Maoni ya wasomajiβœ…

Kama umetoa maoni (umecomment) kwenye kurasa yoyote hapa ndipo pa kufwatilia maoni yako na ya watu wengine

From categories:
page 1123...next »
pendo (guest) 27 Mar 2018 12:20
in discussion Kurasa / Maoni » Jinsi ya kutengeneza Biskuti Za Tangawizi

mbona hamwonyeshi hizo biscuits zinakuaje?

by pendo (guest), 27 Mar 2018 12:20
linus mbilinyi (guest) 27 Mar 2018 09:55
in discussion Kurasa / Maoni » Jinsi ya kulima mahindi kitaalamu kama inavyotakiwa

maelezo ni mazuri cc wakulima wadogo tuwaombe hao maafisa kilimo wattutembelee mashambani ili watoe mafunzo

by linus mbilinyi (guest), 27 Mar 2018 09:55
alex (guest) 27 Mar 2018 07:30
in discussion Kurasa / Maoni » Jinsi ya kufuga vizuri kuku wa kienyeji

Nahitaji kuku wa kienyeji hao aina ya mbeya.

Niko dodoma.

by alex (guest), 27 Mar 2018 07:30
Mayige Kanyala (guest) 27 Mar 2018 05:11
in discussion Kurasa / Maoni » Mbinu kuu za Kilimo cha Mboga cha uhakika kwa mazao mazuri

Je salama ndugu yangu na pole ya majukumu ya kazi na changamoto zake,mimi ni mkulima wa mbogamboga nipo Kahama nina bustani ndogo yenye ukubwa wa robo eka,nakumbana na changamoto nyingi sana hasa kilpindi cha jua kali pamoja na kumwagilia maji ya kutosha na kutumia mbolea zinazoshauriwa,kuna wakati mboga zangu zinakuwa na afya mbaya,natumia mfumo wa drip irrigation,pia nakabiliwa na changamoto za wadudu wengi aina mbalimbali wanaoshambulia mazao yangu,naomba mbinu sahihi zenye tija hasa kwenye upandaji mbegu aina ya swisschard,beetroot,matole zinaota chache sana,nambie mtaalam.

by Mayige Kanyala (guest), 27 Mar 2018 05:11
martha chagula (guest) 26 Mar 2018 11:23
in discussion Kurasa / Maoni » Muujiza wa Madonda ya padre Pio

Tumsifu Yesu Kristu,
tafadhali naomba kutumiwa makala za maisha ya watakatifu na hasa muujiza wa madonda ya Padre Pio.
Pamoja na salaam za kwaresma nakutakia kila la heri katika kutupa habari njema.
Dr.Martha Chagula

by martha chagula (guest), 26 Mar 2018 11:23
Janeth joseph (guest) 26 Mar 2018 08:32
in discussion Kurasa / Maoni » Jinsi ya kulima bamia inavyotakiwa

Maelezo mazuri lkn hao wadudu mngesema na dawa zake na hayo magonjwa

by Janeth joseph (guest), 26 Mar 2018 08:32
john kuru (guest) 26 Mar 2018 05:45
in discussion Kurasa / Maoni » Mafundisho kuhusu Hukumu ya Mwisho

Haya mafundisho ni mazuri sana kwa kizazi hiki cha mwisho, maana wakati huu ni wakati wa kukumbushana juu ya ujio ma masiya,
Tunahitaji kukumbushana maana siku zimekwisha., ni mafundisho mazuri sana.
hongera sana.

by john kuru (guest), 26 Mar 2018 05:45
amphrey (guest) 23 Mar 2018 07:45
in discussion Kurasa / Maoni » Ufugaji wa nguruwe na faida zake

1.nguruwe mwenye mimba ,anastahili kula chakula chenye vitamini ngapi na anaweza kula kilo ngapi kwa siku
2.castration ina faida gani kwa nguruwe? na je niwakati gani wa kufanya hicho kitendo ,wakati wa baridi aiu joto? na je nn kifanyike baada ya kufanyiwa castration?

by amphrey (guest), 23 Mar 2018 07:45
ombeni (guest) 21 Mar 2018 20:29
in discussion Kurasa / Maoni » UKWELI KUHUSU MSHAHARA

;;;;ni jins gan mtu anaweza kujitengenezea mtaji kwa nkaz yyte anayofanya

by ombeni (guest), 21 Mar 2018 20:29

Unaweza kupata makala nyingine kupitia katoliki.ackyshine.com kila unapotembelea

by AckyshineAckyshine, 21 Mar 2018 08:48
AckyshineAckyshine 21 Mar 2018 08:44
in discussion Kurasa / Maoni » Nyimbo za Kwaresma za Katoliki

Unaweza kusikiliza moja kwa moja online tuu kwa sasa

by AckyshineAckyshine, 21 Mar 2018 08:44
Pauline Makunja (guest) 21 Mar 2018 08:10
in discussion Kurasa / Maoni » Nyimbo za Kwaresma za Katoliki

Nahitaji kudownload nyimbo hizi za kwaresima nitumie browser ipi

by Pauline Makunja (guest), 21 Mar 2018 08:10
Elton mpanda (guest) 20 Mar 2018 21:07
in discussion Kurasa / Maoni » KUFUNGA NA KUOMBA KUNAKOONGEA MBELE ZA MUNGU

Ujumbe mzuri saana…ninhetamani niwe naupata kila Mara na mafundisho mbalimbali

by Elton mpanda (guest), 20 Mar 2018 21:07
Charles kazimoto (guest) 20 Mar 2018 13:57
in discussion Kurasa / Maoni » Vyakula vinavyoongoza kuongeza akili kwenye ubongo

Kwanini binadamu hubadilika rangi sehemu za baridi

by Charles kazimoto (guest), 20 Mar 2018 13:57
by AckyshineAckyshine, 20 Mar 2018 07:01
Michael adriano (guest) 20 Mar 2018 06:49
in discussion Kurasa / Maoni » Jinsi ya kufuga vizuri kuku wa kienyeji

Nahitaji kujua zaidi mbinu za ufugaji kuku

by Michael adriano (guest), 20 Mar 2018 06:49
emil nyembe10@hotmail.com (guest) 19 Mar 2018 11:28
in discussion Kurasa / Maoni » Kazi ya Roho Mtakatifu.

Roho mtakatifu ndiye nguzo ya mwanadamu anaemtumainia mungu Pia roho mtakatifu hutoa baraka unapomtumainia.

by emil nyembe10@hotmail.com (guest), 19 Mar 2018 11:28
AckyshineAckyshine 19 Mar 2018 09:42
in discussion Kurasa / Maoni » Usiyoyajua kuhusu wanawake!!

Asante. Karibu tena

by AckyshineAckyshine, 19 Mar 2018 09:42
AckyshineAckyshine 19 Mar 2018 05:02
in discussion Kurasa / Maoni » Kuangalia picha za ngono

Kweli ndugu

by AckyshineAckyshine, 19 Mar 2018 05:02
Mariam (guest) 18 Mar 2018 18:12
in discussion Kurasa / Maoni » Jinsi ya kufuga vizuri kuku wa kienyeji

Asante

by Mariam (guest), 18 Mar 2018 18:12
page 1123...next »