Kichekesho%20Kipya Usikose ๐Ÿ“•Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga๐ŸŒฟ๐Ÿ… Kina kurasa 100 na utaalamu wa mazao zaidi ya 10๐Ÿ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

ss.gif Wosia mzuri wa baba kwa mwanaeโœ…

FURAHA-SHINE.jpg
Melkisedeck Leon Shine

๐Ÿ’ฅ"Usikubali kupitwa na Picha Bomba Kali za kila siku. Endelea kuperuzi blog hii kwa Picha."๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ‘Baada ya kusoma kuhusu๐Ÿ‘‡;

images-17.jpeg
๐Ÿ’กLeo nimekutayarishia๐Ÿ’ซ makala kuhusu๐ŸŒ  Wosia mzuri wa baba kwa mwanae๐Ÿ‘‡.

๐Ÿ’ฅWosia mzuri wa baba kwa mwanae๐Ÿ‘‡

Mwanangu, mimi baba yako nimeishi miaka mingi kuliko wewe ndio maana unaniita baba. Ni kweli sijasoma kama wewe ulivyosoma Ila mambo niliyokutana nayo tangu nimezaliwa ni elimu tosha ambayo wewe huna. Sasa nataka nikupe Elimu hiyo ili ukijumlisha na elimu yako ya darasani ujue namna nzuri ya kuishi katika dunia hii iliyojaa mishangazo mingi.

Maisha ni jumla ya mambo yote unayoyatenda kila siku. Namaanisha kila unalolifanya Leo linaathiri maisha yako ya kesho kwa hali chanya au hali hasi. Na kama ni hali hasi ni kwa ukubwa gani halikadharika kama ni hali chanya ni kwa kiwango gani. Mwanangu kila jambo unalolifanya Leo huamua ni mlango gani Unaweza ingia Kesho lakini pia mlango upi huwezi ingia Kesho. Ndio maana ni muhimu kuijua Kesho yako ukiwa Leo.

Mwanangu ili ufanikiwe ni lazima ujue kuishi na watu vizuri. Na mimi sikushauri kabisa kwamba uwe na marafiki wengi. Kuwa na marafiki wengi ni moja ya eneo unaweza jitengenezea mtego mbaya wa kukuangamiza kesho yako. Mwenye hekima mmoja aliwahi kusema ajifanyiaye rafiki wengi ni kwa uangamivu wake mwenyewe. Mwanangu kwa kusema hivyo simaanishi uwe na maadui,hapana. Ila marafiki zako watakusaidia mlango unaotaka kuingia Kesho uingie kwa urahisi au kwa ugumu au usiingie kabisa na wakati mwingine Unaweza kuingia na wakahusika kukutoa kwa aibu kubwa. Ndio maana ni muhimu Kuwa na marafiki ila Kuwa nao wachache chagua kwa makini mno. Sio lazima kila akufaaye kwa dhiki ndiye awe rafiki. Kuna watu wanakufaa kwa dhiki Leo ila Kesho wakutumikishe Kuwa makini sana.

Mwanangu, kuwa makini sana na mahusiano yako ya kimapenzi maana yanagusa hisia zako na mtu unayehusiana naye moja kwa moja. Hivyo basi kuwa makini maana mahusiano hayo yanaweza kukufanya Kesho ukamkosesha raha utakayekuwa naye kama sio huyo uliyenaye leo ndie ukajaaliwa Kuwa naye Kesho. Mwanangu, Unaweza kuniona mshamba sababu ulimwengu wenu unaonekana kama haujali sana haya mambo ila tafadhari zingatia utakapofika Kesho utaelewa sana hiki ninachokuambia.

Mwanangu, jichunge sana na mambo unayoyafanya Leo na uwe muungwana na kupenda haki. Tamaa isikupeleke ukafanya mambo mabaya ambayo yatakulazimisha kutunza siri moyoni mwako hata kama utafika ile Kesho yako. Jiepushe kabisa na mambo mabaya ya siri ya nafsi. Hakuna utumwa mbaya kama utumwa ndani ya nafsi yako mwenyewe maana kila ukikumbuka nafsi itakusuta na kukukosesha raha ya kweli. Hivyo kubali na kuridhika na ulivyo kama huwezi kujiongeza kwa njia halali na za haki. Ni heri uwe masikini mwenye uhuru ndani kuliko uwe tajiri na maarufu mwenye siri mbaya ndani ya Moyo wako. Mwanangu tafadhari uwe makini sana.

Mwanangu, siwezi sahau kukwambia kuhusu Mungu. Maisha ya uchaji wa Mungu yatakuepusha na mengi. Hapa naomba unielewe kwamba usijifanye unamcha Mungu bali mche Mungu. Sio kwasababu unashida ya kufanikiwa ndio umche Mungu, hapana! Bali umche Mungu sababu ni Mungu na yeye ndiye anaijua Kesho yako vizuri kuliko wewe mwenyewe. Ukimshirikisha mambo yako na ukawa mwaminifu kwake hakika hatakuacha kamwe.

Mwanangu, usiku umeenda nenda kalale sasa ila usije ukapenda na kutamani waovu kwa uovu wao na wakakushawishi ujiunge nao. Tafadhari usikubali.

#Kizazi Ganzi#

JIFUNZE KUJIFUNZA

Mwl Makwaya
Kuwa Ni Kufanya.

๐Ÿ‘ŠUsikubali kupitwa na ๐Ÿ“•Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga๐ŸŒฟ๐Ÿ…. Kina kurasa 100 na utaalamu wa mazao zaidi ya 10. ๐Ÿ‘‰Bofya hapa Kuchukua๐Ÿ‘ˆ

so.gifMshahara usiobadilika๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

images-14.jpeg

๐Ÿ“Nitumie Maoni๐Ÿ’ญ yako Kuhusu Wosia mzuri wa baba kwa mwanae hapa๐Ÿ‘‡

Jina
Mahali
Mfano Mkoa, wilaya n.k
Email
Itatumika kukujibu
Maoni yako
HAPPY-MOMENTS.jpg

๐Ÿผ Endelea kusoma kuhusu;-๐Ÿ™‰

.

images-7.jpeg
C.gif "Kukosa mtu, kitu au jambo fulani kunasababila Moyo kujenga upendo kwenye mtu, kitu au jambo ulilolikosa."

.

Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Kilimo Bora cha Kabichi Linafundisha kulima kabichi ๐Ÿ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Picha Kali Lina picha Nzuri za kufurahisha ๐Ÿ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

.

๐Ÿ“ท Picha Bomba๐Ÿ‘‡

P.gif
P.gif PICHA-ZETU๐Ÿ˜๐Ÿ“ท
P.gif SOMA-HIZI๐Ÿ˜๐Ÿ“ท
P.gif USIKOSE๐Ÿ˜๐Ÿ“ท
V4.gif

.

๐Ÿ““ Ujasiriamali๐Ÿ‘‡

U.gif

.

IMG_20170703_131021.jpg
C.gif "Tunajithamanisha wenyewe kwa yale tunayoona tunauwezo wa kuyafanya japokuwa watu wengine wanatuthamanisha kwa yale wanayoyaona tumeshayafanya."

.

Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Kilimo Bora cha Matikiti Linafundisha ulimaji wa matikiti .
๐Ÿ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose ๐Ÿ“•Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+โœ” Kina kurasa 270 zenye picha๐Ÿ“ท na vichekesh๐Ÿ˜‚ zaidi ya 300๐Ÿ’จ.
๐Ÿ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

.

๐ŸŽก Tekinolojia๐Ÿ‘‡

T.gif
images-12.jpeg
C.gif "Msomaji wangu mpendwa usikubali kukosa makala mpya ya kila siku kutoka katika blog hii. Kila siku naandika makala mpya kwa ajili yako."

.

.

images-20.jpeg

Habari msomaji wangu…?
"Mpenzi msomaji, Blog ya Ackyshine ipo kwa ajili yako wewe kutembelea kila siku kwa kuwa inakuwezesha kupata maambo mapya kila siku. Ni wewe tuu kuitembelea mara kwa mara."

IMG_20170703_130508.jpg

Jina langu ni Melkisedeck Leon Shine Mwendeshaji wa blog hii.

Usisite kuniandikia maoni,mapendekezo au maswali hapa

Jina
Mahali ulipo
Mfano Mkoa, Wilaya n.k
Email
Itatumika kukujibu
Maoni yako

KUHUSU BLOG HII | MAWASILIANO | ABOUT AUTHOR | LEGAL GUIDELINES