Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+✔ Tsh 2500/= tuu!
👉<<Bofya hapa Kuchukua>> Kizuri

.

Melkisedeck%20Leon%20Shine.JPG

Karibu katika blog yangu, Jisomee makala, vichekesho, videos, picha n.k. Pamoja na kupata pdf kutoka eBook Shop kwa bei nafuu. ni wewe tuu! Enjoy…!

.

👉 Tabia za mwanamke anayefaa kuoa

Mwanamke ni mama mwenye nguvu unajua kwa nini kwa sababu mwanamke alitoka katika ubavu wa mwanaume baada ya Mungu kufanya yafuatayo kwa mwanaume

A. Alimpa usingizi mwanaume
B. Alimfanyia upasuaji
C. Damu ilitoka kwa wingi kwa mwanaume
D. Nyama ilitolewa kwa mwanaume
E. Mfupa ulitolewa kwa mwanaume
F. Baada ya kufanyiwa hivyo mwanaume ndipo mwanamke akaumbwa akatoka mwanaume akakiri na kusema huyo ni mfupa katika mfupa wangu na nyama katika nyama yangu –hivyo ataitwa mwanamke napenda ujue kuwa Mwanamke amebeba uponyaji wa mwanaume na mwanaume amebeba vidonda kwa ajili ya mwanamke

Mwanamke ni mfupa mwanaume ni udongo hivyo mwanamke ni:

1. Ni nguvu ya mwanaume
2. Ni jasiri
3. Mchapakazi
4. Mwenye kujiamini
5. Tegemeo la familia
6. Mwalimu wa watoto na familia yake kiujumla
7. Mlinzi wa mwanaume – Bwana akisema ‘’nimefanya jambo jipya duniani mwamke atamlinda mwanaume
8. Chanzo cha baraka ya familia ( nitabariki Uzao wa tumbo lako)
9. Adui wa maadui wa familia (Uzao wa mwanamke utamponda kichwa nyoka na uzao wa nyoka (shetani ) utamponda kisigino (mwanzo)
10. Sauti ya familia (Bwana akamwambia Ibrahimu msikilize mkeo (mwanzo
11. Mponyaji wa familia yake na taifa
12. Mlezi wa huduma (wakamtumikia Yesu kwa mali zao(Luka8.3-4)
13. Mkombozi wa familia na taifa (kupitia mariamu mkombozi Yesu kristo alizaliwa (Luka i.29-35
14. Msaidizi wa Mungu tumfanyie msaidizi wa kufanana naye (mwanzo 2:18)
15. Mwombezi wa familia,huduma na taifa (Tuwapate wapi wa mama waombolezaji
16. Mficha siri wa Mungu (Rebbeca alificha ni nani atayekuwa mtawala kati ya watoto wake wawili Esau na Yakobo.Baada ya kujua umuhimu wa mwanamke tunatakiwa kuangalia kiundani sana tabia 30 za mwanamke bora sio bora mwanamke tumeumia sana baada ya kuowa watu wasio sahihi katika eneo lilosahihi mwanamke bora ni mwamuzi wa familia ndio mleta mabadiliko katika familia mwanamke anayejua kwanini nipo hapa na ninafanya nini?

Mimi nimefanya utafiki kutokana na vitabu na maisha yanayotuzunguka nimeweza kugundua tabia 30 za Mwanamke anayeweza kunifaa mimi na wewe rafiki yangu tuziangalie kwa makini sana na kwa utafiki wa ndani:-

1. Moyo wa Mwanaume humwamini:

Moyo wa M wanaume humwanini Mwanamke bora sio bora Mwanamke, Mwanamke bora hujitahidi sana ili aweze kuaminika kwa mume wake maana Imani ni kitu muhimu sana katika mahusiano, mahusiano yakipoteza Imani hapo hakuna mahusiano, Mwanamke ana uwezo mkubwa sana wa kujiaminisha kwa Mwanaume kuwa yeye ni mtu sahihi na chaguo sahihi kwa Mwanaume wake. Moyo ndio unaothibitisha kuwa huyu ni mtu sahihi au sio sahihi
Moyo ndio unamkubari mtu
Moyo ndio sauti ya mwisho
Moyo ndio chanzo cha upendo
Moyo ndio jibu la maisha yako ya mapendo
Moyo ndio chemichemi ya mapenzi
Moyo ndio unaoamini na kinywa husema yaliyo maamuzi ya moyo.
Huyu Mwanamke anatakiwa awe na jibu kwa Mwanaume- Upendo wa kweli hautambuliki kwa muonekano wa mtu bali upendo huambulika toka moyoni:- Hivyo Mwanamke bora ni Yule anayeweza kuushika moyo wa Mwanaume na kujiaminisha kwake.

2. Huondoa umaskini

Mwanamke bora katika maisha yako ni Yule mwenye mawazo mazuri ya kuondoa umaskini katika maisha yako- hana wazo baya, wengi wao wanatamani kuolewa ili awe na sifa mtaani kuwa ameolewa lakini ni tegemezi, hana wazo jipya la kubadilisha maisha yako. Hawa sio wanawake sahihi mawazo yake yanamtegemea mwanaume, wazo lake ni kuzaa watoto hana wazo la maendeleo, hajui maumivu ya maisha huwa wanarudisha nyuma ndoto zako kutokutimia kwa wakati wake. Mwanamke bora ni Yule mwenye mawazo ya maendeleo, mwenye hasira na umaskini mpenda mafanikio huyo ndiyo anafaa kuolewa

3. Kamwe hamtendei Mume wake mabaya

Mwanamke bora yaani niniamaanisha aliye sahihi ni Yule mwenye moyo safi kwa mume wake,
1. Hawazi mabaya bali mema kwa mume wake,
2. Hawezi kumtendea mume wake mabaya,
3. Hawezi kumuumiza mume wake,
4. Hawezi kumtonesha vidonda mume wake,
5. Hawezi kuumsaliti mume wake,
6. Hawezi kumtendea yasiyo haki mume wake,
7. Hawezi kumchafua mume wake na kumdharirirsha katika jamiii iliyowazunguka,
8. Hawezikumtukana Mume wake,
9. Hawezi kushabikia maumivu na mateso ya Mume wake,
10. Hawezi kuwa radhi na maadui wa Mume wake,
11. Hawezi kuwa jeuri kwa Mume wake,
12. Hawezi kumtendea Mume wake mabaya.
13. Amejaa heshima kwa Mume wake,
14. Adabu,
15. Utu wema anatunza uthamani wa Mume wake
16. Amejaa utiifu na upole kwa Mume wake
17. Amejaa unyenyekevu na uaminifu kwa Mume wake,
18. Amejaa amani na furaha ya kweli kwa Mume wake-
19. Anayeshinda uovu kwa wema,
20. Mwenye upendo wa kweli kwa mume wake. Huyu ndiye Mwanamke unayeweza kumuowa au kuishi naye na ndio sifa ya Mwanamke anayehitajika katika maisha yako. Mwanamke huyu ataheshimika na kuthaminiwa na watu na hatakosa upendo wa dhati kutoka kwa Mume wake.

4. Hufanya kazi kwa mikono yake kwa bidii

Mke bora sio bora Mke ni mchapa kazi ni mtafutaji kwa mikono yake mwenyewe ni mjasiliamali hataki kuwa mzigo wa familia, kwa mikono yake anajenga, kwa mikono yake anasomesha watoto wake, kwa mikono yake anatunza familia yake kwa mikono yake anaheshimisha familia, mfanya kazi kwa bidii asiyechoka usiku na mchana sio mvivu, kwa mikono yake anafanya hategemei fedha za Mume wake- huyu anafaa kuwa Mke sahihi katika maisha sio mlinda mlango ni mtafutaji anakufaa sana katika maisha, napenda kukwambia mapenzi sio kuzaa, mapenzi kama pesa hakuna hutaona udhamani ni wake pesa ni jawabu la kila kitu sasa Mwanamke anajishughulisha anafaa sana katika maisha yetu ya leo- mapenzi ni kusaidiana.
Mwanamke sahihi hi Yule anayefanya kazi kwa mikono yake kwa bidii, Mwanamke ningependa kukushauri kuwa mali za Mwanammme ni mali za watoto na mali ya Mwanaume ni mali ya watu wengi, leo wanawake wengi wanateseka sana baada ya waume zao kufa wamenyang’anywa mali zao na ndugu wa kiume wanateseka sana kwa sababu walikuwa tegemezi kwa waume zao, Mwanamke wa kweli ni Yule mtafutaji na kuwawekea watoto zake mazingira mazuri ya maisha yao ya kesho.

5. Yeye ni kama meli ya biashara.

Mwanamke anafananishwa na meli ya biashara kwa sababu meli ya biashara inachukua bidhaa mbali mbali ndani yake, Mwanamke amebeba majukumu mengi sana katika maisha yake, mwanamke huyu ni:-
a) Mlinzi wa Mume wake.
b) Mzazi, mlezi mwenye watoto.
c) Mwangalizi mkuu wa familia yake na mazingira yake
d) Mwalimu Mkuu wa familia yake
e) Adui wa maadui wa familia yake.
f) Muombaji wa familia yake.
g) Kisima cha amani katika familia na ndugu wanaomzunguka.
h) Chanzo cha Baraka ya familia
i) Mficha siri ya familia- najua unajua kuwa Mwanamke ndio mficha siri wa familia anajua yote yanayofanyika ndani. Mwanamke ana majukumu mengi sana huku mtoto analia, baba naye anamwita huku watoto wanataka kusoma, wakwe wanataka chakula na mavazi huyu anatakiwa kusaidiwa lakini Mwanamke wa namna hii ndiye anayetakiwa katika maisha yako ndiyo maana amefananishwa na meli ya biashara malalamiko amepewa yeye matusi yeye, sifa njema yeye Mwanamke ni gari la familia. Nyumba yenye heshima inamuhitaji Mwanamke sahihi.

6. Huleta chakula chake toka mbali,

Mwanamke bora hategemei kulishwa na Mwanaume anasifa yakutafuta chakula chake toka mbali, hulisha familia yake kwa pesa yake, anahakikisha kuna kila kitu kinachohitajika katika famila yake, tegemeo la Mume wake Mume humwamini, nguzo ya familia yake, huyu ndiye Mwanamke anayetakiwa katika maisha yetu, huyu anafaa ni chaguo lililo sahihi katika maisha yako.

7. Huamka kabla ya mapambazuko.

Mke bora huamka asubuhi na mapema kwa ajili ya kupanga mambo yake ataamka na kufanya usafi ndani, mazingira yake kiujumla huandaa chakula mapema hupangilia kazi kwa waliomo ndani mwake hufanya hivi na wewe fanya hivi sio Mwanamke anayeamka saa tatu (3) asubuhi au saa nne (4) asubuhi huyo ni mvivu hafai kuitwa Mwanamke bora bali ni bora Mwanamke hafai hana faida katika kuchangia maendeleo maana hata maandiko matakatifu yanasema “Siku njema huonekena alfajiri” mafanikio, Baraka, amaendeleo, huanza asubuhi Mwanamke anyefaa utamwona anaamka asubuhi sana na kupangilia mambo yake sawa, watu wa nyumbani watakula muda sahihi, wataenda shule wakiwa wamejaa amani mwenye maneno mazuri juu ya watoto wake na familia yake kwa ujumla. Huyu ndiyo Mwanamke anayetakiwa katika maisha yako, sio wanaoamka muda wanaopenda, Mwanaume anaandaliwa chai na mfanyakazi wa ndani, nguo za mume wako zinanyooshwa na mfanyakazi, maji ya kuoga mume wako yanaandaliwa na mfanyakazi wa ndani wewe sio Mwanamke sahihi na hufai kuitwa Mke bora wewe ni bora mke.

8. Hufikiri kununua shamba kisha hulinunua.

Mwenamke bora katika maisha hana mtazamo wa kununuliwa shamba, gari, nyumba na chochote cha maendeleo yake na familia hufanya mwenyewe akipenda kitu hununua hanunuliwi huyu ndiye Mwanamke wa Biblia mbunifu wa maisha anayetazama mbali sana kwa fedha yake hufanya maendeleo makubwa sana katika maisha yake, huyu ndiye Mwanamke bora anayefaa katika maisha yetu ndiyo Mwanamke anayetafutiwa na watu wenye maendeleo. Anaishi Kwa Jasho Lake, anategemea jasho Lake Hulima, hufanya kazi ili awezekutimiza ndoto zake.

9. Huwa tayari kufanya kazi kwa nguvu

Mwanamke bora huwa tayari kufanyakazi kwa nguvu sana kwa ajili ya familia yake, anajituma kwa bidii kwa kila shughuri anayoifanya, ni mama mwangaikaji, mwenye kiu ya kutimiliza ndoto yake, mwenye kutambua wajibu wake kitaifa na kifamilia, mwenye mtazamo wa mbali, mwenye kiu na maendeleo, mwenye mzigo na familia yake, adui wa umaskini, ujinga na maradhi, mwenye kujituma kabla ya kutumwa. Huyu ndiyo Mwanamke anayetakiwa kuwa nayo katika maisha yake, huyu ndiye mama wa kibiblia sio bora Mke ni Mke bora.

10. Mwenye kuthamini shughuri zake.

Mwanamke bora anathamini sana shughuri zake kuwa zinafaida anaikubali kazi anayoifanya kuwa inafaa, hana tama na kazi za wengine ana heshimu kazi yake sana, hatishwi na maendeleo ya wengine maana naye ni Mwanamke anayejiamini sana kuwa hata yeye atafika, mwenye matumaini na Imani kubwa kwa kile anachofanya. Huyu ndiye Mke anayefaa katika maisha hutasikia malalamiko, hayupo katika mashindano, hana tamaa mbaya ningependa kukushauri kuwa mwanamke anayekufaa sio Mwanamke akiona mwenzake amevaa nguo Fulani naye anataka huyo hakufai ni muharibifu wa maendeleo atakurudisha nyuma kimaendeleo, tafuta Mwanamke huyo hapo juu.

11. Hufanya kazi hata usiku kwa mwanga wa taa yake.

Mwanamke huyu mjasiliamali hata usiku hufanya mambo yake kwa ajili ya maendeleo, hukanda unga wa maandazi, hushona nguo, vitambaa, hupanga mambo yake kabla ya siku mpya, wenye kutambua wakati alionao, huyu ndiye Mwanamke anaye kufaa katika maisha yako na ni Mwanamke wa kibiblia.

12. Asiye mchoyo.

Mwanamke bora sio mchoyo hufungua mikono yake kwa wahitaji, Mwanamke mchoyo hakufai maana ananyima Baraka katika maisha yako, Mwanamke mchoyo ni mchawi wa maendeleo, Mwanamke bora ni mtoaji, mwenye huruma na wahitaji ni mlezi wa wengi, kioo cha fmailia mwenye roho ya msamaha, ni mama wa wote walio wake na wasio wake, kwa aliyembariki na aliyemlaani, hana ubaguzi, mwenye moyo wa mama wa kweli, mwangalizi wa wote. Huyu ndiye mwanamke unaye muhitaji katika familia yako- usifanye makosa huyu ndiyo Mwanamke wa kibiblia.

13. Hana hofu na maisha ya watoto wake.

Mwanamke bora huwa anahakikisha kuwa anawaandalia watoto wake maisha mazuri, anawapeleka shule, msimamizi wa maendeleo yao, mtetezi wa haki zao, anahakikisha watoto wake wanakuwa na nguo, elimu nzuri, afya nzuri, kazi nzuri na anawaandalia maisha mazuri watoto wake hivyo anauhakika na maisha yajayo ya watoto wake. Huyu ndiye Mwanamke anayetakiwa katika maisha yetu.

14. Mwenye kujipenda

Mwanamke bora anajipenda sana, anajidhamini, ni mzuri sana, mwenye kujikubali mwenyewe, adui wa uchafu, hawezi huwezi kumkuta mchafu hata watoto wake wanaoga, anapiga mswaki, anapika mafuta yake mazuri, na anaweka na marashi mwilini ili anukie vizuri sana, anatamanika, mavazi yake mazuri sana, anamvuto aonekanapo wakati wowote nyumbani na nje ya nyumba yake, Ua la familia, huyu ndiye Mwanamke anayetafutwa anamvuto wa kuwanaye karibu, kutembea naye anayethanini usafi wa mwili wake kuanzia chumbani kwake hadi nje huyu ndiye Mw anamke ninayekushauri uwe naye, huyu ndiye Mwanamke wa kibiblia.

15. Mume wake hujulikana malangoni.

Mwanamke bora humtambulisha Mume wake malangoni, Mwanamke ni pazia ya nyumba,
1. Pazia husitiri mambo ya ndani,
2. Pazia hupendezesha nyumba,
3. Pazia mlinzi wa nyumba,
4. Pazia huthaminisha nyumba,
5. Pazia hutambulisha wakaao ndani ya nyumba,
6. Mwanamke ni pazia ya Mume,
7. Ndiye anayempendezesha Mume,
8. Mlinzi wa Mume
9. Ndiye anaye mthaminisha Mume,
10. Andiye anaye mtambulisha Mume,
11. Kioo cha Mume
12. Mwanamke ni pambola Mwanaume, kama nyumba ikikosa pazia ni rahisi maadui kutambua vilivyomo ndani na kuvamia, ikikosa pazia hukaribisha maadui, Mwanamke ni pazia la nyumba ndiyo anayemtambulisha Mwanaume hata kama huyo Mwanaume ni mjinga Mwanmke anauwezo mkubwa wa kumuheshimisha Mwanaume mbele za watu, Mwanamke ndio mlinzi wa Mwanaume. Mwanamke anayejua wajibu wake hawezi kuibiwa Mume hata siku moja
“Sifa ya Mwanaume ni Mwanamke aliye naye”.

16. Mbunifu

Mwanamke bora nimbunifu wa maisha, hayuko nyuma huweza kufanya kitu na hufanya, mbunifu wa biashara, mitindo ya mavazi, hubuni na kuwauzisha wafanyabiashara, ni mtundu wa maendeleo, mwenye wazo jipy huyu ndiye Mwanamke anayehitajika.

17. Mwenye nguvu na kuheshimika

Mwanamke bora ana nguvu za maendeleo mwenye mali inayopatikana katika mikono yake mwenyewe na mwenye kuheshimika jamii inameshimu kwa maendeleo yake, inamthamini, inamuogopa, ni kioo cha wa mama wengine katika jamii inayomzinguka, mke bora anaheshimika na watu, ukiona unadaraulika unatakiwa kubadilika maana Mke mwema ana nguvu katika jamii na anaheshimika huyu huyu ndiye Mwanamke anayetakiwa katika maisha ya leo.

18. Hucheka afikiriapo wakati ujao (Future)

Mwanamke bora hana hofu na wakati ujao maana amekweisha udhibiti wakati ujao, Mwamnamke bora hutawala kesho hata kama hajaingia, hutawala jioni wakati ni asubuhi hivyo hana hofu na mambo ya kesho, Mwanamke bora anaucheka umaskini, magonjwa na ujinga huandaa mambo yake kwa wakati aliopo na kwa wakati ujao, huyu ndio Mwanamke anayetakiwa asiyekuwa na wasiwasi na kesho.

19. Hufungua kinywa Kunena kwa hekima.

Mwanamke bora amejaa hekima kinyuani SOPHIA - hekima ni kiongozi mzuri sana katika maisha, ni mlinzi, hekima ni mtawala, hekima ni utajiri, hekima ni heshima,
1. Mwanamke mwenye hekima hashindwi kuuitawala nyumba yake.
2. Mwanamke mwenye hekima hatishwi na watu na maneno yao.
3. Mwanamke mwenye hekima ni malkia wa nyumba yake,
4. Mwanamke mwenye hekima ni mkombozi wa familia yake.
5. Mwanamke mwenye hekima ni muamuzi wa haki katika familia yake,
6. Mwanamke mwenye hekima ni mdhibiti wa maovu katika famila yake.
7. Mwanamke mwenye hekima ni mponyaji wa famila,
8. Mwanamke mwenye hekima huondoa hasira kwa Mume wake.
9. Mwanamke mwenye hekima ni wa kujivunia,
10. Mwanamke mwenye hekima ni mponyaji wa ndoa yake/ huyu ndiyeMwanamke anaye tafutwa katika maisha yetu rafiki wa wote huyu ndiye Mwanamke anayehitajika katika maisha.

20. Huwashauri wengi kwa wema.

Mwanamke bora ni mshauri mzuri kwa wengine, mwenye kushauri mema wala sio mabaya kwa watu waliomzunguka yaani ni mponyaji wa familia za watu wengi hata taifa, ushauri wake hauna madhara kwa watu, kimbilio la wengi, sio mwenye mwenye kuharibu ndoa za watu, mchonganishi, mshirikina, muongo hapana, Mwanamke anatakiwa kutoa ushauri mzuri kwa wengi huyu ndiye Mwanamke tunayemuhitaji wengi.

21. Huchunguza yote yanayofanyika nyumbani mwake.

Mwanamke bora anakuwa makini sana na kila kitu kinachoendelea au kutendeka katika nyumba yake anakuwa mwangalifu sana mna mambo ya nyumbani kwake kwa sababu yeye ndiye msimamizi mkuu wa nyumba yke, anatakiwa awe na muda wa kutosha na nyumba yake, hapendi ujinga nyumbani mwake, mahali pa kuonya anaonya, mahali pa kufundisha nafundisha, yeye ndiye mratibu mkuu wa yote yanayotendeka nyumbani, yeye ndiye kiongozi wa nyumba yake, mtendaji mkuu wa nyumba yake ndiye mjenzi wa familia bora hivyo Mwanamke kama huyu anyejua mjukumu yake ndiye anayetakiwa katika maisha yetu, sio kila Mwanamke umuonaye anafaa.

22. Kamwe hakai bure hata kidogo

Mke bora hakai bure lazima atakuwa na kitu cha kufanya, huwezi kumkuta kwenye vikao vya umbea, anazunguka zunguka kwenye nyumba za watu, maana ana mambo ya kufanya hakai bure hata kidogo ni mchapa kazi, anajituma, mbunifu wa mambo, anautaratibu wa maisha yake. Mwanamke ambaye yupo yupo tu huyo hatufai,ni chanzo cha matatizo, umbea, muongo, tafuta Mwanamke anayechapa kazi yuko (busy) na shughuri za kifamilia, kiofisi mwenye maendeleo huyo ndiye Mwanamke anayefaa katika maisha.

23. Watoto wake huamka na kumshukuru

.
Mke bora watoto wake wanafuraha naye, wanamshukuru sana mama yao, maana amewajengea maisha mazuri amewafundisha mambo mazuri, amewalea vizuri, watamuheshimu sana mama yao na kumpenda, watamlinda na kumtunza mama , mama wa kweli husifiwa na watoto wake, watoto wanajisikia amani wanapokuwa naye, mwenye maadili mema mbele ya watoto wake,. Mfano wa kuigwa kwa mambo mazuri anayowatendea watoto wake hivyo shukurani hazitaweza kundoka midomoni mwa watoto wake huyo ndiye Mwanamke anayetakiwa.

24.Mume huimba sifa zake

Mke bora Mume wake humsifia kwa sifa njema Mume hutangaza uzuri wa Mke wake, hutangaza mtendo mazuri ya Mke wake, hujivunia na anajisikia bahati kuwa na mke kama huyo, mwenye tabia njema, mtiifu, mpole katika maisha yake mwenye kujiheshimu, anyempenda mume wake na watoto zake, msema kweli, mlinzi mwaminifu, Mwanamke mwenye maendeleo huyu ndiye Mwanamke anayetakiwa katika maisha yetu aliyekubarika katika moyo wa Mume wake mpenzi.

24. Mwenye kumcha Mungu

Mke bora ni Yule mcha mungu anayempenda Mungu mtu wa Ibada mwenye hofu ya Mungu anayeichukia dhambi, mpenda maombi na Neno la Mungu huyu ndiye Mke sahihi katika maisha, mwenye mzigo wa maombi kwa ajili ya Mume wake na watoto wake na wote waliomzunguka huyo ndiye chemichemi ya mabadiliko ya familia, mleta ukombozi wa fmailia huyu ndiye Mwanamke anayefaa katika maisha yetu ya leo.

25. Mwenye kupenda elimu.

Mke bora ni Yule anyependa Elimu. Elimu imegawanyika katika sehemu mbili. Kuna Elimu inayopatikani mashuleni na Elimu inaopatikana katika mazingira unayoishi, wazazi na jamii iliyokuzunguka Mke bora anapenda kujifunza mazuri kwa wengine, mafanikio yao, sio mjuaji, yupo tayari kurekebishwa na kubadilika, anayekubari kushauriwa huyo ndiye Mwanamke anayefaa maana ni msikivu na mpenda mabadiliko yenye faida

26. Huandaa chakula kwa familia yake.

Mke bora ni mpishi mzuri wa chakula katika familia yake hategemei wafanyakazi yeye ni Mwalimu wa wengine mume humsifia Mkwa kwa mapishi yake mazuri nay a usafi wa hali ya juu sana . mpendwa najua unajua kuwa kuna baadhi ya wake za watu hawajui kupika, sio mbunifu wa mapishi mchafu katika maandalizi yake huwa ni wake wasio bora, wanavunja nyumba zao, tafuta Mke ambaye hana chakula cha kukariri bali bali ni mbunifu wa mapishi ni msafi anayejipenda mwalimu wa mapishi huyo ndiye Mwanamke anayetakiwa katika maisha yetu ya leo.

27. Mwenye sifa njema.

Mke mwema anasifa njema katika jamii iliyomzunguka hana tabia za uzinzi na uasherati, hana tabia ya ulevi na matusi, hana tabia ya umbea na uchonganishaji, hana tabia ya kiburi na jeuri Mke mwema ni rafiki wa watu wengi amejaa shukrani na hana mawazo mabaya Mke bora hutambulika na matendo yake katikajamii inayomzunguka.
28. Mwenye kudhamini na kutunza upendo.
Mke bora anajua maana ya upendo na gharama zake, anajua maumivu na vidonda vya mapenzi, anajua nguvu ya upendondani ya mtu, anatambua hisia kali ya upendo, Mwanamke wa namna hiyo hataweza kukusaliti, atakuheshimu na kukupenda kweli kutoka moyoni mwake hatagawa upendo wakko kwa wengine, atalinda penzi lake kwa ajili yako, anaheshimu mwili wake huyu ndiye Mwanamke anayetafutwa anayejua kwanini umempenda yeye na umewaacha wengine mwenye tabia njema. Huyu ndiye Mama wa familia bora sio bora familia.

29. Mwenye wivu wa maendeleo

Mke bora ana wivu wa maendeleo hana wivu wa kijinga unaoweza kusababisha amani katika ndoa kuondoka .Mwanamke ni mponyaji wa ndoa yake ni kweli Mwanamke anatakiwa awe na wivu kwa Mume wake lakini vilevile lazima awe na Imani na Mume wake, kuna wivu unaoweza kuharibu amani ya nyumba lakini kuna wivu unaoweza kujenga nyumba. Inategemea Mama ana wivu wa namna gani sio wote walio karibu na Mume wako, wako katika mahusiano na Mume wako, Mwanamke bora hufanya utafiti wa jambo na kuwa na uhakika naolo na huliwasilisha kwa hekima sana. Wivu ni mzuri ukitumiwa vizuri na pendo la kweli lina wivu lakini uwe wa maendeleo katika maisha yenu.
Mpendea wangu huo ndio utafiti wangu kuhusu mwanamke anayefaa katika maisha yako nimetumia kitabu cha (Mithali 31:10-31) (Goodnews bible)
Kumpata Mwanamke bora sio kitu rahisi lakini kupitia mafundisho ya vitabu kama hivi, vitafungua ufahamu wako mkubwa na kumtafuta Mke sahihi kimungu- kibiblia.

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu; Tabia za mwanamke anayefaa kuoa.💯✔ Share facebook, twitter n.k bila kusahau WhatsApp, share wengine nao wafaidike!👍

Jichukulie 📕Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga🌿🍅. Kina kurasa 100 na utaalamu wa mazao zaidi ya 10. Kwa Tsh 2500/= leo tuu! 👉<<Bofya hapa Kuchukua>>👈 Uendelee kuelimika.

👉<<WEKA ODA HAPA>>👈

🐼 Baada ya kuweka oda, sasa endelea kusoma kuhusu;-🙉

.

📕Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga🌿🍅

MBINU-YA-KILIMO-BORA-CHA-MBOGA.jpg

Kina kurasa 100 na utaalamu wa mazao zaidi ya 10

Jipatie 📕Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga🌿🍅

Tsh 2500/= tuu

jua%20zaidi%2C%20dont%20delete

.

📕Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+✔

vichekesho.jpg

Kina kurasa 270 zenye picha📷 na vichekesh😂 zaidi ya 300💨

Jipatie 📕Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+✔

Tsh 2500/= tuu

jua%20zaidi%2C%20dont%20delete

.

📰 Posti nyingine👇

📌 Sifa 15 za kijana ambaye hajakomaa kwa ajili ya ndoa

SIFA 15 ZA KIJANA AMBAYE HAJAKOMAA KWA AJILI YA NDOA
♨♨♨♨♨♨

👋soma zaidi kuhusu👉Sifa 15 za kijana ambaye hajakomaa kwa ajili ya ndoa

📌 Ndoa nyingine ngumu sana. Soma kisa hiki

Misingi mingine ya ndoa zetu ni migumu sana.
Pata simulizi hii toka Marekani.

👋soma zaidi kuhusu👉Ndoa nyingine ngumu sana. Soma kisa hiki

📌 Upendo wa kweli hauna sababu!

Hivi Mpenzi Hebu Niambie umenipendea nini mimi"""…Hamna Swali linalonishangazaga kama hili,halafu wadada wanalipenda balaa..Na sijui huwa wanataka tuwajibuje kwa mfano…Je niseme macho…Inye gwedegwede…Miguu yako yenye tege kama Boban..Nywele zako ndefu ama??Mbona mnatuforce tuwe waongo jamani?We Unapendwa inatosha shukuru Mungu unapendwa yaishe..Sasa hayo unayotaka kuchimbua yatakushinda…Upend­o wa kweli haunaga sababu…Ukimpenda mtu kwa sababu ya kitu fulani kinachoonekana basi umeshafeli,bado uko kwenye Stage ya Tamaa…Mtu akishavuka akakupenda maana yake amevuka Tamaa maana Hardware muda wowote huwa zinazingua..Nywele zinanyonyoka..Miguu inababuka..Nyonyo zinakuwa sa 12 kama ndala za Umoja akizaa..Lazima kuwe na Inner reason ya yeye kukupenda hata kama Seating Allowance ikija ikapotea huko mbele…Sasa mdada unaambiwa Yaani mi napenda
unavyotembea yaani kama Zari kamuona Diamond stejini. Sara kamwona Jenerali Kiduta au hudahboss chick kaniona mim..😛 Na Dimples zako tu tutazaa watoto wa ukweli sana…Macho yako kama Paka mwenye Usingizi ndo yananimaliza,halafu Ukismile ndo naishiwa nguvu kama kuku mwenye Mdondo…Ukiambiwa unachekelea mwenyewe hadi gego lako lenye jino bovu linaonekana..Unablus­h hadi vipele vya ukurutu vinakutoka wakati umejibiwa upuuzi Grade 1…
True Love has no reason,

👋soma zaidi kuhusu👉Upendo wa kweli hauna sababu!

📌 MARA YA KWANZA KUNUNUA SALAMA CONDOM

Nilienda dukani,nikakutana na
mrembo anayeuza hapo
dukani,nikawa
naona aibu kusema nataka
kununua
condom,akagundua mwenyewe
na
kuniambia unataka salama eeeh?
nikasema ndiyo,akaniambia
unataka
pakti ngapi?nikamwambia mbili
yenye
condom tatu kila moja (jumla
condom
6),aliniona sijawahi ku-
do,akaniambia
unafahamu kweli jinsi ya
kutumia
salama?,nikamwambia
hapana,akafungua pakti na
kuifungua
salama moja,akaanza
kunionyesha
jinsi ya kuvalisha,akaanza
kuivaalisha
kwenye kidole chake cha gumba
na
kunieleza kwamba unavalisha
hivi,bado akaniona nashangaa
tu,akaniambia hivi ushawahi
kweli
kusex?nikamwambia
hapana,sijajaribu
hata mara moja,akaniambia njoo
ingia
humu nyuma ya shelfu
nikuonyeshee
jinsi ya kutumia salama,akafunga
mlango,akaniambia nivae kama
alivyonielekeza,nikaanza
kuvaa,duh si
akalala chali,akaniambia fanya
hivi na
hivi,baada ya up and down kama
kumi
nikasikia kitu hicho tse tse tse
tse tse
tse,tse.Si akaruka juu na
kunisukuma
na kusema ""weeh! mbona nahisi
unyevu flani umevaa kweli
salama?
nikamwambia nimevaa kwenye
kidole
gumba kama ulivyonielekeza.

👋soma zaidi kuhusu👉MARA YA KWANZA KUNUNUA SALAMA CONDOM

📌 Dalili za mahusiano feki, mahusiano ya kichina

Ukitaka kujua Simu ya Kichina utajua tu jinsi ilivyo na makelele mengiiiii sana wakati wa kuita….Sasa ukitaka kujua relationship feki ya kichina utaona tu makelele yalivyo mengi kama ile simu…Watu hawatulii kwenye wall,mara I miss my baby,mara baby come back,mara baby this,ooh my man/Girl is special,mara picha …mi and my baby,full kujishaua..ukiona wall zenye hayo makelele asilimia 90 ni penzi la kichina na lazima lina double line.Relationship serious na Original hazina makeke wala mikelele mingi kama hiyo yako na milio mikubwa ya ajabu na vibration ambazo zinaweza kufyeka hata majani.TULIA,hatuhitaji kujua who is ur baby au umemmiss,ukimmiss mpigie simu hukooo! Ebooo!!!

👋soma zaidi kuhusu👉Dalili za mahusiano feki, mahusiano ya kichina

📌 Wanaume tushirikiane ktk Sala dhidi ya wanawake

WANAUME TUSHIRIKI KATIKA SALA HII DHIDI YA WANAWAKE!
1. Atakua na simu yake mpo nyumbani dakika hiyo anakwambia umbip hajui kaiweka wapi.
Tuhurumie Baba
2. Ana Nguo zimejaa makabati mawili lakini hajui avae nini ukimwambia mtoke.!
Baba, ni magumu kwetu mambo haya.
3. Anakasirika ukikosa kumtumia text ya good night lakini yeye akikosa wewe inabidi uwe muelewa.!
Tuwaeleweje, Baba?
4. Ana viatu zaidi ya pea 50 lakini hana viatu vya kuvaa vya kwenda ibadani.
Mungu uwasamehe
5. Akianza kuvaa saa moja atamaliza saa tano muda wote inabidi umsubiri tu.
Si kupenda kwao Baba ila nasi yanatushinda Bwana
6. Akienda saloon anakaa kuanzia asubuhi mpaka jioni na huna budi kumsubiri na usilalamike.
Mungu wetu, tupe moyo wa kuyahimili haya
7. Ana mafuta tofauti ya kujipaka mikono, shingo, kisogo, miguu, mpaka kisigino!
Ee Mungu ni Wewe uyajuaye mateso tuyapitiayo Baba
8. Mnaachana asubuhi akiwa na furaha,na ukirudi jioni amenuna hataki hata kukusalamia na ukiuliza tu balaa.
Tupe uvumilivu ee Bwana!
9. Anajaribu ku match nguo na hereni na akiona hazifanani abadili nguo sababu tu ya hereni.
Teremka uwashike mikono yao baba..
10. Mkitembea barabarani inabidi ukae upande wa barabara eti wewe ni Mwanaume ukigongwa na Gari haina noma.
Eeh baba tuepushe na Hiki kikombe ulisema hawa ni wasaidizi wetu lakini tumekuja kuwa wafanyakazi wao.
Amina..

👋soma zaidi kuhusu👉Wanaume tushirikiane ktk Sala dhidi ya wanawake

📌 Ungekua wewe ndo huyo mama ungefanyaje??

Mke wa Frank anajivunia mume mtulivu, hashindi baa na hatongozi videmu. Akitoka kazini huenda kucheza basketball na hurudi nyakati za dinner. Siku moja mkewe akamhurumia. Anachoka na kazi. Mtu gani asiyependa starehe japo kidogo? Mke akamlazimisha outing, Frank akabisha lakini taxi ikafika. Gonga Club & Lodge.

👋soma zaidi kuhusu👉Ungekua wewe ndo huyo mama ungefanyaje??

📌 Kama wewe ni mwalimu soma hii

Kuna mwalimu wa shule ya sekondari alikuwa amezoea kumchapa viboko mwanafunzi mmoja mchelewaji. Mwanafunzi huyu alikuwa akichelewa kipindi cha kwanza kila siku. Hivyo, siku ambazo mwalimu huyu alikuwa na kipindi cha kwanza, mwanafunzi huyu alikuwa anachapwa kwanza kabla ya kuingia darasani. Hali hii iliendelea kwa muda mrefu. Wiki moja ilipita bila yule mwanafunzi kuonekana shuleni.

👋soma zaidi kuhusu👉Kama wewe ni mwalimu soma hii
big-hug-smiley-face.gif

📓 Posti za sasa👇

A Mtunzi katumia falsafa Nzuri sana!!

MTUNZI KATUMIA FALSAFA NZURI SANA.
Mtoto mdogo alimfuata baba yake na
kumuliza, "
Nini maana ya SIASA?"
Baba akajibu, " Mwanangu ngoja nijaribu
kujibu kwa mfano huu,
Mimi natafuta fedha
ya matumizi, hivyo niite mimi BEPARI,
Mama yako yeye anasimamia matumizi ya
fedha, hivyo mwite SERIKALI,
Mimi na mama yako tuko kwa ajili ya kuwapa
nyie
mahitaji yenu hivyo nyinyi
twawaita WANANCHI.
Dada wa kazi yeye anatusaidia kazi za hapa
ndani hivyo tunamwita MFANYAKAZI. Na mdogo
wako ambaye ni mdogo tumwite FURSA ZA
BAADAYE" Haya sasa mwanangu hebu fikiri na
uone kama ina kupa jibu la kuridhisha….!
Kijana akaondoka na kwenda kulala huku
akifikiri na kuyatafakari maneno aliyoyasema
baba.
Baadae usiku ule, akasikia mtoto ambaye ni
mdogo wake akiwa analia hivyo akaamua
kuamka na kwenda kumcheki. Akaona mtoto
kajinyea na kajipaka uchafu huo huku akilia
kuashiria anahitaji msaada. Akaamua aende
chumbani kwa baba na
mama, akamshuhudia mama akiwa peke
yake kalala usingizi mzito na hana habari yoyote.
Hakutaka kumwamsha akaona angemsumbua
mama, akarudi na kwenda chumba cha dada wa
kazi na kuona mlango umefungwa.
Akachungulia kupitia tundu la ufunguo na
kuona dada wa kazi akiwa na baba. Akakata
tamaa na kurudi kulala bila ya kuwa
na msaada wowote kwa mdogo wake.
Siku ya pili mtoto akamwambia baba,
"sasa nafikiri naelewa maana halisi ya SIASA."
Baba akasema,
" safi sana mtoto mzuri,
haya sasa niambie kwa maneno yako maana
halisi
ya siasa kwa jinsi
ulivyoitafakari"
Mtoto akajibu, "Ni hivi, wakati BEPARI
anamyanyasa na kumtumia vibaya
MFANYAKAZI, SERIKALI imelala usingizi mzito,
Na
WANANCHI hawasikilizwi shida zao huku FURSA
ZA BAADAYE zikiwa zimesusiwa kwenye uchafu
bila
msaada.
Baba kidogo azimie.
TAFAKARI, CHUKUA 🏃👣

👋soma zaidi kuhusu👉Mtunzi katumia falsafa Nzuri sana!!

A Siku ya Kupata mimba

Leo napenda nizungumzie jambo moja tu ambalo ni juu ya jambo moja tu, nalo ni namna wanavyoweza kui-pin point siku ile ya kilele
(i.e fruitful/productive/fertile
day), hapa nina maana ya siku ile ambayo wao wanaiita siku ya 14.

👋soma zaidi kuhusu👉Siku ya Kupata mimba

A Kuangalia picha za ngono

JE! KUANGALIA PICHA ZA NGONO NI DHAMBI?
Neno la Msingi:
Zaburi 101:3
“Sitaweka mbele ya macho yangu Neno la uovu. Kazi yao waliopotoka naichukia, Haitaambatana nami.”
Watu wengi wameanguka katika mtego huu wa Ibilisi na kujikuta wakifanya mambo ya "AIBU" wanapokuwa sehemu zao za Siri iwe ni chumbani au bafuni. Wanaume wamejikuta wakipiga punyeto (Mastubation) na Wanawake wakijisaga ( wanatumia mikono yao na viungo vyao vingine kama njia ya kujikidhi hali zao za tamaa mbaya waliloziamsha wao wenyewe). Haipaswi kamwe kuwa hivyo. Biblia inasema tusiyachochee wala kuyaamsha "mapenzi" mpaka yatakavyoona yenyewe (Wimbo ulio bora 2:7, 3:5). Naomba tufuatane pamoja kwenye somo hili muhimu sana ambalo litakuweka huru mbali na "utumwa wa fikra za kingono"
1. MAANA YA PICHA ZA NGONO
Neno PICHA ni kivuli cha mtu, watu, kitu n.k. PICHA si kitu halisi bali ni kivuli chake. Unaweza ukapewa PICHA ya mtu lakini usifahamu urefu wake au ni mfupi kiasi gani lakini sura yake ukawa umeiweka katika kumbukumbu yako. NGONO ni kitendo cha mtu, watu kufanya kitendo cha kujamiana (Tendo la Ndoa) na pia ni ile hali ya kuwa uchi wa mnyama. Kuangalia picha za ngono ni kitendo cha kuangalia watu wakifanya Matendo ya kujamiana iwe kwa njia ya asili, kinyume na maumbile au kufanya na wanayama. Kitendo hicho huleta kuchochea tamaa ya miili kiasi ambacho watu wengine hufanya mambo ya "AIBU" katika nyumba zao (Warumi 1:24-28). PICHA za NGONO zimeenea kila mahali kwa sasa, kwenye simu yako unaweza ukakutana na "uchafu" wa namna hiyo. Wahindi wao picha za ngono huziita "kachumbali" na unaweza ukamkuta Mhindi amekaa na familia yake anaangalia "kachumbali" wanadai inanogesha utamu wanapofika kitandani. Huko ni kujidanganya Mungu hakumletea Adamu PICHA ya NGONO bali alimletea mke ambaye watashirikiana naye kwenye Tendo Takatifu (Mwanzo 2:18, 21-25). Wakati mmoja Mfalme Daudi wakati watu wake wa vita wamekwenda vitani yeye akawa yuko ghorofani anaangalia "PICHA LIVE" ya NGONO mwanamke alikuwa akioga matokeo yake yakawa ni kufanya kitendo chenyewe na kuamua kumuua mume wa Bathsheba (2Samweli 11:2-27).
“Ikawa wakati wa jioni, Daudi akaondoka kitandani, akatembea juu ya dari ya jumba la mfalme; na alipokuwa juu ya dari aliona mwanamke anaoga; naye huyo mwanamke alikuwa mzuri sana, wa kupendeza macho. Naye Daudi akapeleka, akauliza habari za yule mwanamke. Mtu mmoja akasema, Je! Huyu siye Bath-sheba, binti Eliamu, mkewe Uria, Mhiti?”………..
Kile kitendo cha Daudi "kuona" lilikuwa kosa kubwa la kiufundi katika akili yake likamchanganya. Ndivyo ilivyo kwa PICHA ZA NGONO lazima ukiangalia upate "UKICHAA" wa muda ukajikuta umeng'ang'ania sabuni au ndizi ukiwa unapiga punyeto. Ni aibu sana sana mtu mwenye heshima zako kama wewe labda wewe ni meneja, mkurugenzi, mtu mwenye Elimu yako ya maana unakutwa unaangaika sabuni, godoro au toy la jinsia ya kiume.
2. JE! KUANGALIA PICHA ZA NGONO NI DHAMBI?
Kuangalia picha za ngono "NI DHAMBI" kwa herufi kubwa. Katika Sheria ya Musa ilikuwa mtu anahesabika kuwa ametenda dhambi pale ambapo atakutwa akifanya kitendo hicho au kukiwa na mashahidi wawili au watatu atatakiwa kuhukumiwa sawasawa na Sheria husika. Kwenye dhambi ya uzinzi mtu alitakiwa apigwe mawe hadi afe sivyo kwa Sheria ya Kristo yenyewe inazungumzia juu ya kitendo cha "kutamani" tu unahesabika kuwa umefanyika DHAMBI (Mathayo 6:27-29, Waebrania 10:28). Tamaa mbaya ni dhambi kama dhambi nyinginezo. Kwa kawaida tamaa huja na ile tamaa huchukua mimba na baadaye huzaa dhambi (Yakobo 1:13-16). Kitendo cha kuangalia picha za ngono hupofusha "FIKRA" nzuri za mtu alizonazo. Mawazo machafu uanza kutawala katika ubongo wako hadi "USHUSHE" huo mzigo ulioko kwenye viungo vyako vya uzazi. Ahaaa ni hatari aiseeee. Wewe unayengalia picha za ngono Kama ndiyo starehe yako unaiharibi nafsi yako "unakuwa zezeta wa akili" Biblia inasema "taa ya Mwili jicho na jicho lako likiwa safi mwili wako wote utakuwa na nuru. Lakini jicho lako likiwa bovu mwili wako wote utakuwa na giza.."(Mathayo 6:22-23). Kwa wale wanandoa ni "MWIKO" kutumia picha za ngono ili kunogesha kufanya Tendo la Ndoa. Wewe mume unaye hapo "chombo" unakiona "live" na kimethibitishwa na Mungu mwenyewe sasa hiyo mipicha ya nini? Kila kiungo Mungu alikiweka kwa ajili ya kusudi maalum kama ni mdomo kwa ajili ya kuongea na kupitisha chakula na si kunyonya sehemu za Siri za mwenzi wako. Mungu ameweka sehemu ya "haja kubwa" kwa ajili ya kutolea uchafu uliotengenezwa na tumbo na si kiungo kingine kiende kukoroga "zege" hilo huo ni uchafu(Ufunuo 22:10-15).
Warumi 1:26:27
“Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili; wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.”

👋soma zaidi kuhusu👉Kuangalia picha za ngono

A Dondoo ya leo!

DONGO LA LEO ……..
Kwa lugha nyepesi ni kwamba ukiajiriwa maana
yake umeshindwa kujitegemea kwa ujuzi wako
(yaani hujui ufanyie nini) hivyo umeona uukabidhi
ujuzi wako kwa wenye "akili na uwezo" wa
kuupangia matumizi ya huo ujuzi wako.
Ndio maana licha ya kwamba elimu ni yako
wewe, maarifa ni yako wewe, vyeti ni vyako
wewe; na kazi unafanya wewe; lakini hao
waliokuajiri ndio wanakuamulia kiasi gani
wakulipe! Si hivyo tu bali pia wanao uhuru wa
kukupiga mkwara, kukutishia na hata kukufukuza
muda wowote (utakapowakosea, watakapojisikia
ama watakapokuchoka)! Nini nakwambia? Kama
umeajiriwa, usiridhike wala usibweteke na
mshahara pekee kwa 100%, hebu jiongeze aiseee,
una uwezo wa kuzalisha zaidi sambamba na
mshahara (waliojisikia) kukulipa.
Usiufunge uchumi wako kwenye gereza la ajira,
fikiria zaidi ya ajira maana hao waliokuajiri
nakuthibitishia HAKUNA mwenye mpango mzuri
na "future" yako, zaidi sana wanaihujumu "future"
yako!
Nimemaliza!
USHAURI WANGU ANZA KUAJIRIWA KAMA
MUWEKEZAJI TU ILI UJIAJIRI NA KUAJIRI
WENGINE.
We nuna weee, kasirika weee, vimba weee
mpaka upasuke, lakini kidonge hicho kimeze japo
kichungu, ndiyo dawa tena utafanyaje, ila mwisho
wa siku uwe na USIKU MWEMA ili ukawaze na
kuwazua vizuri.

👋soma zaidi kuhusu👉Dondoo ya leo!

A Haya majaribu mengine kwenye mapenzi ni magumu, ungekua wewe ingekuaje?

BAADA YA KUCHUNIANA KWA
MUDA MREFU
MPENZI WA KIKE ANAAMUA
KUMPIGIA MSELA
WAKE SIMU.
Simu inaita kwa mara kwanza hadi
inakatika
bila kupokelewa. Manzi hakati
tamaa, anapiga
tena na baada ya ngrii ngrii kama
sita, jamaa
ndo anapokea simu.
Hata baada ya kupokea, jamaa
haongei neno
hata la HALOO. Manzi inabidi
alianzishe.
MANZI: Hey Frank, mambo.
LI-FRANK: Poa.
MANZI: Mbona hupokei simu
jamani.
LI-FRANK: Hii imejipokea, au?
MANZI: Hee yaishe basi. Mbona
kimya sana
siku hizi.
LI-FRANK: Unataka nimpigie nani
makelele.
MANZI: Mbona unanijibu hîvyo
Frankie.
LI-FRANK: Kukujibuje.
MANZI: Hivyo kifupi na majibu ya
chooni.
LI-FRANK: Unataka nikujibuje sasa
kama jibu la
swali lako ni hilo.
MANZI: Kwa hiyo hilo ndo jibu la
swali langu.
LI-FRANK: Ndo màana yake. Kama
unataka
majibu marefu na yenye maelezo,
nenda
kapime UKIMWI kisha ombea uwe
nao. Hapo
utapata majibu uyatakayo na
maelezo mengi
tu.
Manzi anakaa kimya kama dakika
1 hivi.
Anashusha pumzi ndefu ya
kuchoka au kukata
tamaa tuseme.
MANZI: Hivi Frank nimekukosea
nini?
LI-FRANK: Kunipigia simu.
MANZI: (huku kama anataka kulia)
Jamaniii.
LI-FRANK: Nyo nyo nyooo. Msyuuu.
Manzi anasikika anavuta vikamasi
ila hakati
simu.
LI-FRANK: Unakunywa supu.
MANZI: (Huku akiwa na sauti ya
kilio). Hivi
Frank kweli umebadilika hivi?
LI-FRANK: Kwa hiyo unanitukana.
Nimekuwa
Zombie mimi, au mzimu.
Unanitukana Marry, si
ndio eeh.
MANZI: Hapana si hivyo.
LI-FRANK: Ila.
MANZI: Basi nisamehe.
LI-FRANK: Umepiga simu ili iweje.
MANZI: Leo ni siku yako ya
kuzaliwa Frank.
LI-FRANK: Kwa hiyo.
MANZI: Happy Birthday.
LI-FRANK: Kingine.
MANZI: Nakupenda Frank.
LI-FRANK: Umemaliza?
MANZI: (Akiwa kakata tamaa juu
ya Frank).
Nimekumiss pia, naomba urudi
uwe nami.
LI-FRANK: Umemaliza?
MANZI: Ndio.
LI-FRANK: Haya kata simu.
MANZI: Frank please. Usinifanyie
hivyo jamani.
LI-FRANK: Sibadili neno, kata
simu.
MANZI: Ok. Aaah! Poa, asante
Frank.
Simu inakatwa.
Baada ya dakika kumi, simu ya
Manzi inaita.
Kucheki, ni Frank. Hata sekunde haiishi
inapokelewa.
FRANK: Umekasirika?
MANZI: Hapana, ila nimeumia.
FRANK: Chungulia dirishani.
Manzi ananyanyuka na kufungua
mapazia ya
dirisha laké. Uso kwa uso na
tabasamu la Frank
pale dirishani.
FRANK: Naamini utadumu na mimi
maishani
mwangumwote. Kama umeweza
kuvumilîa haya
madogo, na kuficha hisia zako
kuwa
hujakasirika, naamin utavumilia
na makubwa
na kuficha ya ndani. I miss you
too, Marry. Ni
wewe pekee uliyenitakia siku
yangu ya
kuzaliwa. Ukiwatoa dada na mama
yangu,
wewendiye mwanamke pekee
nitakae kuelewa.
Unajua Marry alikuwaje?
Nisikumalizie uhondo.
Jaribu na wewe kufata njia ya LI-
FRANK uone
kama Manzi wako atakuwaje.
TEHE.
Angalizo
USIJARIBU HIYO,
KIBONGOBONGO HATA KAMA
UNATANIA UTAPIGWA CHINI MAZIMA.

👋soma zaidi kuhusu👉Haya majaribu mengine kwenye mapenzi ni magumu, ungekua wewe ingekuaje?

A Mambo ya kufanya kuzuia watu wasiingilie mapenzi yenu

Sio mbaya kwa marafiki wa karibu au ndugu na jamaa kufahamu kushirikiana nanyi katika mapenzi yenu kama vile wakati wa sherehe au msiba. Pia sio mbaya kujuliana hali na kutambulisha mambo ya msingi yanayoendelea katika mahusiano yako wewe na mpenzi wako. Hata hivyo kuna wakati watu wengine wa pembeni, wawe majirani, ndugu, wazazi au marafiki wanaweza kuwa ‘sumu’ ya mahusiano yako, hasa pale unapowategemea sana kutoa msaada, maoni au maelekezo katika maisha yako ya mapenzi. Makala hii inaeleza mambo ya msingi unayoweza kufanya ili kupunguza uwezekano wa rafiki, ndugu, jamaa, au wazazi kuwa ‘sumu’ ya mapenzi yako.

👋soma zaidi kuhusu👉Mambo ya kufanya kuzuia watu wasiingilie mapenzi yenu

A MARA YA KWANZA KUNUNUA SALAMA CONDOM

Nilienda dukani,nikakutana na
mrembo anayeuza hapo
dukani,nikawa
naona aibu kusema nataka
kununua
condom,akagundua mwenyewe
na
kuniambia unataka salama eeeh?
nikasema ndiyo,akaniambia
unataka
pakti ngapi?nikamwambia mbili
yenye
condom tatu kila moja (jumla
condom
6),aliniona sijawahi ku-
do,akaniambia
unafahamu kweli jinsi ya
kutumia
salama?,nikamwambia
hapana,akafungua pakti na
kuifungua
salama moja,akaanza
kunionyesha
jinsi ya kuvalisha,akaanza
kuivaalisha
kwenye kidole chake cha gumba
na
kunieleza kwamba unavalisha
hivi,bado akaniona nashangaa
tu,akaniambia hivi ushawahi
kweli
kusex?nikamwambia
hapana,sijajaribu
hata mara moja,akaniambia njoo
ingia
humu nyuma ya shelfu
nikuonyeshee
jinsi ya kutumia salama,akafunga
mlango,akaniambia nivae kama
alivyonielekeza,nikaanza
kuvaa,duh si
akalala chali,akaniambia fanya
hivi na
hivi,baada ya up and down kama
kumi
nikasikia kitu hicho tse tse tse
tse tse
tse,tse.Si akaruka juu na
kunisukuma
na kusema ""weeh! mbona nahisi
unyevu flani umevaa kweli
salama?
nikamwambia nimevaa kwenye
kidole
gumba kama ulivyonielekeza.

👋soma zaidi kuhusu👉MARA YA KWANZA KUNUNUA SALAMA CONDOM

A Ndoa nyingine ngumu sana. Soma kisa hiki

Misingi mingine ya ndoa zetu ni migumu sana.
Pata simulizi hii toka Marekani.

👋soma zaidi kuhusu👉Ndoa nyingine ngumu sana. Soma kisa hiki

A Mawaidha kwa Bwana Harusi mtarajiwa

1. Mwanangu, mwanamke anaweza kuwa mkeo, mwingine anaweza kuwa mama wa watoto wako, lakini ukipata mwanamke ambae atakuwa kama mama kwako, mama kwa wanao na mama kwa familia, tafadhali mwanangu usimuache huyo!
2. Mwanangu, usimfanye mwanamke wako kuwa ndio wa kupika na kufanya kazi zote za jikoni peke yake, tabia hiyo sio nzuri Kwani hata nyakati zetu, mashamba yetu yalijulikana kwa majina yetu wanaume lakini tulifanya kazi pamoja!
3. Mwanangu, nikikwambia wewe ni kichwa cha familia, simaanishi kutuna kwa pochi lako, usiangalie kabisa pochi yako, angalia kama utaona tabasamu usoni kwa mke wako. Pesa sio kila kitu katika ndoa na haileti ukuu wa familia!
4. Mwanangu, ukitaka kuwa na maisha marefu na ukapunguza misongo ya mawazo, ongea na mkeo pangeni bajeti ya mahitaji yenu, kisha mwache mkeo awe na jukumu la kuratibu mahitaji ya kila siku ya familia kwa kumkabidhi fungu husika hata kama limetokana na michango yenu wawili. wanawake wanajua sana kupanga bajeti na hii haitakuwa rahisi kwa yeye kutumia hela hovyo wakati akijua kuwa nyumbani kuna mahitaji ya msingi, lakini hela zikiwa mikono mwako ataendelea kuomba hata kama utakuwa umeishiwa!
5. Mwanangu, Usithubutu kumpiga mkeo, maumivu ya kipigo hukaa ndani ya moyo wake kwa muda mrefu sana na huacha kidonda ambacho hukawia sana kupona. Ni hatari sana kuishi na mwanamke mwenye majeraha moyoni!
6. Mwanangu, sasa unaamua kuoa,kama bado utaendelea kuishi maisha kama ya ubachela na mke wako, sio muda mrefu utakuwa bachela tena. ukioa Badilika anza kuishi maisha ya mke na mume!
7. Mwanangu, zamani,tulikuwa na wake wengi na watoto wengi kwa sababu tulikuwa na mashamba makubwa na mavuno yalikuwa makubwa, lakini kwa sasa maisha yamebadilika, kwa hiyo mkumbatie mwanamke wako peke yake kwani hakuna ardhi tena na mahitaji ya watoto ni makubwa sana. Angalia ukubwa wa familia yako!
8. Mwanangu, chini ya mwembe ambao nilikuwa nikikutana na mama yako inaweza kuwa ni hoteli kubwa kwa nyakati zenu,lakini kumbuka, kitu pekee tulichoweza kufanya chini ya mwembe ilikuwa ni kukumbatiana pekee.nakushauri ukikutana na marafiki wa kike kikubwa unachoweza kufanya nao ni kupeana mikono na ikizidi ni kukumbatiana hadharani sio vinginevyo!
9. Mwanangu, usibadilike mara utakapoanza kupata mafanikio Zaidi, kuliko kuwahudumia hao viruka njia wa mtaani ambao hawajui mmetoka wapi na mkeo, nakushauri utumie na kufurahia mafanikio yako na mkeo ambae aliweza kusimama imara wakati wote wa mapito yenu magumu.
10. Mwanangu, kumbuka unapoanza kusema au kuona mke wako kabadilika, ujue kuwa kuna kitu ambacho ulikuwa ukikifanya umeacha kukifanya. Jitathmini na anza kufanya au kutimiza wajibu wako.
11. Mwanangu, usijaribu kumfananisha au kumlinganisha mke wako na mwanamke mwingine wa nje, kwani hata yeye anakuvumilia sana na hajakufafanisha na mwanaume mwingine yoyote huko nje na ndio maana aliamua kuwa na wewe.
12. Mwanangu, sasa hivi kuna hiki kitu kinaitwa haki za wanawake, sawa,kama mwanamke anasema ana haki sawa na wewe katika nyumba, basi gawanya mahitaji yote ya ndani kwenu katika sehemu mbili zilizo sawa,halafu timiza nusu yako na mwambie atimize nusu iliyobaki.
13. Mwanangu, nilimuoa mama yako akiwa bado kigoli (bikra) na nilikuwa naenda sana kwao kabla sijamuoa, lakini kutomkuta mkeo bikra kusikufanye umlaumu kuwa alikuwa muhuni, kumbuka wanawake wa enzi zetu na wasasa ni tofauti, ulimchagua mwenyewe na ukigoli wake hukuujua kabisa. Usiingize mambo ya kabla ya ndoa kwenye ndoa yenu.
14. Mwanangu, sikuwapeleka dada zako shule kwa kuwa nilikuwa mjinga kama wazee wengi wa hapa kijiji wasemavyo, tafadhari usifanye ujinga huu, kwani kiwango cha mafanikio ya wanawake sasa kimefanya wanaume waonekane ni watu wa kawaida sana na sio muhimu kama enzi zetu. Ukijaliwa watoto wape elimu.
15. Mwanangu, zamani enzi za ujana wetu, wanawake walikuwa na urembo wa asili, ingawa siwezi kukudanganya, wengine waliongeza urembo kwa kujichora hina na hata kutoboa pua na masikio lakini usisahau hawakuonyesha maumbile yao nyeti hadharani kama sasa. Hakikisha mkeo analijua hili!
16. Mwanangu, mama yako na mimi hatuna hisa katika kila kitu kinachoendelea kwenye maisha yenu, jaribuni kutatua changamoto zenu wenyewe bila kila mara kuja kwetu kuomba usuluhishi. Ndoa ni pamoja na ukomavu wa kutatua changamoto zenu bila kuziuza kama gazeti kwa kila mtu.
17. Mwanangu,nilimnunulia mama yako kifaa cha kupikia vitumbua ili aanzishe mradi wa kuuza vitumbua, pia nilimsaidia kununua cherehani yake ya kwanza, tafadhari msaidie mke wako kutimiza ndoto zake kulingana na uwezo wako kama ambavyo unahangaika kutimiza ndoto zako.
18. Mwanangu, usiache kutusaidia mimi na mama yako, utu uzima una changamoto nyingi sana na Mungu akikujalia utaziona muda ukifika. Pamoja na kutimiza majukumu yako kama baba wa familia kumbuka pia bado tunaishi na wewe ni mtoto wetu.
19. Mwanangu, kila upatapo muda wa kusali, Sali na familia yako, kuna kesho ambayo huijui, ongea na MUNGU wako ambae anajua kila kitu kila siku!
20.NAKUTAKIA MAISHA MEMA YA NDOA MWANANGU….NAKUPENDA! Unaweza kushare maneno haya kuntu kwa vijana wote ambao hawajaoa na walio kwenye ndoa

👋soma zaidi kuhusu👉Mawaidha kwa Bwana Harusi mtarajiwa

A Sababu ya Wasichana wengi kutoolewa ni hizi

KWANINI MABINTI WENGI HAWAOLEWI..!
zifuatazo ni baadhi ya sababu kwanini mabinti wengi wanashindwa KUOLEWA..

👋soma zaidi kuhusu👉Sababu ya Wasichana wengi kutoolewa ni hizi
happy-times-smiley-emoticon.gif

Majarida na vitabu kutoka Ackyshine eBook Shop

📕Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga🌿🍅

MBINU-YA-KILIMO-BORA-CHA-MBOGA.jpg

Kina kurasa 100 na utaalamu wa mazao zaidi ya 10

Jipatie 📕Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga🌿🍅

Tsh 2500/= tuu!

jua%20zaidi%2C%20dont%20delete

.

📕Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+✔

vichekesho.jpg

Kina kurasa 270 zenye picha📷 na vichekesh😂 zaidi ya 300💨

Jipatie 📕Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+✔

Tsh 2500/= tuu!

jua%20zaidi%2C%20dont%20delete

.