Ukipenda Boga, penda na ua lake

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Sifa za mke mwema, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Ukipenda Boga, penda na ua lake.

Unaalikwa pia kusoma kuhusu; Ujumbe kwa Mke Mtarajiwa.

Ukipenda Boga, penda na ua lake

By, Melkisedeck Shine.

UKIPENDA BOGA PENDA NA UA LAKE: Alifika
mwanaume akiwa ana hema ametoka kazini
kabla ya muda wa kawaida,akamwambia mke
wake Jiandae haraka tuna safiri kwenda
mbeya,mke akamuuliza kuna nini?? Akajibu mama
amefariki..mke akamwambia mi siwezi kwenda
kilioni nikiwa hivi, akaenda saluni akaweka
nywele vizuri na kubandika kope za
macho,aliporudi akaanza kupanga
nguo,akamuuliza mmewe hv mama yako
amefariki na nini?? Mme wake akamwambia
mama yangu hana kitu nimetoka kuongea nae
sasa hv…mke akahamaki si umeniambia kuwa
kuna msiba?? Akajibiwa kuwa mama yako ndio
kafariki,mke akaanza kugalagala na kupiga kelele
niwahishe haraka nyumbani nikamzike mama n
+sije kuta wamezika.,mme wake akamwambia
siwezi kwenda msibani nikiwa hv..subiri nikanyoe
ndevu……

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Ukipenda Boga, penda na ua lake. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Makala hii kuhusu, Ukipenda Boga, penda na ua lake, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

• Mambo ya kuzingatia kabla ya kuingia kwenye ndoa, endelea kusoma...

• Mahaba kwa wanawake wa siku hizi, endelea kusoma...

• ZINGATIA HAYA, endelea kusoma...

• Kutoa Mimba, endelea kusoma...

• Maneno makuu ya kimapenzi yenye thamani kwa mwanamke, endelea kusoma...

• Mambo muhimu ya kufanya kwa mpenzi wako msichana ili asikuache, endelea kusoma...

• Ushauri wa mapenzi, endelea kusoma...

• Mambo ya kufanya kuzuia watu wasiingilie mapenzi yenu, endelea kusoma...

• Ishara za uhakika za mtu yeyote anayekupenda kimapenzi hata kama hajakwambia, endelea kusoma...

• Ishara za uhakika za mchumba mwenye mapenzi ya kweli na wewe na anayekupenda kweli, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Ukipenda Boga, penda na ua lake, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

KADI-POLE-MZAZI.JPG
wadogo.gif