Vitu (6) sita usivyotakiwa kufanya kabla ya kulala

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Mtu hutoa kile alichonacho, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Vitu (6) sita usivyotakiwa kufanya kabla ya kulala.

Unaalikwa pia kusoma kuhusu; FAHAMU NGUVU ZAKO ZA KUZALIWA.

USIKOSE HII👉 Kampeni ya Amani na Upendo

Vitu (6) sita usivyotakiwa kufanya kabla ya kulala

By, Melkisedeck Shine.

1. USILALE UKIWA UMEVAA SAA.

Saa ya mkononi ina madhara iwapo
utaivaa kwa muda mrefu,
wanasayansi
wanashauri sio sahihi kulala ukiwa
umevaa saa mkononi.

2. USILALE UMEVAA SIDIRIA

(wanawake
wanayovaa kwenye matiti ).
Wanasayansi wa America
wamegundua kuwa wanaovaa sidilia
zaidi ya masaa 12 Wako kwenye
hatari zaidi ya kupata Kansa ya
matiti.

3. USILALE NA SIMU IKIWA KARIBU.

wanasayansi wanashauri usiweke
simu pembeni kwa sababu mionzi
ya simu sio salama hasa ukiwa
umelala, ni vizuri ukaizima kama ni
lazima ukae nayo karibu.

4. USILALE UKIWA UMEWEKA MAKE

- UP
(usoni). Hii usababisha ngozi
kutopumua vizuri na kutopata
usingizi kwa haraka.
5. USILALE UMEVAA NGUO YA
NDANI - Ili kuwa huru na kulala ni
vyema ukalala bila kubanwa
na kitu chochote, nguo ya ndani
haitakiwi.
KITU CHA MWISHO NA CHA MUHIMU
KULIKO VYOTE NI ….

6. USILALE NA MKE/MUME WA MTU.

wanasayansi wanasema jambo kama
hili linapotokea na ukabainika
linaweza chukua uhai wa mtu hata
kukuacha na maumivu baada ya
kuharibiwa uso kwa makondo yasiyo
na mpangilio, ni vizuri ukawa makini
sana hapa!
Ukibisha yakikukuta shauri yako!

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Vitu (6) sita usivyotakiwa kufanya kabla ya kulala. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Endelea kusoma makala hizi;

a.gif Ujumbe kwa mabinti kuhusu uvaaji
Familia Kwanza: Wasichana wawili waliwasili kwenye Kikao huku wamevaa nguo ambazo zilikuwa zikionyesha miili yao… soma zaidi
a.gif Angalia kilichomkuta huyu dada mwenye zarau, mwanae alikufa kwa zarau zake
Dada mmoja akiwa ofisini alipigiwa simu kuwa mwanae amepata ajali wakati anatoka shule, alikuwa ameumia sana. Kwa harakaharaka yule dada aliwasha gari na kuanza safari kuelekea hospitali ili kumuona mwanae… soma zaidi
a.gif Dalili za mahusiano feki, mahusiano ya kichina
Ukitaka kujua Simu ya Kichina utajua tu jinsi ilivyo na makelele mengiiiii sana wakati wa kuita….Sasa ukitaka kujua relationship feki ya kichina utaona tu makelele yalivyo mengi kama ile simu…Watu hawatulii kwenye wall,mara I miss my baby,mara baby come back,mara baby this,ooh my man/Girl is special,mara picha …mi and my baby,full kujishaua..ukiona wall zenye hayo makelele asilimia 90 ni penzi la kichina na lazima lina double line.Relationship serious na Original hazina makeke wala mikelele mingi kama hiyo yako na milio mikubwa ya ajabu na vibration ambazo zinaweza kufyeka hata majani.TULIA,hatuhitaji kujua who is ur baby au umemmiss,ukimmiss mpigie simu hukooo! Ebooo!!!.. soma zaidi
a.gif Mambo 7 ambayo mwanamme hapaswi kumfanyia mke wake
Mambo 7 ambayo mwanaume apaswi kumfanyia mke wake..
1. Usimpige.
2. Usimtukane na kumshushia heshima… soma zaidi
a.gif Wosia mzuri kwako
Wosia mzuri kwako:
1.USIMWAMINI MTU YEYOTE
2.ANAYESEMA ANAKUPENDA SANA MCHUNGUZE
KWA MAKINI.
3.ANAYEKULETEA HABARI ETI FULANI KASEMA
HIVI, FIKIRIA YEYE ALISEMA NINI… soma zaidi
a.gif ZINGATIA HAYA
KAPIMWE AKILI…
1. Kama wewe ni kijana na una nguvu za kutosha ila kila cku unailalamikia serikali kuwa ajira hakuna, pumbaff kapimwe akili… soma zaidi
a.gif Soma. Hii ndio sababu kwa nini nawapenda wanawake
Mme na mke walikuwa wamekaa wanatazama TV
mara mke akasema, “Ushakuwa usiku sasa,
nimechoka ngoja nikalale”
Akanyanyuka na kwenda jikoni akawaandaa
samaki wa chakula cha siku ya pili mchana,
akapika chapati kwa ajili ya chai ya siku ya pili
asubuhi kisha akachemsha chai kwa ajili ya
watoto asubuhi… soma zaidi
a.gif Ukipenda Boga, penda na ua lake
mwanaume akiwa ana hema ametoka kazini
kabla ya muda wa kawaida,akamwambia mke
wake Jiandae haraka tuna safiri kwenda
mbeya,mke akamuuliza kuna nini??.. soma zaidi
a.gif Mawaidha kwa Bwana Harusi mtarajiwa
1. Mwanangu, mwanamke anaweza kuwa mkeo, mwingine anaweza kuwa mama wa watoto wako, lakini ukipata mwanamke ambae atakuwa kama mama kwako, mama kwa wanao na mama kwa familia, tafadhali mwanangu usimuache huyo!
2. Mwanangu, usimfanye mwanamke wako kuwa ndio wa kupika na kufanya kazi zote za jikoni peke yake, tabia hiyo sio nzuri Kwani hata nyakati zetu, mashamba yetu yalijulikana kwa majina yetu wanaume lakini tulifanya kazi pamoja!
3. Mwanangu, nikikwambia wewe ni kichwa cha familia, simaanishi kutuna kwa pochi lako, usiangalie kabisa pochi yako, angalia kama utaona tabasamu usoni kwa mke wako. Pesa sio kila kitu katika ndoa na haileti ukuu wa familia!.. soma zaidi

USIKOSE HII👉 Kampeni ya Amani na Upendo

Makala hii kuhusu, Vitu (6) sita usivyotakiwa kufanya kabla ya kulala, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

• Jifunze kupitia kisa hiki cha mume na mke, endelea kusoma...

• Jifunze kitu kupitia kisa hiki cha mume na mke, endelea kusoma...

• Siri za kumpata mpenzi bora, endelea kusoma...

• Ujumbe kwa mabinti kuhusu uvaaji, endelea kusoma...

• Jifunze kupitia mfano huu wa ufutio na penseli ✏, endelea kusoma...

• Angalia kilichomkuta huyu dada mwenye zarau, mwanae alikufa kwa zarau zake, endelea kusoma...

• Dalili za mahusiano feki, mahusiano ya kichina, endelea kusoma...

• Mambo 7 ambayo mwanamme hapaswi kumfanyia mke wake, endelea kusoma...

• Kama una miaka 24 hadi 29 huu ni ujumbe wako, Soma hii tafadhali, endelea kusoma...

• Kuwa na msimamo katika mahusiano, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Vitu (6) sita usivyotakiwa kufanya kabla ya kulala, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

KADI-MSAMAHA-MZAZI.JPG
rafiki.gif