Tafuta

🍴 AckySHINE Afya & MapishiπŸ‘‡

.

πŸ‘‰ Bisikuti Za Kokoa (Cocoa Biscuits)πŸ‘‡βœ”

Viambaupishi

Siagi 100gm

Unga wa kaukau (cocoa powder) 2 Vijiko vya supu

Maziwa mazito (condensed milk) Moja kikopo (397gm)

Bisikuti za Mary 2 Pakiti

Njugu Β½ Kikombe

Karatasi la plastiki

Jinsi ya kuandaa na kupika

1. Vunjavunja bisikuti zote packet mbili ziwe vipande vidogo vidogo.

2. Pasha moto siagi mpaka ipate.

3. Tia kwenya siagi imoto maziwa mazito na cocoa koroga vizuri.

4. Kisha tia kwenye mchanganyiko bisikuti zilizovunjwa na njugu na uchanganye kisha epua motoni.

5. Paka karatasi la plastiki mafuta kidogo halafu tia mchanganyiko kisha kunja (roll).

6. Tia kwenye freeza muda wa saa.

7. Halafu toa karatasi na ukate kate na panga kwenye sahani na itakuwa tayari kwa kuliwa.

Soma%20Zaidi.gif Napendekeza uendelee kusoma kuhusu; Mapishi ya Ugali Kwa Mchuzi Wa Samaki Wa Kuchoma.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Bisikuti Za Kokoa (Cocoa Biscuits)).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Tafuta ndugu mliopoteana hapa Wanakusubiri uwatafute

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

Slide3-mabestimliopotezana.PNG

.