Tafuta

πŸ‘‰ Ungekua wewe ndo huyo mama ungefanyaje??πŸ‘‡βœ”

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Mtafute ndugu yako hapa

Mke wa Frank anajivunia mume mtulivu, hashindi baa na hatongozi videmu. Akitoka kazini huenda kucheza basketball na hurudi nyakati za dinner. Siku moja mkewe akamhurumia. Anachoka na kazi. Mtu gani asiyependa starehe japo kidogo? Mke akamlazimisha outing, Frank akabisha lakini taxi ikafika. Gonga Club & Lodge.

Walipofika mlangoni tu, mlinzi akaita, β€œMambo Frank!” β€œPoa”

β€œNilidhani huwa huji club, inakuwaje mlinzi anakufahamu?” mke akauliza

β€œYule mgambo, mchana analinda ofisini kwetu, usiku anapiga part time hapa” akajibu Frank

Wakachagua meza. Kukaa tu tayari mhudumu ameshaleta castle lager. Akamuuliza mama anakunywa nini. Mhudumu alipoondoka mama akauliza, β€œamejuaje unakunywa castle kama hakufahamu?”

Wakati Frank anajikanyaga aanze vipi kujitetea, mhudumu wa vyumba akawa amefika na kuuliza.

β€œMkuu kama kawaida nimekuandalia namba tano, nendeni tu vinywaji nitawaletea huko huko”

Kufikia hapo mama akawa hana simile tena, akanyanyuka akitukana kama chizi. Akatoka nje mbio na kuingia katika taxi iliyokuwepo pale. Wakati anapatana bei na dereva, Frank naye akaingia. Mama yakamporomoka matusi kibao na kilio juu. Alipovuta kamasi na kupiga kwikwi akamsikia dereve anasema.

β€œDuh, eee bwana Frank huyu malaya uliyeokota leo balaaaaaaaaaaaaaaa!”

mama akazimiaaa

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Ungekua wewe ndo huyo mama ungefanyaje??).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Kutana na wale mliosoma pamoja Bado wanakumbukia urafiki wa Kishule shule

πŸ‘‰JUA ZAIDI...

Slide3-mabestimliopotezana.PNG
Kijitabu cha Kilimo Bora cha Kabichi kinafundisha kulima kabichi .

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...