Karibu Dondoo za Afya na Mapishi, mahali unapoweza kusoma makala mpya kuhusu Afya, Mapishi na Lishe.

Kila unapotembelea ackyshine.com/afya unahakikishiwa kupata Makala Mpya za Afya, Mapishi na Lishe.

Ni wewe tuu kutembelea kila saa unapotaka.

Enjoy….!

Makala Mchanganyiko za Dondoo za Afya na Mapishi

PN.gif Jinsi ya kujisaidia unapopatwa shambulio la moyo ukiwa pekeyakoβœ”
Tafadhali chukua walau dk 2 kusoma hii:. soma zaidi
PN.gif Mapishi – Kisamvu cha Karangaβœ”
Mapishi yetu leo ni kisamvu cha kuchanganya na karanga. Karibu.. soma zaidi
PN.gif Jinsi ya kutengeneza Biskuti Ya Keki Kavu (Shortcake)βœ”
Unga - 2 Magi (vikombe vya chai). soma zaidi
PN.gif Madhara ya dawa za kuulia wadudu maarufu kama viwatilifuβœ”
Dawa za kuulia wadudu maarufu kama viwatilifu zimetengenezwa kwa lengo la kuangamiza wadudu wanaoharibu mazao au wanaomdhuru binadamu. Hata hivyo kutokana na sababu kuwa lengo la dawa hizi ni kuangamiza, huathiri pia viumbe hai vingine akiwemo binadamu.. soma zaidi
PN.gif Mambo Mubimu kujua Kuhusu Tatizo la Shinikizo la damu (Tatizo la presha)βœ”
Ni msukumo wa damu ulio juu kuliko inavyotakiwa kwa muda mrefu. Msukumo wa damu huhitajika mwilini ili kusambaza chakula, oksijeni na kutoa uchafu. Shinikizo la damu hupimwa kwa kutumia kifaa kinachoitwa Sphygmomanometer. soma zaidi
PN.gif Mapishi mazuri ya Uji wa uleziβœ”
Unga wa ulezi (millet flour vijiko 3 vya chakula)
Maziwa fresh (milk 1/2 kikombe)
Sukari (sugar 1/4 ya kikombe cha chai)
Siagi (butter kijiko 1 cha chakula)
Maji (vikombe 4 vya chai) (serving ya watu wawili). soma zaidi
PN.gif Mapishi ya chorokoβœ”
Choroko kikombe 1 na nusu
Nazi kopo 1
Kitunguu kikubwa 1
Nyanya 1/2 kopo
Swaum 1 kijiko cha chai
Curry powder 1 kijiko cha chai
Chumvi kiasi
Olive oil
Pilipili nzima. soma zaidi
PN.gif Mapishi ya Kabichiβœ”
Kabichi 1/2 kilo
Nyanya ya kopo 1/2
Kitunguu 1
Curry powder 1/2 kijiko cha chai
Chumvi
Olive oil. soma zaidi
PN.gif Jinsi ya kutengeneza Pilau Ya Kukuβœ”
Mchele wa basmati - 3 vikombe. soma zaidi
PN.gif Utajuaje kama una upungufu wa maji mwilini? Dalili ni hiziβœ”
Upungufu wa maji ni pale mwili unapopoteza kiasi kingi cha maji kwa njia mbalimbali, ikiwemo jasho na mkojo, mwili hupungukiwa maji na hivyo mtu huyo huambiwa ana upungufu wa maji. Tunaelezwa kuwa karibu theluthi mbili ya miili yetu imejaa maji.. soma zaidi
PN.gif Mapishi ya Wali Wa Kichina Wa Kamba Na Kukuβœ”
Mchele wa pishori (basmati) - 4. soma zaidi
PN.gif Faida za kila kitu kwenye mti wa papaiβœ”
Watu wengi hulitumia tunda la papai kwa sababu ya utamu wake. Hata hivyo mbali na kuwa na ladha nzuri, tunda la papai lina faida lukuki kwa afya ya mwanadamu.. soma zaidi
PN.gif Faida za kiafya za Kula Matundaβœ”
Matunda yote yana faida mwilini kiafya lakini matunda yanatofautiana kifaida. Zifuatazo ni faida za kula matunda ya aina Mbalimbali;. soma zaidi
PN.gif Mapishi ya Maini ya kukuβœ”
Maini ya kuku 1/2 kilo
Vitunguu vikubwa 2
Hoho 1
Pilipil 1
Limao 1/2
Swaum/tangawizi 1 kijiko cha chai
Curry powder 1/2 kijiko cha chai
Mafuta ya kupikia. soma zaidi
PN.gif Jinsi ya kupika Mchuzi Wa Ngogwe Na Bamiaβœ”
Ngogwe Β½ kg
Kitunguu 2
Bamia ΒΌ kg
Karoti 2
Mafuta vijiko vikubwa 8
Maji vikombe 3 Mayai 2
Nyanya 2
Chumvi. soma zaidi
PN.gif Jinsi ya kutengeneza Labania Za Maziwaβœ”
Maziwa ya unga - 2 vikombe. soma zaidi

Makala Mpya

A Jinsi ya kujua kama una Mimba: Dalili za kwanza kabisa za Ujauzitoβœ”
Mwanamke anapopata ujauzito kwa kawaida huwa anaanza kuona dalili ambazo si za kawaida. Na ni wakati huo ambao ni muafaka kwake kuanza kuuchunguza mwili wake.. soma zaidi
A Faida za kula ukwajuβœ”
Ukwaju ni tunda maarufu sana ambalo hupatikana katika maeneo yenye uoto wa kitropiki. Kwa kingereza hujulikana kama tamarind, na kwa kitaalamu (botanical name) huitwa tamarindus indica, waarabu huita tamru alhind. Katika baadhi ya maeneo hutumiwa kama kiungo katika mboga.. soma zaidi
A Namna ya kuondokana na tatizo la kunuka Kikwapaβœ”
Harafu ya jasho inakera, kibaya zaidi ni kuwa wewe mwenyewe husikii harufu hiyo ila wale walio karibu yako. Kwa upande mwingine kujaribu kuzuia kutoka jasho ni hatari kwa afya yako na kujaribu kuondoa harufu kwa kutumia pafyumu husababisha madhara mengine ya kiafya na kwa bahati mbaya perfume zina jaribu poteza harufu kwa mda mfupi tu na sio kutokomeza tatizo hilo.. soma zaidi
A Faida 10 za kulala mapema kiafyaβœ”
Mapera ni matunda yanayo patikana kwa wingi lakini mara nyingi huwa hayapendelewi sana kutokana na ugumu wake wakati wa kuyatafuna pamoja na kuwa na mbegu mbegu nyingi. Hata hivyo matunda haya yana faida kubwa sana kwa afya ya mwili wa mwanadamu.. soma zaidi
A Umuhimu wa kufanya Masajiβœ”
Kufanya Masaji kuna faida hizi zifuatazo;. soma zaidi
A Vitu ambavyo mama mjamzito hapaswi kutumiaβœ”
Vipo vitu mbalimbali ambavyo mama mjamzito hapaswi kuvitumia wakati wa ujauzito kwani vina athari kubwa sana kwake yeye mwenyewe pamoja na mwanaye aliye tumboni.. soma zaidi
A Mambo 10 yanayosababisha wanawake washindwe kupata mimba au wawe wagumbaβœ”
Ugumba ni nini ?
Hii ni hali ya wapenzi au mke na mume kutopata ujauzito. Ugumba unaweza kua primary infertility yaani mtu hajawahi kubeba mimba kabisa tangu azaliwe au secondary infertility yaani mtu ambaye amewahi kuzaa lakini kwa sasa ameshindwa kubeba ujauzito. utafiti uanonyesha katika kila ndoa tano au mahusiano matano ya kimapenzi basi uhusiano mmoja una matatizo ya uzazi ya kushindwa kuzaa.. soma zaidi
A Faida za kila kitu kwenye mti wa papaiβœ”
Watu wengi hulitumia tunda la papai kwa sababu ya utamu wake. Hata hivyo mbali na kuwa na ladha nzuri, tunda la papai lina faida lukuki kwa afya ya mwanadamu.. soma zaidi
A Mambo ya kufanya unapostuka usiku ili kulinda afya yakoβœ”
Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema na hii inatokana na kuamka ghafla usiku ambapo ubongo hukisa damu ya kutosha.. soma zaidi
A Madhara ya dawa za kuulia wadudu maarufu kama viwatilifuβœ”
Dawa za kuulia wadudu maarufu kama viwatilifu zimetengenezwa kwa lengo la kuangamiza wadudu wanaoharibu mazao au wanaomdhuru binadamu. Hata hivyo kutokana na sababu kuwa lengo la dawa hizi ni kuangamiza, huathiri pia viumbe hai vingine akiwemo binadamu.. soma zaidi
A Faida 14 za kufunga chakulaβœ”
Watu wengi wanafahamu kuwa kufunga kula ni swala linalohusiana na imani zaidi. Wengi hawafahamu kuwa kufunga kula kuna manufaa ya kiafya pia. Kufunga kula ni tendo lenye historia ndefu sana ambayo kimsingi chimbuko lake ni sababu za kiimani. Hata hivyo shuhuda na tafiti mbalimbali zimedhihirisha kuwa kuna manufaa mengine kemkem ya kufunga kula mbali na yale ya kiimani.. soma zaidi
A Jinsi ya kuongeza wingi wa mbegu za kiumeβœ”
Ili kuongeza mbegu za kiume zingatia haya yafuatayo;. soma zaidi
A Jinsi ya kufanya kupunguza unene wa mwili kwa harakaβœ”
Nichukue wasaa huu kukuarika rasmi ewe mpenzi na mfuatiliaji wa blog hii ya Muungwana blog, naomba nichukue walau dakika zako chache niweze kukueleza kinagaubaga ni kwa jinsi gani unaweza kupunguza mwili wako kwa kutumia hatua zifuatavyo:. soma zaidi
A Dalili, athari, kinga na tiba ya ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB)βœ”
Kifua kikuu ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vya bacteria na kuenezwa kwa njia ya hewa. Mtu mwenye maambukizi ya kifua kifua kikuu akikohoa, kupiga chafya au kutema mate ovyo husambaza vijidudu hewa, huweza kumwabukiza mtu mwingine kama atakuwa hajaanza kutumia dozi ya kifua kikuu.. soma zaidi
A Jinsi msongo wa mawazo unavyoweza kukusababishia ugonjwa wa moyoβœ”
Kila mmoja wetu anaweza kuwa na sababu tofauti inayoweza kumsababishia msongo (stress). Sababu kubwa ambazo husababisha msongo ni masuala ya kazi hata pia masuala ya kijamii. Masuala ya kikazi ni kama kutokuwa na furaha kazini, kazi nyingi, kufanya kazi kwa masaa mengi, kutokuwa na mipangilio bora, kutokujiwekea malengo na mengine mengi.. soma zaidi
A Madhara ya kunywa maji baridi na faida za kunywa maji moto na asaliβœ”
UNYWAJI wa maji baridi, hasa katika joto kali kama la Dar es Salaam, ni kiburudisho kikubwa cha koo na huleta faraja kubwa mwilini. Ni jambo la kawaida pia kwa mtu kuhitaji kunywa maji hayo mara baada ya kula mlo, iwe mchana au usiku.. soma zaidi
A Faida 8 za kula pilipili mbuziβœ”
Watu wengi tumekuwa hatufahamu utumiaji wa pipilipili, hasa pilipili mbuzi. Naomba leo tuangalie kwa uchache faida hizo za pilipili mbuzi.. soma zaidi
A Faida na jinsi ya kutumia mbegu ya Parachichi kiafyaβœ”
Leo nimekuletea matumizi ya mbegu ya parachichi yenyewe yaani ile inayokuwa katikati ya tunda la parachichi.. soma zaidi
A Mbinu 11 za kufuata ili uweze kuacha pombeβœ”
Pombe ni kinywaji kinachotumiwa na watu wengi pasipo hata kufahamu athari zake. Pombe ina athari mbalimbali kiafya na kisaikolojia. Wengi baada ya kuathiriwa na pombe hutamani kuacha matumizi ya pombe lakini ni wachache tu ndiyo hufanikiwa katika hili.. soma zaidi
A Faida 13 za kunywa juisi ya miwaβœ”
Unapopita maeneo mengi ya mijini na pembezoni wa miji utakutana na wafanyabiashara wa miwa wanaouza miwa na juisi yake. Wengi hununua juisi ya miwa kwa kuwa hufurahia utamu wake. Lakini umeshajiuliza juisi miwa ina faida gani kiafya?. soma zaidi