Wosia mzuri kwako

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Mahaba kwa wanawake wa siku hizi, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Wosia mzuri kwako.

Unaalikwa pia kusoma kuhusu; Ushauri wa mapenzi.

Wosia mzuri kwako

By, Melkisedeck Shine.

Wosia mzuri kwako:
1.USIMWAMINI MTU YEYOTE
2.ANAYESEMA ANAKUPENDA SANA MCHUNGUZE
KWA MAKINI.
3.ANAYEKULETEA HABARI ETI FULANI KASEMA
HIVI, FIKIRIA YEYE ALISEMA NINI.

4.USITEGEMEE MTU ATATUNZA SIRI YAKO
ILIYOKUSHINDA WEWE BINAFSI KUITUNZA.
5. OMBA MUNGU AKUPE MACHO YA MOYONI
ILI UMJUE MWEMA NA MBAYA WAKO.
6.ANAYEKUPENDA KWA DHATI UTAMJUA WAKATI
WA SHIDA ZAKO.
7.HAKUNA ANAYEFURAHIA MAFANIKIO YAKO
ZAIDI YA FAMILIA YAKO.
9.MTHAMINI NA KUMJALI ALIYECHANGIA
KUFIKA HAPO ULIPO.
Mwisho: MPENDE MTU KWA MATENDO YAKE NA
SIO MANENO YAKE.
Give or take. Ndo kama hivi

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Wosia mzuri kwako. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Endelea kusoma makala hizi;

a.gif Soma Hii itakusaidia sana
UKIPATA MUDA SOMA ITASAIDIA SANA.. soma zaidi
a.gif Mapenzi kweli hisia!
Kuwa Rubani wa Ndege haimaanishi ndio utakuwa Rubani wa Ndoa,…Unaweza kuwa Mwanajeshi tena Brigedia lakini kwenye Ndoa ukawa Kuruta😂…..Mwanasheria unaweza kusimama kwenye Court kwa ustadi lakini kusimama ndani ya ndoa ni zaidi ya Extended Jurisdiction!.. soma zaidi
a.gif Unajifunza nini hapa?
Wanandoa walizoea kudanganyana. Siku moja mke alilala nje aliporudi nyumbani mmewe akamuuliza ulilala wapi. Mke akasema alilala kwa rafiki yake wa kike. Mme akawapigia simu marafiki 10 wa mke wake na wote wakasema hakulala kwao… soma zaidi
a.gif Kila mtu dunia hii anahistoria yake
Kijana wa miaka 24 alikua anaangalia ktk dirisha la treni, mara akahamaki akasema….. soma zaidi
a.gif Tahadhari
TAHADHARI. NIMEIKOPI MAHALI.. soma zaidi
a.gif Upendo wa kweli hauna sababu!
Hivi Mpenzi Hebu Niambie umenipendea nini mimi"""…Hamna Swali linalonishangazaga kama hili,halafu wadada wanalipenda balaa..Na sijui huwa wanataka tuwajibuje kwa mfano…Je niseme macho…Inye gwedegwede…Miguu yako yenye tege kama Boban..Nywele zako ndefu ama??Mbona mnatuforce tuwe waongo jamani?We Unapendwa inatosha shukuru Mungu unapendwa yaishe…. soma zaidi
a.gif Je, ni kweli au si kweli kuwa Wadada waliosoma sana hawana sifa ya kuwa mke
Halina ukweli kwa sehemu, na lina ukweli kwa sehemu. Ni hivi : 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
Shule inamfanya mtu awe overconfidence na kukosa unyenyekevu, hii ni output ya makuzi na malezi aliyopita plus msukumo wa marafiki waigizaji kwenye mahusiano. Mwanamke msomi can spend any amount of cash on saloon, urembo na vitu binafsi vya luxury , but utasikia kazi ya mwanamme ni kulisha family kujenga etc, na shati lake likichakaa atajijua, hata hela yavkunyolea ndevu tu ni yeye 🤔🤔 but hana haki ya kuhoji income ya mkewe. Si mnakumbuka message ya 5000 za baba +2000 za mama=5000 za familia ,hiki ni practical kibonzo kwa some families… soma zaidi
a.gif Jinsi ya kumfanya mwanamke afurahi na akupende kwa kumfanyia mambo anayoyataka
Kuna mambo ya msingi ambayo mwanamke anahitaji kutoka kwa mwanamme ili kufurahi na kutulia katika mahusiano japokuwa sio rahisi kukwambia mojakwa moja… soma zaidi
a.gif KUJICHUA KWA WANAWAKE: HASARA NA FAIDA ZA MWANAMKE ALIYEZOEA KUPIGA PUNYETO.
Kujichua au kujichezea (kupiga puli au punyeto)
sio kwa wanaume tu bali hata wanawake
wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako
huru kulizungumzia au kukili kuwa wakizidiwa
huwa wanajisaidia…
Wakati mwingine mtu
anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige
moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi
unajisikia mzito kuamka kitandani mpaka upige
moja ndio nguvu zinakuja…hasa kama
umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi
hayupo karibu… soma zaidi
a.gif Ungekua wewe ndo huyo mama ungefanyaje??
Mke wa Frank anajivunia mume mtulivu, hashindi baa na hatongozi videmu. Akitoka kazini huenda kucheza basketball na hurudi nyakati za dinner. Siku moja mkewe akamhurumia. Anachoka na kazi. Mtu gani asiyependa starehe japo kidogo? Mke akamlazimisha outing, Frank akabisha lakini taxi ikafika. Gonga Club & Lodge… soma zaidi

Makala hii kuhusu, Wosia mzuri kwako, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

• Naomba majibu! Ungekua wewe ungefanjaje?, endelea kusoma...

• HADITHI: Maisha ya ndoa, endelea kusoma...

• Hii ndio sababu kwa nini nawapenda wanawake, endelea kusoma...

• Soma Hii itakusaidia sana, endelea kusoma...

• Mapenzi kweli hisia!, endelea kusoma...

• Unajifunza nini hapa?, endelea kusoma...

• Kila mtu dunia hii anahistoria yake, endelea kusoma...

• Tahadhari, endelea kusoma...

• Mtu hutoa kile alichonacho, endelea kusoma...

• Ujumbe mzito kwako kijana, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Wosia mzuri kwako, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

KADI-SALAMU-USIKU-MZAZI.JPG
mtu.gif