Familia, Mapenzi na Mahusiano Β» Ushauri kwa mwanamke anayetafuta Mwanaume ili upate Mume sahihi

Tafuta

πŸ‘‰ Ushauri kwa mwanamke anayetafuta Mwanaume ili upate Mume sahihiπŸ‘‡βœ”

Siku zote mwanamke hawezi pata mwanaume aliye sahihi,,,.

1. Ukimpata handsome,,kichwa yake ni empty.

2. Ukimpata genius…yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic , hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno

3. Ukimpata tajiri…hawezi kukuheshimu full madharau, utamwambia nini wakati hela anayo bana.

4. Ukimpata mfanyakazi hodari na mtafutaji…hana muda wa kuwa na wewe..muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha

5. Ukimpata mnyenyekevu…mfukoni huwa 0%.

6. Ukimpata anayekupenda kwa dhati…anakuwa siyo type yako..hana pozi zile unazitaka.

7. Ukimpata msomi..hasikilizi ushauri wako..anakuona Boya tu.

8. Ukimpata yule smart…ni muongo to the maximum… na player

So listen to your heart…❀❀, na shukuruni kwa kila jambo, toka anguko la Adam hakuna mtu perfect..hata wewe hauko perfect.
Kwa nini kulilia watu perfect??

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Ushauri kwa mwanamke anayetafuta Mwanaume ili upate Mume sahihi).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Je, unatoa misaada kwa jamii? Tangaza kituo chako bure hapa

πŸ‘‰Jua Zaidi...


"Vile unavyotoa ndivyo unavyopokea. Yule anayetoa sana ndiye ansyepokea sana. Kutoa ni kuhifadhi."

Slide3-mabestimliopotezana.PNG

Expert available for Hire

Kutana na marafiki zako hapa Usijali wapo kwa ajili yako.
Soma%20Zaidi.gif