Familia, Mapenzi na Mahusiano Β» Wadada haya ndiyo yalikua mapenzi ya kweli

Tafuta

πŸ‘‰ Wadada haya ndiyo yalikua mapenzi ya kweliπŸ‘‡βœ”

Ladies jaribu kuchukua hata dakika mbili kuwakumbuka na kuwaombea mema huko walipo wale watu mliokua mna date nao wakati mko secondary …anakupenda bila make up.. Bila mawigi.. Bila kusuka.. Umenyoa kichwa kama baba ako.. Unashinda na sketi jekundu lina marinda miezi 6 alafu oversize… Shape haieleweki haionekani.. Umekonda.. Unakula ugali na maharage ya wadudu ila yeye yuko bega kwa bega na wewe.. Yale ndio yaliitwa True Love sasa..

🚢🚢🚢

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Wadada haya ndiyo yalikua mapenzi ya kweli).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Marafiki zako mliopotezana wako hapa Wapo kukutafuta wewe uliyepotezana

πŸ‘‰Jua Zaidi...

rafiki.gif

Expert available for Hire

Tazama ni marafiki wangapi wanaokutafuta Wengi wanaweza wakawa wanakutafuta lakini hujui.
Soma%20Zaidi.gif