Unamkabidhi Moyo kibaka wa mapenzi unategemea nini!!

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Wosia wa mama kwa binti anayeolewa, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Unamkabidhi Moyo kibaka wa mapenzi unategemea nini!!.

Endelea kefurahia makala nzuri kila siku unapotembelea tovuti hii.

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Tafuta ndugu mliopoteana hapa

Unamkabidhi Moyo kibaka wa mapenzi unategemea nini!!

By, Melkisedeck Shine.

UNAMKABIDHI MOYO KIBAKA WA MAPENZI
UNATEGEMEA NINI?
Kibaka siku zote ni mtu mdokozi mdokozi yeye
anayakuwa kitu fasta na kusepa hana uwezo wa
kuja kuvunja nyumba yako na kuiba ila anaweza
kutoboa dirisha lako na kuiba simu, anaweza
kuruka ukuta na kuiba nguo.
Wapo vibaka wengi sana kwenye mapenzi siku
hizi
wao kazi yao ni kuonja onja miili ya watu kama
wanavyoonja mboga, yaani wao hawawezi
kudumu
katika mapenzi yupo na wewe siku kadhaa na
ndani ya siku hizo tayari anaanza kumfikiria mtu
mwingine.
Kibaka wa mapenzi anapokuja kukutongoza
anajua
wazi kuwa ukishampa penzi siku kadhaa atasepa
zake ila hajali maumivu utakayo yapata, hajali
muda utakao kupotezea wala hajali ni kwa kiasi
gani ulimthamini.
Kibaka wa mapenzi yeye hatafuti mtu kwa ajili
ya
kuwa nae kwa kujenga maisha hapana yeye
anatafuta mtu kwa ajili ya kusex tu na hapo ndio
utaona kila mnachoongea kina husu sex tu na si
kingine.
Kibakahuyu akiwa na mtu mwingine ambae
anakidhi haja yake hakika hawezi kukutafuta
yeye
anakutafuta pale anapokosa chakula anachotaka.
Kibaka wa mapenzi anaweza kukufanya wewe ni
mchepuko sababu tayari ana mtu ambae ana
mipango nae na anamuheshimu ila wewe
amekuweka ziada au anakuja kwako kutafuta
taste
nyingine na kuifurahisha nafsi yake.
Kaaa mbali na vibaka wa mapenzi maana dunia
ya
sasa wapo wengi sana hata huyu unaewsiliana
nae
sasa ni kibaka wa mapenzi sababu tayari ana
mtu
wake wewe umefanywa spea tairi kazi yako ni
kusubiri ajali, au kusubiri pancha ndio utumike na
wewe unafurahi na kujiona mjanja kumbe
umenasa
kwenye penzi la Kibaka.
Kibaka wa mapenzi atakutia mimba na kuikana,
kibaka wa mapenzi atakuacha peke yako ulee
mtoto wake akikua atakuja kusema mtoto wake,
kibaka wa mapenzi atakujali wakati wa furaha tu
kwani shida yeye hazitaki.Kibaka wa mapenzi
atakuvalisha pete na mwisho wa siku atakuacha
nayo na kumuoa mwingine, Kibaka wa mapenzi
amemuumiza rafiki yako jana. Kibaka wa
mapenzi
yupo na wewe ala ana mmendea rafiki yako
anataka kumtafuna na yeye.

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Unamkabidhi Moyo kibaka wa mapenzi unategemea nini!!. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Makala hii kuhusu, Unamkabidhi Moyo kibaka wa mapenzi unategemea nini!!, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

β€’ Mambo ya kufanya kuzuia watu wasiingilie mapenzi yenu, endelea kusoma...

β€’ Unaweza kushare maneno haya kuntu kwa vijana wote ambao hawajaoa na walio kwenye ndoa, endelea kusoma...

β€’ Mwanamke akipenda amependa kweli, endelea kusoma...

β€’ Ni ushauri tuu kwako wewe, endelea kusoma...

β€’ Upendo wa kweli hauna sababu!, endelea kusoma...

β€’ Mtunzi katumia falsafa Nzuri sana!!, endelea kusoma...

β€’ Dondoo ya leo!, endelea kusoma...

β€’ Ungekua wewe ndo huyo mama ungefanyaje??, endelea kusoma...

β€’ Dada zangu huu ni mwaka wa mabadiliko, endelea kusoma...

β€’ Kitu ambacho mabinti wanatakiwa kushtuka, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Unamkabidhi Moyo kibaka wa mapenzi unategemea nini!!, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

A Tatizo la nguvu za kiume na chanzo chake, soma zaidi...
A Utani lakini umeelewa!!!, soma zaidi...
A Ushauri kwa wanaume!!, soma zaidi...
A Ushauri kwa mwanamke anayetafuta Mwanaume ili upate Mume sahihi, soma zaidi...
A Umeiona hii!!, soma zaidi...
A Ushauri kwa vijana wenye miaka 22 nakuendelea, soma zaidi...
A Jifunze kitu kupitia kisa hiki cha mume na mke, soma zaidi...

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.