Dondoo muhimu kwa Afya yako unapostuka usiku

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Jinsi ya kupika Wali Wa Kichina wa mboga mboga Na Mayai, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Dondoo muhimu kwa Afya yako unapostuka usiku.

Unaalikwa pia kusoma kuhusu; Mapishi ya samaki aina ya salmon.

Dondoo muhimu kwa Afya yako unapostuka usiku

By, Melkisedeck Shine.

Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema na hii inatokana na kuamka ghafla usiku ambapo ubongo hukisa damu ya kutosha.

Unapoamka katikati ya usiku kwenda kujisaidia haja ndogo mfumo wa damu unakuwa umebadilika. Kwa sababu kuamka ghafla,kinakuwa hakuna mzunguko wa kutisha wa damu kwenye ubongo unaosababisha moyo kushindwa kufanya kazi kutokana na ukosefu wa damu.

Ushauri:tumia dakika 3 na nusu kufanya yafuatayo":

1. Unapoamka usingizini lala kitandani kwa nusu dakika ;
2. Kaa kitandani kwa takribani nusu dakika;
3. Shusha miguu,kaa pembeni ya kitanda takribani nusu dakika.

Baada ya dakika 3 na nusu hutakuwa na tatizo la ukosedu wa damu kwenye ubongo na moyo kushindwa kufanya kazi inapunguza uwezekano wa vifo vya ghafla na kuanguka ghafla.

Shirikisha marafiki na jamaa.

Inatokea bila kujali umri.

Kushare ni kujali.Kama tayari ulikuwa unajua hili lichukulie kama kumbukumbu.

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Dondoo muhimu kwa Afya yako unapostuka usiku. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Makala hii kuhusu, Dondoo muhimu kwa Afya yako unapostuka usiku, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

• Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia barafu, endelea kusoma...

• Mapishi ya Biskuti Za Kastadi, endelea kusoma...

• Jinsi ya kupika kisamvu bila nazi, endelea kusoma...

• Tatizo la Tezi Dume, endelea kusoma...

• Mambo usiyoyajua kuhusu ugonjwa wa Pumu, endelea kusoma...

• Mambo 8 ya kushangaza yanayofanywa na mwili wako kukulinda pasipo wewe kujua, endelea kusoma...

• Ifahamu Saratani ya Tezi Dume, chanzo, Dalili, Uchunguzi na Tiba, endelea kusoma...

• Sababu za magonjwa ya figo, endelea kusoma...

• Vyakula vinavyoongoza kuongeza akili kwenye ubongo, endelea kusoma...

• MADHARA YA SHISHA, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Dondoo muhimu kwa Afya yako unapostuka usiku, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

mtu.gif
ndugu.gif