Punyeto ( kwa wanaume ) ni kitendo
cha mwanaume, kujifikisha mwenyewe
kileleni kwa kujichua uume hadi
kumwaga mbegu za kiume. Uchunguzi
unaonyesha katika watu wa jinsia ya
kiume kumi wenye umri wa kuanzia
miaka 16 hadi 45, angalau wanne kati
yao wamewahi kupiga punyeto katika
kipindi fulani cha maisha yao, na wawili
kati yao wanajihusisha na upigaji
punyeto. Uzoefu unaonyesha, asilimia kubwa
ya wanaume wanao piga punyeto
huanza katika umri wa kubalehe
( miaka 14-16 ), wengine huachana na
tabia hiyo mara baada ya kupata
wapenzi wa kike ama kuoa na
wengine huendelea na tabia hiyo hata
baada ya kuoa .
Zipo sababu mbalimbali zinazo
wapelekea wanaume kupiga punyeto, ila
kubwa kati ya hizo ni pamoja na
kutokuwa na wapenzi, kutokuwa na
wapenzi wanao kidhi vigezo vyao, kuwa
katika mazingira yasiyokuwa na
wanawake ( mfano katika shule za
sekondari za bweni za wavulana tu ),
kujiepusha na hatari ya kupata
maambukizi ya v.v.u nakadhalika

ATHARI ZA PUNYETO KWA WAVULANA.

Punyeto ina athari nyingi na kubwa
sana kwa wanaume wanao jihusisha
nayo, lakini kwa leo, tutaangalia athari
moja kubwa kati ya nyingi. Athari hii
si nyingine bali na KUUA NGUVU ZA
KIUME. Mwanaume anayepiga punyeto
hutumia nguvu nyingi kuibana mishipa
inayo fanya uume usimame. Mwisho wa
siku uume hulegea na kusinyaa, na
kukosa nguvu kabisa na hatimaye
mhusika kuwa khanithi. Uchunguzi
unaoonyesha, kuna idadi kubwa sana ya
wanaume wanao sumbuliwa na tatizo
la upungufu wa nguvu za kiume
kama matokeo ya kupiga punyeto kwa
muda mrefu. Athari za mwanaume
kutokuwa na nguvu za kiume, nadhani
zinajulikana, ila kwa faida ya wote
tutazizungumzia kwa kina siku za mbele,
lakini kwa ufupi ni aibu kubwa sana
kwa mwanaume kukubali kuua ufanisi
wa uume wake kwa sababu ya
kupiga punyeto.
MUNGU HAPENDI PUNYETO : (
MIONGONI MWA WANANZUONI WA
MASOMO YA BIBLIA DHAMBI YA
KUPIGA PUNYETO HUJULIKANA KAMA
ONANISM )
Kwa mujibu wa maandiko matakatifu,
upigaji punyeto ni moja kati ya
matendo yanayo muudhi Mwenyezi
Mungu, kwa sababu yanapigana na
utaratibu aliouweka . Kwenye kitabu
cha MWANZO 38:9, Onan mwana wa
Yuda aliagizwa na baba yake
( Yuda ) kwenda kumjua mke wa kaka
yake ( Onan ) ili aweze kumzalia
watoto. ( Kwa mujibu wa mila na
desturi za kiyahudi wakati huo, kaka
anapofariki bila kucaha mtoto, ndugu
wa kiume wa marehemu hutakiwa
kwenda kumuoa mjane aliye achwa
na kaka yake, na watoto watakao
zaliwa watabeba jina la marehemu
kaka yake…, aina hii ya ndoa
hujulikana kama LEVIRATE
MARRIAGE )Biblia inasema, Onan
hakutaka kumpa mimba mjane wa kaka
yake ilihali akijua watoto watakao
zaliwa hawatakuwa warithi wake, hivyo
basi kila mara alipokutana kimwili na
mjane wa kaka yake, alimwaga mbegu
zake pembeni. Biblia inasema katika
kitabu kile cha Mwanzo 38 : 10 "
" Alicho kifanya kilikuwa ni chukizo
kubwa mbele za Mwenyezi Mungu
hivyo Mwenyezi Mungu akampa adhabu
ya kifo! "
Umeona! Kumbe basi adhabu ya kiroho
ya tendo la masturbation ni “umauti!”.
Umauti huo unaweza usiwe kama ulio
mpata Onan, ila unaweza kuja katika
sura tofauti. Mfano kufa kwa nguvu
za kiume, ni adhabu tosha sana
kwa mwanaume yoyote yule duniani
na inaweza kuwa kali kuliko hata ile
aliyopewa Onan.

DAWA YA ASILI NA YA UHAKIKA YA KUKUFANYA UACHE KUFANYA PUNYETO.

Uzoefu unaonyesha, mtu anayepiga
punyeto, hata kama ameathiriwa na
tatizo la punyeto kwa kiwango gani,
endapo atafanikiwa kutopiga punyeto
kwa muda wa siku arobaini mfululizo,
mtu huyo hatopiga tena punyeto
katika siku zote za maisha yake
kwani tayari mtu huyo atakuwa
amerudia katika hali yake ya kuto
kuwa addicted tena na upigaji punyeto,
na atalichukia kabisa hata jina la
tendo hilo achilia mbali tendo lenyewe.

UFANYE NINI ILI USIPIGE PUNYETO KWA MUDA WA SIKU AROBAINI MFULULIZO!

Sio rahisi kwa mtu aliyekuwa addicted
na punyeto kustahimili kujizuia kupiga
punyeto kwa muda wa siku arobaini
mfululizo. Anaweza kujizuia kupiga punyeto
kwa siku mbili lakini baada ya hapo
ataendelea tena na mchezo wako.
ATUMIE DAWA IPI?
PILIPILI
Pilipili inayo hitajika hapa ni yoyote ile
ili mradi iwe kali sana, ( Ila inayo
pendekezwa ni pilipili mbuzi ama pilipili
kichaa, pilipili hoho haihusiki hapa ).
MATUMIZI
Kwanza kabla ya kujua matumizi ni
vyema ukatambua muda ambao huwa
unapiga punyeto ( Mara nyingi huwa
ni asubuhi baada ya kuamka,wakati
wa kuoga ama usiku kabla ya
kulala ).
Chukua pilipili zako, zipasulie kwenye
viganja vya vidole vyako na kujipakaza
katika viganja vya vidole vyako.
Unaweza kutumia pili moja kwa kila
kiganja, na kwa kila muda ambao
huwa unapiga punyeto lakini
unaruhusiwa kujipakaza zaidi ya pilipili
moja.
Ukishajipaka pilipili kwenye viganja vya
vidole vyako, moja kwa moja unakuwa
umekwisha jilazimisha kutokufanya punyeto,
kwa sababu ukipiga punyeto kwa
viganja ambavyo vina pilipili utawashwa
sana wala hautaweza kufurahia tendo
hilo.
JAMBO LA KUZINGATIA : Hakikisha
unakuwa na walau pilipili mbili mpaka
nne kila unapokuwa katika maeneo
ambayo yanaweza kukuchochea kufanya
punyeto.
UFANISI WA DAWA HII : Dawa hii
inawafaa wale tu ambao wamedhamiria
kutoka mioyoni mwao kuacha kufanya
punyeto. Kwa wale ambao
hawajadhamiria haitaweza kuwasaidia.
MWISHO,TUNAWATAKIA KILA LA HERI
WATU WOTE WATAKAO AMUA
KUJARIBU KUTUMIA NJIA HII KUACHANA
NA SUALA LA UPIGAJI PUNYETO.
TUTAFURAHI SANA ENDAPO MTATUPA
FEEDBACK BAADA YA HIZO SIKU
AROBAINI TANGU MUANZE KUFANYA
ZOEZI HILI. MUNGU AWAPE NGUVU NA
AWABARIKI.


Slide3-mliopoteana.GIF

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (Punyeto kwa wanaume).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔

Makala za sasa za Familia, Mapenzi na Mahusiano👇

M.gif

MPENZI-MLO-MWEMA-34NG.JPG