.

πŸ‘‰ Usiwe Muongo kwenye mahusianoπŸ‘‡βœ”

Kamwe usianze mahusiano yako kwa kusema
uongo, ipo siku uliyoyaficha yatagundulika,
yamkini ulimficha mwenzako juu ya umri, kipato,
uwezo kifedha, hali ya ndugu, kiwango cha elimu,
makazi yako, kazi yako, uwezo wa familia,
mahusiano yako ya awali, kuwa au kutokuwa na
mtoto, kuwahi au kutowahi kuoa au kuolewa N.k.
Fedheha ya kuumbuka huko mbeleni ni chungu
na yenye majuto sana bora uwe mpole na ukubali
kuwa mkweli mapema. Hakuna maisha magumu
kama kuishi ukijitahidi ku justify ulichowahi
kusema uongo. NA HIYO KWELI ITAKUWEKA
HURU -

uliyesoma.gif

Usisahau kushare posti Kwenye Mitandao ya Kijamii

[NZURI HIIπŸ‘‰] Tangaza Biashara Online

[NZURI HIIπŸ‘‰] Mwanamke akipenda amependa kweli

[NZURI HIIπŸ‘‰] Punyeto kwa wanaume

mwandishi.gif

.

.

.

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri.Soma%20Zaidi.gif

Melkisedeck%20Shine.gif