Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Kilimo Bora cha Hoho kwa punguzo kutoka Tsh 4,000/= hadi Tsh 0/= (0.00$) Yaani Bure 0.00/= kwa leo tuu!.
๐Ÿ‘‰<<Bofya hapa Kuoda>> Kizuri

.

๐Ÿ‘‰ Ushauri wa bure kwa wakaka na wadadaโœ…

*_Kwa wale wadada ๐Ÿ’๐Ÿฟ๐Ÿ’๐Ÿฟ ambao msione mkaka kasimama madhabahuni anahubiri, mmeshampenda…_*
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ
*_Kwenye NDOA hakuna ๐Ÿ™…๐Ÿฟ๐Ÿ™…๐Ÿฟ kuhubiriana, na kama kupo ni robo ya robo ya NDOA, badili MTAZAMO ๐Ÿค”๐Ÿค”_*

*_Kwa wale wakaka ๐Ÿšถ๐Ÿฟ๐Ÿšถ๐Ÿฟ ambao msione mdada kaumbika vizuri, ๐Ÿ’ƒ๐Ÿฟ๐Ÿ’ƒ๐Ÿฟ mmesha mmpenda…_*
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ
*_Sidhani kama kwenye NDOA kuna maonesho na kama yapo ni robo ya robo ya NDOA, badili MTAZAMO ๐Ÿค”๐Ÿค”_*

*_Kwa wale wadada ๐Ÿ’๐Ÿฟ๐Ÿ’๐Ÿฟ ambao msione mkaka ana gari ๐Ÿš—๐Ÿš• na pesa mmesha mpenda…_*
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ
*_Sidhani kama kwenye NDOA kuna kushinda kwenye "showroom" na "shopping", na kama kupo ni robo ya robo ya NDOA, badili MTAZAMO ๐Ÿค”๐Ÿค”_*

*_Kwa wale wakaka ๐Ÿšถ๐Ÿฟ๐Ÿšถ๐Ÿฟambao MNAOA kwa sababu mmechoka kupika ๐Ÿœ๐Ÿฒโ˜•, kuosha vyombo ๐Ÿฝ๐Ÿดna kufua nguo… ๐Ÿ‘”๐Ÿ‘–๐Ÿ‘•_*
๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก
๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ
*_Ni haki yenu ila hyo isiwe ticket ya NDOA, mkeo sio washing machine, cooker wala work doer. MKE ni PAMBO ๐Ÿ’Ž๐Ÿ’Ž OA ukiwa umejipanga kumpetipeti mkeo kama UA tena la gharama. ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒน๐ŸŒน_*

*_NDOA ๐Ÿ’๐Ÿ’ yenye MSINGI๐Ÿ›ค๐Ÿ›ค mzuri ni sababu ya nyumba ๐Ÿก๐Ÿก amani, furaha na Baraka tele…_*

*_Mwl DMM_*

๐Ÿ™‰๐Ÿ™‰๐Ÿ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu; Ushauri wa bure kwa wakaka na wadada.๐Ÿ’ฏโœ” Share facebook, twitter n.k bila kusahau WhatsApp, share wengine nao wafaidike!๐Ÿ‘

Jichukulie ๐Ÿ“•Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga๐ŸŒฟ๐Ÿ… kwa Tsh 2500/= leo tuu! ๐Ÿ‘‰<<Bofya hapa Kuoda>>๐Ÿ‘ˆ Uendelee kuelimika.

๐Ÿ‘‰<<WEKA ODA HAPA>>๐Ÿ‘ˆ

๐Ÿผ Baada ya kuweka oda, sasa endelea kusoma kuhusu;-๐Ÿ™‰

Majarida na vitabu kutoka Ackyshine eBook Shop

vichekesho.jpg
Kwa punguzo kutoka Tsh 6500/= hadi Tsh 2500/= kwa leo tuu!.
Jipatie ๐Ÿ“•Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+โœ” kwa Tsh 2500/= tuu.
jua%20zaidi%2C%20dont%20delete

vichekesho.jpg
Kwa punguzo kutoka Tsh 6500/= hadi Tsh 2500/= kwa leo tuu!.
Jipatie ๐Ÿ“•Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+โœ” kwa Tsh 2500/= tuu.
jua%20zaidi%2C%20dont%20delete

.