: Kilo 3~7,Clean9

Kilo zaidi ya 10, Clean 9 & FIT 1.

Kumbuka ili kupungua kwa haraka na kuweza kupata uwezo wa kufanya mazoezi bila shida ni lazima kusafisha mwili kwa kuondoa sumu, takamwili na kemikali zitokanazo na vyakula, vinywaji na hewa chafu itokanayo na AC,, MAGARI,, VIWANDA nk

Kwa upatikanaji na bei
Call // Whatsapp
0712713006

๐Ÿ™‰๐Ÿ™‰๐Ÿ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Fahamu kuhusu kitambi na uzito uliopitiliza).๐Ÿ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome๐Ÿ’ฏโœ”


Ndugu.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS